sokoine university degree

zilo one

New Member
Aug 26, 2012
1
0
hi..... jaman naomba msaada eti ni kweli wanaosoma sokoine university wana nafas kubwa ya kupata kazi nje ya nchi..........?
 
acha kukariri ..hizo ni hadithi za kale!!! we soma umalize halafu uje mtaani u-experience inakuwaje!!
 
hapo ndugu nahisi kama umepotea vile....je GPA inasoma fresh?? unajuana na watu?? jib tuendelee!!!
 
Back
Top Bottom