Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,724
- 39,817
- Thread starter
- #21
Jamani vp kuhusu uwezo wa hiyo simu hasa kwenye upande wa chaji manake Samsung zinaboa si kitoto yaani...
mkuu kwa 1750 mah si betry nzuri wala sio mbaya kwa matumizi ya kawaida itakaa siku nzima ila kama unatumia sana haimalizi. kama unapenda simu inayokaa sana na chaji ambayo ni smartphone ya maana angalia simu hizi.
lenovo p770
hii ndo kali zaidi ya yote battery 3500mah ina talk time masaa 29(zaidi ya siku) simu kama hii ndo inaweza kaa wiki
motorola razr maxx
huyu naye anamfatia kwa karibu lenovo na 3300mah hii pia nzuri inakaribiana na ya hapo juu