Soma uwezavyo ukiwa kwangu hamna kufanya kazi

Inaelekea wewe ni mkoloni uliyepitiliza! Si uoe ngumbaru tu? Dah, ninamhurumia atakayekuwa mkeo.
 
Mwanamke tulizo kwa Mumewe imagine nimechoka na Mistress kibao ya Kimaisha na kishughuli unarudi home eti na Mke nae hayupo kaenda kazini.Thubuutuuuuu

Nasema ivii kwangu hamna kufanya kazii...

labda huyo mkeo awe katoka sitimbi au form 4 wa 2012!!!
 
nachukizwa na tabia ya mwanamke kujifanya anataka kufanya kazi akati mie kama mumewe ndo natakiwa kumfanyia kila kitu tangu kula,kuvaa,kulala kwake ni mimi yan nasema ivi,we soma level zote mi nkikuoa hamna kufanya kaziii...
unaongea pumba hizo, unafikiri wazazi wake waliomsomesha watakubali, kwa sababu wamemsomesha mtoto wao aje awasaidie, ww umuachishe kazi, unaota ndoto za alinacha mchana kweupeeee!!!
 
kumbe bado kuna wanaume wenye mawazo haya?
Nachukizwa na Tabia ya Mwanamke kujifanya anataka kufanya kazi akati mie kama Mumewe ndo natakiwa kumfanyia kila kitu tangu kula,kuvaa,kulala kwake ni Mimi yan nasema ivi,We soma level zote mi nkikuoa hamna kufanya kaziii...
 
Kwa hiyo mradi sio kazi?
Hiyo sentenso ya mwisho ndio kinachowasumbua, inferiority complex! Unaogopa kumwalizwa na mwanamke manake akiwa apeche utamnyanyasa hata ukitaka kumletea hawara mlale wote kitanda kimoja anakubali.

Hehehe mtasanda

meona eeh! Ndo tatzo la wanaume wakoloni!! Anataka kumfanya huyo mwanamke zuzu! Loh kwa zama hizi mwanamke eti 2mekutana ukubwani miye na mastaz yangu na mshahara wangu wa nguvu,nimesomeshwa na wazazi wangu hajui magumu waliyoptia had miye kupata elimu hyo alaf leo hii kisa tu amenioa aniachshe kazi? Abadaniiii! Hakuna kitu y namna hyo ! Anasema tuu huyo ngoja uje utekelezaji!!
 
chaaa lanyeeeee....

wewe ni wa wapi una mawazo mgando namna hiyo.

Ngoja upate dhoruba kidogo ya afya au kazi then akili itakukaa sawa.

kuna watu bado wanamawazo ya miaka 47!! Anaonekana ni mkatili sana jamaa huyu loh! Namhurmia huyo mke atakaemuoa! Loh!!
 
Yap!ur ryt brother! Hiyo hata mimi ipo ktk mind yangu,ila ukitaka mtu wa kumfanya hivyo make sure unacheki mwenye imani Kweli (mwenye dini),mfungulie mradi mzur then awe mcmamiz.co umuachishe then kweupe

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
^^
Sijui ni kutojiamini Sijui ni uzoefu Sijui ni nadharia Sijui ni kufikiria mbali...vyovyote iwavyo kura ya sijui imeshinda.
^^
 
Back
Top Bottom