Pata Sony Xperia M Dual mpyaaaa kwa bei nafuu kabisa

Nyaupindo

Member
Mar 24, 2014
43
30
Jipatie simu tajwa hapo juu kwa bei nafuu kabisa. Ni Sony Xperia M (c2005) duos. Kama inavyojieleza simu hii ni double line. Kwa kifupi Specs zake ni
OS Android 4.2.2
CPU duo cores processor,krait (moja ya CPU nzuri sana)
Battery 1750 mAh.
For more details concerning the phone you may visit GSMArena.com - GSM phone reviews, news, opinions, votes, manuals and more... cheki na pia hata opinions za users nyingi sana ni positive which means simu ni nzuri sana.
Simu bado ni mpya kabisa ina siku nne tangu niletewe kutoka Uingereza, ipo katika hali nzuri sana na hata makasha yake haijafunguliwa vizuri, mfano head phones bado zimefungwa hadi leo, bado lile kasha la display lipo kwenye simu.
Najua kuna wale wa kuuliza sababu kwanini naiuza, ni kuwa naiuza ili nipate pesa ya kuongezea nipate Galaxy note so simu haina tatizo lolote lile kwa ufupi.
They say picture paints a thousand words, so mzigo ndio kama unavyoonekana hapo chini.
SAM_5084.JPG SAM_5083.JPG SAM_5085.JPG SAM_5086.JPG SAM_5087.JPG SAM_5088.JPG SAM_5089.JPG
So wadau kama vile mnavyoona baadhi ya hizo picha ila sema net ipo chini sana so hizo ni baadhi tu ya hizo picha za mzigo. Bei ni 335000.
Napatikana Dar. For business enquiries call please send a pm or check on me through 0686942248.
karibuni sana wadau.
 
mkuu hiyo simu nimeipenda sana yaani kama ningekuwa nimekaa vizuri hata kesho kesho ningekutafuta maana hata price yako ipo reasonable sana.
Nilipita maeneo ya Posta nikakuta bei ni laki nne hadi tatu na nusu so naona kama wewe kweli umetoa ofa. Bei yako ya mwisho kama akija mtu yupo serious bei ya mwisho ni ngapi?
natumai nitapata majibu ambayo ni encouraging.
 
mkuu hiyo simu nimeipenda sana yaani kama ningekuwa nimekaa vizuri hata kesho kesho ningekutafuta maana hata price yako ipo reasonable sana.
Nilipita maeneo ya Posta nikakuta bei ni laki nne hadi tatu na nusu so naona kama wewe kweli umetoa ofa. Bei yako ya mwisho kama akija mtu yupo serious bei ya mwisho ni ngapi?
natumai nitapata majibu ambayo ni encouraging.
kama wamaanisha biashara mkuu na kwa kuangalia tarehe hizi basi bei ya mwisho kabisa ni laki tatu na ishirini. vipi hapo biashara inafanyika?
 
Jamani ahsanteni sana kwa wale ambao wamenitafuta kwa pm au kupiga simu na pia wenye nia hiyo.
Simu tayari nimepata mteja siku ya leo. hivyo ahsanteni sana kwa michango yenu.
 
Back
Top Bottom