Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Unapoteza muda wako, wengine ni vitoto vya shule. Vinaandika vikiwa vimechoka na haviwezi kufikiria.

- He! he! he! njemba ni libaba lizima ngoja nikutumie picha yake na Malecela na mkewe kwenye PM, as soon nikisha zi-locate nitakuwekea ninazo mkuu, Bwa! ha!

Respect.

FMEs!
 
nawaomba sana tuungane na watanzania wote kuiomba serikali yetu ismamishe uchimbaji wa madini yetu mbalimbali na hasa dhahabu.
 
African politics, au Tanzania Politics? Au tuseme Politics sasa hivi imeingiliwa na vichaa, labda nieleze jinsi CCM wangemweshimu John Malecela.
1. Elder - Huyu ni Elder wa CCM ambaye convincing power yake kuwafanya wananchi waielewe CCM. Huyu aliweza kuitwa popote uchaguzi utakapofanyika ili asaidie mambo. Sidhani kuna Elder mwenye uwezo wa kumfikia huyu, kiuelewaji wa mambo, ki-ushirikiano na kwa uvumilivu aliokuwa nao katika dirty politics za bongo. Anastahili heshima.

2. He is a STEm/Root of The party; na ni mtu ambaye anaweza kuiyumbisha CCM akiamua afanye fujo na hamna atakayemzuia. Huwezi kumpakaza kwa lolote lile ELDER kama huyu kama wewe ni CCM maana utakayosema kuhusu yeye ni sawa kabisa kukisema Cha CCM direct kuwa haifai. Practically CCM haichani na Malecela.

3. Utovu wa Nidhamu Wa Hali ya juu: Unajua kuna mambo ya kusema; na mambo ambayo si ya kusema. Kuna mtu anaitwa Statesman na Diplomat. Sofia kweli kwa sasa hivi ingawa anaweza kuwa ameongea kuwridhisha watu lakini ile centre of intergrity na respect ya CCM ishakuwa questinable. I was thinking Mwinyi was even dirtier what prompted him pick Malecela; so she (Sophia) is insane. She 's got neither respect nor diplomacy. Cha ajabu hata muungwana intergrity yake ni questinable kama anategemea Waziri kama huyu.

4. The FUTURE: CCM wanamwitaji sana Malecela kuliko mtu yeyote yule kwa kampeni za mwaka 2010. Mwinyi hawezi kusema, akina Makamba, Msekwa na wengine siyo factor. Usiwapumbaze ule ushindi uliopikwa na Mkapa kumchagua Kikwete eti uliwakati ali-triumph na anaweza kwenda kirahisi bila ya watu kama Malecela, Salim, etc etc

5. I am afraid there is a backed up conspiracy; na allegation kuwa Mke wa Veteran/ Elder alikutwa na drugs is too heavy, na kuwa ati anaona wivu yeye ndiye angekuwa First Lady is really unfounded, hii ndiyo inaitwa Real Blackmail.

Na yale maneno ya kumwita mwamume mbele ya kadamnasi ya kikao kuwa ndiyo mwanamume wa Shoka, is too low for her; she should be saying that during giving him a blow job not at such a meeting!!
 
Sunday November 15, 2009
Total Comments on the above stories (

1.Comment: Yes, Minister Simba is a very useless lady. She has nothing to offer except to forment trouble. She wants to wreck the ruling party the way she has been wrecking other people's marriages. Do not take her seriously.

2.Comment : It is obvious that Sophia Simba is on the payoll of Fisadis. What she fails to understand is that they are setting her up!

3.Comment :Minister Simba is another reason as to why we should think before we hand pick any street hurigan to be a minister in our country. She has no class nor manners. What a low lifer! Simba, Makongoro and mkuchika are just some of people who undermine our historical ruling party CCM. To hell with them.

4.Comment: Shouldn't the responsibility for shortfalls of Hon. Simba lie with the one who selected a person who has neither the competence nor political savvy nor wisdom to carry the weight of the office to fill the job that she is not at all qualified to? Similar poor choices made time and again and the result is what we have.

5:Comment: God be with you,the mass hand ended,go in peace and remember to serve the rod! Amen! As usual, we have a coffee and dounuts after the mass at the basement, you all, Anne and sophia are wellcome!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!These two mama wants to want to serve the god, but only as advisors!

6.Comment: minister Simber is a home wrecker and what she is looking for is to put peoples down, if Mrs Malecela did what ur talking about how come all of this time your mouth was shut? Shame up on ur face Sofia try to find better things to do instead of putting peoples reputation down. We like Anna and we trust her even if she were going to contest for president we will still give her our vote. Go Anna Go Anna and make sure you teach this lady how to behave and shut her mouth down.......if she have any proof let her show it rather than gossip......may God help you Anna and give you alot of strength to continue serving our community.

7.Comment :president Jakaya Kikwete should be advised to remove Sophia Simba. I can not believe she is a minister

African politics, au Tanzania Politics? Au tuseme Politics sasa hivi imeingiliwa na vichaa, labda nieleze jinsi CCM wangemweshimu John Malecela.
1. Elder - Huyu ni Elder wa CCM ambaye convincing power yake kuwafanya wananchi waielewe CCM. Huyu aliweza kuitwa popote uchaguzi utakapofanyika ili asaidie mambo. Sidhani kuna Elder mwenye uwezo wa kumfikia huyu, kiuelewaji wa mambo, ki-ushirikiano na kwa uvumilivu aliokuwa nao katika dirty politics za bongo. Anastahili heshima.

2. He is a STEm/Root of The party; na ni mtu ambaye anaweza kuiyumbisha CCM akiamua afanye fujo na hamna atakayemzuia. Huwezi kumpakaza kwa lolote lile ELDER kama huyu kama wewe ni CCM maana utakayosema kuhusu yeye ni sawa kabisa kukisema Cha CCM direct kuwa haifai. Practically CCM haichani na Malecela.

3. Utovu wa Nidhamu Wa Hali ya juu: Unajua kuna mambo ya kusema; na mambo ambayo si ya kusema. Kuna mtu anaitwa Statesman na Diplomat. Sofia kweli kwa sasa hivi ingawa anaweza kuwa ameongea kuwridhisha watu lakini ile centre of intergrity na respect ya CCM ishakuwa questinable. I was thinking Mwinyi was even dirtier what prompted him pick Malecela; so she (Sophia) is insane. She 's got neither respect nor diplomacy. Cha ajabu hata muungwana intergrity yake ni questinable kama anategemea Waziri kama huyu.

4. The FUTURE: CCM wanamwitaji sana Malecela kuliko mtu yeyote yule kwa kampeni za mwaka 2010. Mwinyi hawezi kusema, akina Makamba, Msekwa na wengine siyo factor. Usiwapumbaze ule ushindi uliopikwa na Mkapa kumchagua Kikwete eti uliwakati ali-triumph na anaweza kwenda kirahisi bila ya watu kama Malecela, Salim, etc etc

5. I am afraid there is a backed up conspiracy; na allegation kuwa Mke wa Veteran/ Elder alikutwa na drugs is too heavy, na kuwa ati anaona wivu yeye ndiye angekuwa First Lady is really unfounded, hii ndiyo inaitwa Real Blackmail.

Na yale maneno ya kumwita mwamume mbele ya kadamnasi ya kikao kuwa ndiyo mwanamume wa Shoka, is too low for her; she should be saying that during giving him a blow job not at such a meeting!!

- Mkuu kwa maoni yangu ile maneno kule juu ambazo ni comments za wananchi kuhusu Sophia, yako very very clear na yanaeleweka vizuri, Malecela ni mwanasiasa anajua mchezo wa siasa unavyochezwa ndio maana amedumu kwenye siasa kwa muda mrefu sana, kuitwa anything ni part of politics lakini haibadili anything na tabia ya binadamu, Malecela angekua mwizi na fisadi Mwalimu asingekosa kuandika kwenye kile kitabu chake! amefanya kazi sehemu nyingi sana duniani asingeweza kuficha uovu wake mpaka leo aakaujua Sophia tu!

- katika Demokrasia kama tuliyonayo hapa JF kila mwananhi ana haki ya kusema anachotaka na ndio Sophia alichofanya, tatizo tu ni kwamba hana substance kama vile Seleli alivyofanya,

- Mama Kilango hajawahi kuuza madawa ya kulevya, Diria aliwahi akawa anatafutwa Germany, anachofanya ni biashara ya nguo na ana maduka mengi sana nchini angekua anauza madawa badi US wangekua wa kwanza kujua na wasingethubutu kumpa tuzo la uongozi bora, kwa sababu biashara ya Kilango inaanzia US. Waliojaribu kuuza madawa US wote tunawajua na wote waliishia kushikwa na kufungwa jela,

- Mimi nimewahi kuishi Us kwa 20 years, ninawajua wabongo wote waliojiingiza huko kwenye madawa tena ninawajua kwa majina, Mama Kilango nimemuona mara kwa mara akihangiaka sana na mizigo yake ya nguo ya ksuema anauza madawa ni yale yale tu wivu na chuki binafsi!

By the way, karibu sana kwenye huu mjadala, Bwa! ha! ha!.

FMEs!
 
Jooob true true!!Ila hii post badala ya kuianzishia thread ungeweza kuiunganisha na thread ya "firm yaishtaki serikali..."kama nakumbuka vizuri,ni ya wiki hii hii.By the way,
Jumapili njema mkuu
 
3. Utovu wa Nidhamu Wa Hali ya juu: Unajua kuna mambo ya kusema; na mambo ambayo si ya kusema. Kuna mtu anaitwa Statesman na Diplomat. Sofia kweli kwa sasa hivi ingawa anaweza kuwa ameongea kuwridhisha watu lakini ile centre of intergrity na respect ya CCM ishakuwa questinable. I was thinking Mwinyi was even dirtier what prompted him pick Malecela; so she (Sophia) is insane. She 's got neither respect nor diplomacy. Cha ajabu hata muungwana intergrity yake ni questinable kama anategemea Waziri kama huyu.

!!

Mkuu unataka unaniaminisha kuwa integrity ya CCM bado iko stable na huyu mama ndiye anafanya iwe questionable?

Mbona CCM kama ni gari limeshaoza na Sofia Simba ni moja ya spear tu ambayo imeshajiozea

Huwa ninajiuliza ina maana ndani ya JF kuna watu wanaoona kuna CCM wasfi na wachafu , jamani
 
- Mimi nimewahi kuishi Us kwa 20 years, ninawajua wabongo wote waliojiingiza huko kwenye madawa tena ninawajua kwa majina,

FMEs!
Thanks kuwajua wabongo wote katika kipindi hicho cha miaka 20. Nadhani sentensi sahihi, ni wewe uli/unawajua baadhi ya wabongo, kuwajua wote huwezi, kama FBI wenyewe na CIA yao achilia Interpol na vyombo vyetu duni vya ulinzi na usalama haviwajui wote itakuwa wewe?.

Hizi alegations za Chaumbea kwa Mama Anna zinaamount kwa criminal liability ambapo kamazina ukweli, sheria ingeshachukua mkondo wake, japo sote tunafahamu kuna sheria za wenye nchi na za wananchi, za wenyenchi zinaangalia majina na nyadhifa kwa wananchi ndio msumeno.

Naamini Mama Anna bado anatafakari the cause of action kwa Chaumbea, akinyamaza kimya pia its action.
 
Thanks kuwajua wabongo wote katika kipindi hicho cha miaka 20. Nadhani sentensi sahihi, ni wewe uli/unawajua baadhi ya wabongo, kuwajua wote huwezi, kama FBI wenyewe na CIA yao achilia Interpol na vyombo vyetu duni vya ulinzi na usalama haviwajui wote itakuwa wewe?.

.

- Mkuu samahani tusiwekane maneno mdomoni nilichosema ni kwamba katika miak hiyo 20, ninawafahamu wabongo wote waliojiingiza kwenye madawa ya kulevya kwa sababu wote waliishia kushikwa, hakuna aliyepona yalianza maneno mtaani the next thing wakashikwa na kufungwa na wengine mpaka leo wapo Rumande wakisubiri kesi, wengine walishituka wakakimbia kabla ya kushikwa wakarudi bongo mpaka leo hawajrudi tena US.

- Ya kuwajua wabongo wote US sikusema hayo ni yako mkuu, na samahani sana kama nimekukwaza kwa hili.

Respect.

FMEs!
 
Sophia simba awa kigezo kwa wa Tanzania wengi hasa wenye huruma na uchumi wa nchi yao ,amekuwa midomoni mwa wanachi wengi kwa ubora wa kusimamia kile anacho kiamini kuwa ni cha ukweli na ni faida kwa taifa.

Amepand achati ya Lowassa
 
Sophia simba awa kigezo kwa wa Tanzania wengi hasa wenye huruma na uchumi wa nchi yao ,amekuwa midomoni mwa wanachi wengi kwa ubora wa kusimamia kile anacho kiamini kuwa ni cha ukweli na ni faida kwa taifa.

You need to be absoulutely sick to suggest that her popularity is on surge. It also depends in surge among who. Kama among wanataarab naweza kusema kweli, au among wanamipasho naweza kusema ni kweli, lakini sio kwenye watu wazima wenye akili timamu.

Mwendawazimu anaweza kusimamia kuwa mwaka huu new year itakuwa tarehe 25 December, na akawa firm na msimamo wake na akasifiwa na wendawazimu wenzake kwa kuwa na msimamo wa kitu ambacho anaamini kuwa ni cha kweli na chenye manufaa kwa taifa, lakini wenye akili watajua kuwa hajui na watakaa kimya hajui.
 
Hivi hata mama Kilango ameamua kukaa kimya baada ya Simba kuropoka? Inaelekea hilo bomu lina ukweli maana mpambanaji naye kaamua kutengeneza suluhu?

Kwa Malecela hawezi kwenda mahakamani maana huko ataumbuka zaidi. Nyerere alipomwita mhuni hakukosea kabisa. Nilitegemea mama Kilango ambaye nampenda kwa kuchapa kazi kwake na upiganaji aende mahakamani kumshitaki Simba. Lakini ghafla ziiiii! Kuwa kwenye payroll ya mhindi fisadi ni balaa kabisa. Malecela angepata urais huyu Jeetu angelikuwa kama alivyo RA kwa Kikwete. Hii CCM mijitu mibaya kabisa, mbona inanunuliwa na Wahindi?

Kuna watu wanamlaumu mama Simba kwa umalaya? Jamani ukiwa kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe. Mbona malecela naye kazaa na wanawake wengi tu mpaka watoto wake wengine wa vichakani tuko nao hapa JF.

Mkiendelea kurusha mawe, tutatoboa siri zote hata kama mtatuambia tuende Mirembe kupimwa.
 
Mkuu Engineer,Heshima yako mzee
Safi sana.Tunawajua wengi sana.Mmoja wapo ni huyu dada wa Vernon, New York. Yeye majina yake ni NNM.ni mkwe wa fisadi John Malecela na analalazisha watu tumsafishe John Malecela.

Halafu mjinga mmoja anamtetea eti wanakupotezea muda.Sijui ni yeye amemnunulia vourcher ya muda wake?
 
- Zamu yake bado mbele ya kamati, unakuja Sophia atajibiwa kwa facts Seleli ameshaanza tayari, facts sio mipasho!

Kwa Malecela hawezi kwenda mahakamani maana huko ataumbuka zaidi. Nyerere alipomwita mhuni hakukosea kabisa.

- Alikuwa anarusha jiwe kwenye kioo wakati na yeye alikuwa kwenye kioo hicho hicho.

Nilitegemea mama Kilango ambaye nampenda kwa kuchapa kazi kwake na upiganaji aende mahakamani kumshitaki Simba.

- Again zamu yake kwenye kamati bado inakuja tena soon, hataongea mipasho itakuwa facts kama Seleli alivyoanza.

Lakini ghafla ziiiii! Kuwa kwenye payroll ya mhindi fisadi ni balaa kabisa. Malecela angepata urais huyu Jeetu angelikuwa kama alivyo RA kwa Kikwete. Hii CCM mijitu mibaya kabisa, mbona inanunuliwa na Wahindi?

- Jeetu amechangia mpaka Nyerere Foundation tena sio mara moja, toka Mwalimu akiwa hai unasema alimnunua Mwalimu? Subiri facts zinakuja siku ya zamu ya mama, usiwe na haraka mkuu ni kwa pace yake mama sio ya Sophia lakini atajibiwa!

Kuna watu wanamlaumu mama Simba kwa umalaya? Jamani ukiwa kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe. Mbona malecela naye kazaa na wanawake wengi tu mpaka watoto wake wengine wa vichakani tuko nao hapa JF.

- Sophia amezaa na viongozi wanne mpaka akaishia kupewa nafasi ya uongozi, tena ameezaa na waume wa marafiki zake na sio siri alijaribu kutaka kumuingia mzee lakini akakwama no wonder na haya maneno machafu yasiyo na facts,

- Inaeleka wewe umezaliwa vichakani, yaani baba yako alikuzaa vichakani maana sijawahi kusikia binadam amezaa vichakani, sasa tuelimishe hiyo theory ya binadam kuzaa na vichaka ni lazima baba yako alikuzaa na vichaka, lakini Sophia hakuzaa na vichaka amezaa na viongozi wanne tena mbali mbali wa serikali ya sasa, ila please kuzaa na vichaka hii ni mpya sasa tusaidie ulizaliwaje kati ya baba yako na vichaka? Bwa! ha! yes it fun!

Mkiendelea kurusha mawe, tutatoboa siri zote hata kama mtatuambia tuende Mirembe kupimwa.

- Watuwazima hawatishiani nyau mkuu, yatarudishwa tu tunachotaka hapa ni facts na hoja sio mipasho, angalia Seleli facts tupu!

Respect.

Field Marshall Es!
 
Mkuu Engineer,Heshima yako mzee
Safi sana.Tunawajua wengi sana.Mmoja wapo ni huyu dada wa Vernon, New York. Yeye majina yake ni NNM.ni mkwe wa fisadi John Malecela na analalazisha watu tumsafishe John Malecela.

Halafu mjinga mmoja anamtetea eti wanakupotezea muda.Sijui ni yeye amemnunulia vourcher ya muda wake?

- Na hii familia yako ndugu 40 baba yako aliwazaa vipi unasema na vichaka?
au mama mmoja?

es!
 
Bwa! h!

au mama mmoja? Bwa! h!

es!
 
- Zamu yake bado mbele ya kamati, unakuja Sophia atajibiwa kwa facts Seleli ameshaanza tayari, facts sio mipasho!

- Alikuwa anarusha jiwe kwenye kioo wakati na yeye alikuwa kwenye kioo hicho hicho.

- Again zamu yake kwenye kamati bado inakuja tena soon, hataongea mipasho itakuwa facts kama Seleli alivyoanza.

- Jeetu amechangia mpaka Nyerere Foundation tena sio mara moja, toka Mwalimu akiwa hai unasema alimnunua Mwalimu? Subiri facts zinakuja siku ya zamu ya mama, usiwe na haraka mkuu ni kwa pace yake mama sio ya Sophia lakini atajibiwa!

- Sophia amezaa na viongozi wanne mpaka akaishia kupewa nafasi ya uongozi, tena ameezaa na waume wa marafiki zake na sio siri alijaribu kutaka kumuingia mzee lakini akakwama no wonder na haya maneno machafu yasiyo na facts,

- Inaeleka wewe umezaliwa vichakani, yaani baba yako alikuzaa vichakani maana sijawahi kusikia binadam amezaa vichakani, sasa tuelimishe hiyo theory ya binadam kuzaa na vichaka ni lazima baba yako alikuzaa na vichaka, lakini Sophia hakuzaa na vichaka amezaa na viongozi wanne tena mbali mbali wa serikali ya sasa, ila please kuzaa na vichaka hii ni mpya sasa tusaidie ulizaliwaje kati ya baba yako na vichaka? Bwa! ha! yes it fun!

- Watuwazima hawatishiani nyau mkuu, yatarudishwa tu tunachotaka hapa ni facts na hoja sio mipasho, angalia Seleli facts tupu!

Respect.

Field Marshall Es!

Ha haaaa! FMES

Watu waliozaliwa wakati chupi zinavuliwa vichakani, wakijificha wenye mali wasiwakamate inatakiwa wasirushe mawe.

Mimi naipenda JF ila huyo mzee Malecela asingeweza kukataa kuvua chupi ya Sophia. Atakuwa tu hakupata hiyo bahati. Lizee limevua hata chupi za wafagiaji ndio awe mama Simba?

Waliozaliwa vichakani wanajijua wenyewe hata warushe mawe vipi JF ukweli huo haufichiki.

Nyie mliozaliwa vichakani, tuelezeni Malecela alifunga wapi ndoa na mama zenu?

Mitoto inayotengenezwa kwenye meza za ofisini huku wazee wakiogopa kukamatwa inakuwa hovyo na bahati mbaya tunayo mingi hapa JF.

Msirushe mawe wakati mmekaa kwenye nyumba za vioo.
 
Hivi FMES ukijua kila aina ya uchafu wa hawa jamaa can you stand by them?

Mbona watu wengine huwa mnajitafutia pressure zisizo na sababu? who knows more kati yako wewe na Sofia Simba.

Story za hao akina mama wanazipata vitandani wakiwa na hao viongozi wa kiserikali,

tuhuma za madawa ni kali sana, na hautasikia zikisemwa, probably is the only bomb that will make Kilango not to move in any other part.

Sofia alichosema ni kweli kabisa na sijajua ubishi ni wa nini, na hana position ya kuwachukulia hatua yeyote maana kuanzia bosi wake Pinda alishasema hawawawezi mafisadi! mnategemea yeye afanye nini, lets be honest, JK kashindwa,PM-Pinda amekiri mwenyewe leo hii mnataka Simba afanye nini??

FMES jasho lote hili unalolimwaga kutetea mafisadi hawa wa CCM, nakupa pole tunapoelekea uchaguzi, ugonjwa wa moyo utakupata ndugu

Ukijiweka kwenye kutetea hoja, umepona, ukitetea watu humu, unless una hakika kabisa 100% na hii sio rahisi kaka, sio rahisi.

By the way, JK amemfanya nini SS mpaka leo?

Nilishasema, na I will stand on this, sijajua povu kiasi gani litakutoka ila wewe ni fisadi!! pigia mstari fisadi. Kuna watu wanaogopa kukueleza humu!

Andika maandishi yako makubwa humu, tukana, singizia, sema usemacho, ila I spotted you, sio kutokana na lingine lolote bali kutokana na post zako, kuwa you are nathing than fisadi mzuri kabisa wa CCM!

Unanikumbusha sana; wimbo wa Ben E.King - Stand by Me.

Tetea hii, kama siyo ya kifamily, basi iwe ya kweli kutetea nchi, lakini ukiwa kwenye right side, siyo CCM , siyo CCM,repeat with me, Siyo CCM!!!!!

Just examine yourself!
 
Back
Top Bottom