Soma majibu ya ovyo ya customer care wa kampuni kubwa ya simu Tanzania

hawa watakuwa airtel! mana nilivyojibiwa nkashanga ati mimi ni msumbufu na call ina dk 2 tangu tuanze kuongea! customer care ni mbaya kwa mitandao yote ila cjawah kuskia akishambulia customer ati we ni msumbufu! dada wa airtel anaitwa bertha alitoa shambulio hilo leo asubuh wakti nikimtaka anihakikishie kuwa tatizo langu la internet kuwa line haisend packet data kwa wiki tatu sasa na kuna mb kibao za mwezi zipo! nimereport tatizo hilo mara tatu sasa !
 
thanx kaka!leo umenisaidia kujua kuwa umbea ni source of information but is not realiable to expose in public

Still una tatizo maybe umri au maybe elimu coz rejea tena darasani soma kuhusu
Grapevine,Rumour, Proxemics
Tatizo mitoto ya sasa hivi badala musome kwa bidii mnawaza kushabikia siasa na kugoma mnaajiriwa kazini mnakuwa vilaza hata kwenye mijadala kamaa hii mnaongea pumba
 
asante kwa lugha zako za kebehi! mm si msomi sana ila najimudu vyema !
inavyoelekea wewe ni mtoto flani wa mama ,unakaa tu home na kusikiliza umbea wa dada zako!
alafu unatuletea topic za ajabu jf!
 
asante kwa lugha zako za kebehi! mm si msomi sana ila najimudu vyema !
inavyoelekea wewe ni mtoto flani wa mama ,unakaa tu home na kusikiliza umbea wa dada zako!
alafu unatuletea topic za ajabu jf!

you are damn wrong dude.. damn wrong
 
kila mahali customer care inapuzwa sana, hasa kwenya biashara kubwa na ndogo tunazo jushughulisha sie wabong, wakija wahindi walio "sirias" na swala hilo..... tuna ona wachawi, ama wana "kisimati"
 
Back
Top Bottom