Soko: Viatu vya ngozi halisi toka Kyela Mbeya

Radio Producer

JF-Expert Member
Feb 4, 2011
724
295
Amaki Shoes Makers watengelezaji wa viatu halisi vya ngozi vya kike na kiume, wanapokea order kwa viatu vya shule n.k Wanauwezo wa kusuply pair 2500 kwa miezi miwili. Bei ni poa sana tena sana unangoja nini jamani?
Kwa mawasiliano ni PM au andika email: radioproducer@rediff.com
DSC07813.JPG
DSC07810.JPG
 
Wachagga pale Moshi wanavitengeneza sana viatu vya aina hii, lakini shida yake ni kuwa hewa ikiwa na humidity kidogo tu vinaota UKUNGU, na asubuhi unaweza ukavikataa kama ndiyo ulivyovaa jana!
Hapo ndipo utaona tofauti ya Local Brew na Brandy!
 
Viatu vya namna hiyo wanaweza Waitaliano, sasa mmbongo kucopi kwa kutumia semi-processed cow hide siyo professionalism na wala havivutii wanunuzi; kwa vile huyo mtengenezaji anaonekana anauwezo mzuri wa kucheza na ngozi, anatakiwa awe mbunifu atengeneze viatu ambavyo viko unique na viwe kiasili zaidi, hapo itakuwa rahisi kpata soko la uhakika la nje na ndani.
 
wakati watanzania wanajitahidi kutumia malighafi zetu kutengeneza finished goods wewe unawabeza, that is colonial legacy
 
wakati watanzania wanajitahidi kutumia malighafi zetu kutengeneza finished goods wewe unawabeza, that is colonial legacy

Kaka hiyo finished good haiko original, angalia hivyo viatu; vyote amekopi design za waitu, tena katika ubora wa hali ya chini! Simkatishi tamaa, nampa moyo awe mbunifu, viatu kama hivyo hawezi kuuza nje ya mbozi, hata wewe kaka hicho kiatu hauwezi kununua-they look cheap and unoriginal!
 
Back
Top Bottom