Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Uliyoyasema kwenye kamati ya mzee Mwinyi ni ya aibu kwa aliyekuteua na wale uliojaribu kuwatetea. Sitaki niyarudie lakini kwa heshima yote uliyobakia nayo your time is up ma'am. Thank you for your unforgetable diservice to our country. Tukiamka tusikie umejiuzulu na kuwa mfano wa utawala bora. Usisubiri uundiwe kamati.
 
Ukitumegea kidogo itakuwa vizuri mkuu,nina hamu kupata walau kdogo cha hayo aliyotapika.
 
Kaongea nini tena huyu?? atakuwa ametetea mafisadi tu bila shaka...aondoke kama ni hivyo
 
Huyu si ndiyo yule mama uliyemfanyia interview mwaka jana mwanakijiji kwenye radio yake alafu akachemsha sana tuu alafu ukamtetea?au namfananisha?.

Kulikoni now?.
 
Ni jambo moja kuwatetea kama ilivyotarajiwa; ni jingine kabisa kuwamwagia mabusu na kuwakumbatia huku akiwatolea uvivu na kuwapaka wapiganaji kwa majina. Ameapa kusafishwa kwaja.
 
Mwanakijiji... huyu mama si ndie uliyemfagilia kipindi akitwaa Uchaiewomeni wa UWT, na ukasahau kabisa kama alishawatetea akina Mkapa na wenzake? Kulikoni
 
Mwanakijiji, are you out of your mind? since when (with exception of Mzee Mwinyi) wachemshaji walijiuzulu? Lowassa mwenyewe ilibidi ashinikizwe kujiuzulu baada ya kujua kuwa madudu yake yamekuwa know mpaka kwa watoto wa shule ya msingi. Look at Hosea, Makamba, etc hilo haliwezekani. Kesho asubuhi tukiamka utakuta ndio kwanza anaita waandishi wa habari na kujisifu kwa aliyofanya.
So the best way to go about it is to spill the bean, and see what the spill over effect will do.
 
Mzee Mwanakijiji, Sofia Simba ni mchafu, hilo unalijua, Mama Kahama alimwaga chozi kwa ajili ya matusi yake, ni wewe uliyembeba kwenye podcast yako, leo ndio umelijua hili?.
On the other side, amini nawaambieni, Lowassa is not that bad na wapiganaji are not that clean, nao wanaufisadi wao na agenda zao.
 
Bila shaka mwanamama atakuwa ametapika vya kutosha kiasi cha kuhitaji rehydration,tupeni data wakuu
 
Huyu mama hakustahili kuongoza utawala bora. Mimi nahisi mara nyingi huwa anafanya mambo bila kufikiria vizuri nini hatima yake. Na nikiona hizi strategies zinazo fail kila kukicha kutoka ofisi nyeti, I believe inawezekana yeye akawa na msukumo mkubwa wa kuwaambia hawa jamaa waanzishe counter effective measures. Mfano mdogo ni huu wa Takukuru na Wabunge, achana na jitihada za kuwasafisha kina Mkapa kwa kutumia mbinu za zama za mawe.
 
Mwanakijiji... huyu mama si ndie uliyemfagilia kipindi akitwaa Uchaiewomeni wa UWT, na ukasahau kabisa kama alishawatetea akina Mkapa na wenzake? Kulikoni

mzee kumfagilia mtu ni kitu kingine kabisa; nilivyo huru ni kuwa sioni haya kumtetea mtu hata adui yangu, sioni ugumu kumsifia mtu hata kama sikubaliani naye, na sioni shida kumpinga mtu hata kama ni ndugu yangu. Uhuru huu unanifanya nisimamie nilipomtetea wakati aliposhambuliwa wakati ule na vile vile kutaka aachie ngazi kwani aliyoyafanya/sema kwenye hicho kikao ni aibu kabisa. Lakini kwa upande mwingine akiendelea kwa nafasi yake even a week inabidi tujiulize; what does it say about the one who appointed her?
 
Huyu mama hakustahili kuongoza utawala bora. Mimi nahisi mara nyingi huwa anafanya mambo bila kufikiria vizuri nini hatima yake. Na nikiona hizi strategies zinazo fail kila kukicha kutoka ofisi nyeti, I believe inawezekana yeye akawa na msukumo mkubwa wa kuwaambia hawa jamaa waanzishe counter effective measures. Mfano mdogo ni huu wa Takukuru na Wabunge, achana na jitihada za kuwasafisha kina Mkapa kwa kutumia mbinu za zama za mawe.

nimekuwa najiuliza kwa muda mrefu.. Wizara ya Utawala Bora inahusiana na mambo gani hasa?
 
Back
Top Bottom