Huduma kwa wateja ya Air Tanzania siyo nzuri

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office. Kama wakisoma na wakikasirika ni sawa tu. Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation kuhusu ndege na kila kitu ila ukipiga simu kwanza wafanyakazi wana dharau sana tena sana na pia wanakata simu na hawajali kabisaa.

Sasa kama wana behave hivyo ina maana kesho nitakuja kukata ticket kwao tena??...Mnaleta nchi yetu down kwa faida zenu wenyewe.

Kwanza kabisa huyo Manager wa hapo HQ kama huna muda wa kuwafatilia wafanyakazi wako wanafanya kazi vipi then naomba ondoka kwenye hiyo nafasi na wafanyakazi ambao hawafanyi kazi wote waondoke.

Nimepiga simu zaidi ya mara 20 hazipokelewi na hawajali hata ku return calls back.

Serikali naomba mufatilie hili jambo maana tunapata shida sana na watu ambao hawajali tunatoa hela kwa safari ila customer service ni 00000 sasa mnategemea mtapata wateja vipi wakati hapo ofisini hamfanyi kazi kwa taifa letu.

Nimehuzunika sana tena sana na Mungu anawaona. Hata kama mpo busy mbona kampuni kubwa wanapokea simu zao muda wote?

Naomba mnijibu.
 
Ndugu zangu naomba nitoe la moyoni kuhusu Air Tanzania Head office....Kama wakisoma na wakikasilika ni sawa tu.....Sio wote humu ndani tunaishi Tanzania tuna book ticket online tunahitaji confirmation kuhusu ndege na kila kitu ila ukipiga simu kwanza wafanyakazi wana dharau sana tena sana na pia wanakata simu na hawajali kabisaa....Sasa kama wana behave hivyo ina maana kesho nitakuja kukata ticket kwao tena??...Mnaleta nchi yetu down kwa faida zenu wenyewe....Kwanza kabisaa huyo Manager wa hapo HQ kama huna muda wa kuwafatilia wafanyakazi wako wanafanya kazi vipi then naomba ondoka kwenye hiyo nafasi na wafanyakazi ambao hawafanyi kazi wote waondoke....Nimepiga simu zaidi ya mara 20 hazipokelewi na hawajali hata ku return calls back....Serikali naomba mufatilie hili jambo maana tunapata shida sana na watu ambao hawajali tunatoa hela kwa safari ila customer service ni 00000 sasa mnategemea mtapata wateja vipi wakati hapo ofisini hamfanyi kazi kwa taifa letu.....Nimehuzunika sana tena sana na mungu ana waona.....Hatq kama mpo busy mbona kampuni kubwa wanapokea simu zao muda wote??Naomba munijibu....
Suala la kutopokea simu sio ATCL pekee bali taasisi zote za umma..
Tanapa ndio hoi kabisa
 
Tatizo lenu mnaopanda ndege na hamuishi tanzania mnajiona sana. In short mnapenda mpewe attention nyie tuu wengine wakose.
Wewe una exposure ya kuishi nje ya nchi,shaur kwa ustaarabu na si kuwatishia watu kuwa waache kazi
Akili ya fukara ndio hii, huenda ndege unaziona angani tu.

Ndege ni usafiri tu na sio ufahari...nnyokko zako we mlevi mmbwa
 
Nilihairisha safari yangu kuipeleka tarehe ya mbele fedha niliyolipa kwa kusogeza safari yangu kwa tarehe ya mbele bado inaniuma mpaka sasa. Kwa nini Air Tanzania asiwe na mshindani kama enzi za Fastjet?.
 
Ongeeni na watu vizuri jengeni mahusiano yenye faida mimi swala la kupata tabu sehemu labda kama sina connection napo na hata kama sina ninayemjua najitahidi kuwa mchangamfu tabasamu la kutosha na kuongea vizuri na wahudumu ukiona mtu analalamika kweli kuna matatizo ila ushajua nchi yetu ni ya kuzingatia mambo fulani kwann usijiongeze......
 
Ni kweli, ukiwa na safari ya kuunganisha ndege ni afadhali uepukane na Air Tanzania, inatia aibu. Wanaweza kukutelekeza airport bila taarifa yoyote.
Nimehuzunika sana kaka....Hawajali wala kujua watu wanapiga simu ila mwisho wa mwezi wanalipwa hela so wote watolewe hapo ofisini kuanzia Manager na wacha tuta deal nao hamna neno
 
nilikata tiketi ya saa 12 kwenda msibali, walibadili muda hadi saa 9 jioni bila taarifa, nikachelewa mazishi, hovyo kabisa
ATCL hawana tofauti na daladala. Kuna mshkaji alikuwa anamsafirisha mkewe na watoto wawili wachanga toka Mwanza kwenda KIA. Asee safari ilikuwa asubuhi saa 12 asubuhi ila yule mama aliteseka na watoto peke yake pale mpaka jioni.

Yani hilo shirika wanatamani huko angani hata kungekuwa na vituo wawe wanaulizia abiria "unaenda"?

Hoves kabisa.
 
Akili ya fukara ndio hii, huenda ndege unaziona angani tu.

Ndege ni usafiri tu na sio ufahari...nnyokko zako we mlevi mmbwa

Mpumbavu ktk ubora uliotukuka.
Umaskini wa akili ni kulima
Kwani lazima mpande hizo ndege mnazodai zina huduma mbovu? Au ndio ile maskini akipata.....kuna mashirika mengi ya ndege,kuendelea kuwalalamikia ATCL ni ushamba kutaka kutuonesha kwamba You Two idiots do travel.
 
Ongeeni na watu vizuri jengeni mahusiano yenye faida mimi swala la kupata tabu sehemu labda kama sina connection napo na hata kama sina ninayemjua najitahidi kuwa mchangamfu tabasamu la kutosha na kuongea vizuri na wahudumu ukiona mtu analalamika kweli kuna matatizo ila ushajua nchi yetu ni ya kuzingatia mambo fulani kwann usijiongeze......
😂😂
I second you,
kwenye ofisi zetu za umma, 'customer care' unapaswa uwe nayo wewe mteja ndiyo unapata huduma kiurahisi..!

Hii njia Mimi pia huwa naitumia sana, unaondoka na namba bila kusahau 'keep change' na hiyo ndiyo tayari 'connection' yako...
 
Back
Top Bottom