Da Dinnah
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 504
- 181
Angalia kulia kuna sehemu imeandikwa reply with quote binya hapo kama unataka kumshukuru mtu au kukoment post yake sawa mama!thanx elly
kuhusu damu nahisi umri wako pia unaweza kuwa mdogo una miaka mingapi? maana ukianza mapenzi ukiwa mdogo hali hii mara nyingine inajitokeza, na kwa maelezo yako hapo juu isije kuwa sio wewe unatoa damu labda ni yeye