Sms kutoka kwa X girlfriend wangu baada ya kuwa nimeachana naye.

tatizo kwenye mahusiano mwanzonii huwa wanadanganyana sana ooh no one like u what a sh.e.et

Tatizo wengine wanaingia kwenye mahusiano kwa kufata mkumbo kwamba nimebaki mwenyewe ngoja nami niwe na
BF au GF matokeo yake vilio.
 
Hahahah mkuu kwamtoro nimekushtukia, baada ya VALENTINE DAY utamtafuta tena...si ndiyo!???:baby:
 
Last edited by a moderator:
Peleka taharifa polisi. Wajue kinachoendelea usikaa kimya kama ulisha mwanga .nawaonyeshe hiyo text
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini hii story.

Samahani lakini.
 
Itakuwa kama ndoto pale moyo wangu utakapozimika, kama mshumaa uliopulizwa kwa upepo. Utatamani niamke angalau usikie sauti yangu lakini utakuwa tayari umechelewa kilio, huzuni, simanzi na majonzi zitakuwa zimetanda katika kuta za moyo wako. Machozi yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi wangu na moyo utakuwa mpweke kila utakapo iona namba yangu kwenye simu yako. Utatamani uifute ila roho itakuuma kwa kuwa umeizoea hivyo jaribu kufurahia uwepo wangu kabala sijatoeka duniani kwani chura anajua umuhimu wa maji baada ya maji kukauka.

Mimi nikamjibu hivi, je nimekosea???
Umuhimu wako nautambua sana, kwa sababu Mungu alikuleta duniani kwa matarajio yake. Amekuleta ili ufuate amri kumi za Mungu, moja wapo Usizini. Kwa mimi kulitambua hilo nimeachana kabisa kufanya dhambi hiyo. Kwa sasa naomba na kusali nawe uachane na dhambi hiyo ili uishi kwa kufuata maelekezo ya vitabu vyote vya dini. Nachukuwa fursa hii kukualika kanisani jumapili kwani baada ya misa kunasemina ya vijana.


nenda kamlambe kamoja,atabadili mawazo
 
Back
Top Bottom