Solemba......!!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
...........ulinipa ahadi tukutane kwenu, nikitumaini nimewahi, nilichopata kwako ni matusi na dharau tele. Ungenieleza ukweli solemba kuliko kunidanganya, najuta kuitimiza ahadi ambayo si ya kweli.
Nilikupenda kimapenzi Solemba, ila dharau uliweka mbele Solemba.......
Nilichomwa na jua toka asubuhi mpaka saa nane Solemba, kumbe ulikuwa ndani ukichungulia dirishani....
 
Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh...ila dharau uliweka mbeleee Solemba....
Sikutaki tenaa...sina haja nawee...nimeshapata mwingine anayenipenda sanaa..*2
 
Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh...ila dharau uliweka mbeleee Solemba....
Sikutaki tenaa...sina haja nawee...nimeshapata mwingine anayenipenda sanaa..*2
Nimewekwa kwa muda mrefu bila mtu tuliyeahidiana kutokea halafu napita pub nasikia kitu SOLEMBA kwenye Jukebox......dah ni soo..
Kumbe Solemba ni mtu??
 
Nimewekwa kwa muda mrefu bila mtu tuliyeahidiana kutokea halafu napita pub nasikia kitu SOLEMBA kwenye Jukebox......dah ni soo..
Kumbe Solemba ni mtu??
Ni mtu teh pole ingia ugonge zako ndovu tu
 
hahaa inaumaje unapigwa jua kumsubiri mtu kumbe yuko dirishani anakuchungulia huku akipanga mitusi ya kukomesha nayo.lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom