SMS chochezi: Timu ya IT ya Miraji Kikwete yaanza kazi

Kwa kuwa huu ni uchochezi wa dhahiri, akamatwe yeye na kundi lake na ashitakiwe kwa kuhatarisha amani ya nchi kwa faida ya familia yake. Kinachoonekana sasa hivi suala la urais wa kikwete ni la kifamilia zaidi kuliko inavyopaswa kuwa ni la chama.

Afuatiliwe mtu mwenye no hiyo na afikishwe mahakamani.
 
WANDUGU LEO ASUBUI NIMEPATA SMS TOKA +358897578, ZINZOMKASHIFU DR. SLAA, ZIMEANDIKWA HIVI; slaa ni mropokaji na mgomvianayelumbana na vyombo vya ulinzina usalama wa nchi, anataka damu imwagike ili mradi ashinde. tusikubali nchi yetu iwe kama burundi....

sasa ninajaribu kujua namba hii ni ya mtandao gani, kwa sasa nipo moshi , najua na wengi mmepata sms hizi. naomba mwenye kuelewa huu ni mtandao gani na uko nchi gani tujue.

isije ikawa kuna nchi zimeamua kuingilia uchaguzi wetu

pili, huwa napata sms za kuisifu ccm toka mitandao yote ya voda na tigo, naomba wanasheria wanisaidie kwani nataka kuwashtaki tigo na voda kwa kutoa namba yangu ya simu bila ridhaa yangu, pengine nitawaunganisha na TCRA kwa kuwa zoezi la kusajili namba za simu halikuwa na maana ya kuanza kutoa namba za watu ili waanze kupelekewa sms za matusi kama hayo juu. naomba kama kuna wanasheria makini huku wani sms nianze mapema mchakacho wa kuwashtaki hawa

Hiyo namba ni kama ya nchi za scandinavia ila inakosa code ya mtandao wa nchi ilipo so uwezekano mkubwa imetoka kwenye mitandao ya internet.

Ushauri
Kwanza soma mkataba wako na Voda na Tigo (wanatoa tuvitabu au karatasi fulani zenye terms and conditions). Pili muone mwansheria. Hapa unaweza kupata Bingo kama hawaruhusiwi kutoa info kwa third party
 
Ukiona mti unarushiwa mawe ujue una matunda, CCM members are no longer talking of CUF or other parties, Only CHADEMA, there must be something noticeable and i know they are desperate because they don't know their fate after 31/10/2010
 
Ipo mitandao mingi ambayo unaweza kutuma TXT message bila ku-display namba e.g. www.sendsmsnow.com. Vilevile softphone ambazo zinatumia VoIP (Voice over Internet Protocol) kama vile www.poivy.com. Unaweza kuwa UK lakini unasajiri namba ya India au Russia.

Hata Chadema wakiamua kufanya hivyo wanaweza kwa kuwa naamini ina wataalamu wengi wa IT all over the world. But hicho kitendo cha kugombanisha watu is TOO LOW na wala si cha muhimu katika kutunza amani nchini mwetu. Hata Robocalls CHADEMA wakipenda kwa ajili ya kuhamasisha upigaji kura, wanaweza kuwasiliana nami. Nitafanya Free kama mchango wangu katika mageuzi nchini.

Kama mnaweza ku-forward hiyo TXT message indumeyene@jamiiforums.com ninaweza kukupa exactly location ya mtumaji. Hawa hatu lazima tuwaumbue kwa uchafu wao.
 
La muhimu hapa ni sheria inayoingilia Privacy ya mtu na pia kutuma hate messages ambazo zinaweza kusababisha vurugu.. Hizi mbili zinaweza kabisa kutumika against mashirika ya Simu na hasa Dr.Slaa mwenyewe kuyashtaki...
 
Mkuu, safi sana sana.

Naomba members kama Mwikimbi mwenyewe na wengine waliopata huu ujumbe basi watume kwako haraka na ikiwezekana basi jitu lifunuliwe limejificha wapi. Kama ni huyu SHOGA Miraji sijui kakaa hapo kwao na anafikiri kajificha basi aumbuliwe na ikibidi CHADEMA waingilie kati kutoka hapo. Mengine nafikiri kwa kuwa wana washauri wa IT basi watawajulisha nini wakifanye.
Ipo mitandao mingi ambayo unaweza kutuma TXT message bila ku-display namba e.g. www.sendsmsnow.com. Vilevile softphone ambazo zinatumia VoIP (Voice over Internet Protocol) kama vile www.poivy.com. Unaweza kuwa UK lakini unasajiri namba ya India au Russia.

Hata Chadema wakiamua kufanya hivyo wanaweza kwa kuwa naamini ina wataalamu wengi wa IT all over the world. But hicho kitendo cha kugombanisha watu is TOO LOW na wala si cha muhimu katika kutunza amani nchini mwetu. Hata Robocalls CHADEMA wakipenda kwa ajili ya kuhamasisha upigaji kura, wanaweza kuwasiliana nami. Nitafanya Free kama mchango wangu katika mageuzi nchini.

Kama mnaweza ku-forward hiyo TXT message indumeyene@jamiiforums.com ninaweza kukupa exactly location ya mtumaji. Hawa hatu lazima tuwaumbue kwa uchafu wao.
 
Kikwete hata ufurukute vipi safari hii hutoki. Tunajuwa sasa kuwa wewe ni kibaraka wa USA na CIA wako kazini kuhakikisha unabakia madarakani lakini nakuhakikishia kuwa utaanguka tuuuuuuuuuuuuu.

Hilo tunalijua kuwa huyu dogo na Lowasa wako CIA na jambo hili ni miongoni mwa mambo yaliyo muumiza sana Mwalimu Nyerere kwa kulijua hilo.... Ushahidi upo hatatukiamua kuutumia tunaweza.... Hatuugopi marekani wala Vibaraka wake....Uhai wa mtu mmoja nini kwa maslahi ya watu million 35.
 
Leo asubuhi nimepokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu ya mkononi,ujumbe wenyewe ni kama ufuatao "slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi, anataka damu imwagike ilimradi ashinde.tusikubali nchi yetu iwe kama somalia,congo na rwanda.mpinge slaa chagua kikwete" namba iliyonitumia ujumbe huo ni +3588976578. Pls wanajamii jihadharini msidanganyike na message kama hizi
 
Weka data mkuu tutachambua wenyewe....Ni mambo gani walifanya hadi mwalimu akafahamu kuwa EL na JK ni CIA?
Mkuu weka data hapa hii ni kwa maslahi ya Taifa la Tanzania na si marekani....Kuficha ficha habari kama hizo na kuwatisha na kudhani eti wataachia madaraka si solution,kuweka ukweli wazi ndo jambo la maana ili wananchi waamue kama inawezekana kuwatumikia mabwana wawili.
 
Mimi nimepata SMS lakini kwa kweli nime-ignore...

Hata hivyo Dr. Slaa analipa alichopanda, Amri Jeshi Mkuu mtarajiwa huwezi kujadili vyombo vya usalama kwenye majukwaaa .... that was tooo cheap!!!
Dr Slaa hafanyi mijadala kwenye majukwaa,bali anahutubia!
Ama ulimaanisha kauli zake za kumjibu Shimbo aliyejiingiza kichwa kichwa kweye siasa?Na si kuna habari kuwa alitumwa?Alichokuwa akiuliza Dr ni uthibitisho kwamba kauli ile ilikuwa yaJeshi ili wajue hatua za kuchukua coz jeshi halina sababu yoyote ya kujiingiza kwenye malumbano ya siasa.
Akili kumkichwa,jeshi na siasa wapi na wapi bana....
 
Kikwete hata ufurukute vipi safari hii hutoki. Tunajuwa sasa kuwa wewe ni kibaraka wa USA na CIA wako kazini kuhakikisha unabakia madarakani lakini nakuhakikishia kuwa utaanguka tuuuuuuuuuuuuu.
\

nafikiri huu ndio muda muafaka wa kuwajibu kwenye kura badala ya mabishano kwenye mobile ama internet.....saa ya ufufuo na uzima ??saaa ya ufufuo na uzima...
wameshindwa wameshindwa wameshindwa kabisa....hawaweziwawezihawawezi kabisa saa ya ufufuo na uzima.....polesana sheikh yahya shuguli imeanza...hatutakiwi kuongozwa na mapepo bali na chaguo la mungu si chaguo la majini
 
teja miraji kikwete na wavuta bangi wenzake hao,sasa licha ya kutumia pesa nyingi kwenye kampeni bado ccm wameamua kuingia hadi tume kupitia haya mateja,
 
Tafadhali ndugu yangu uanze kusambaza ujumbe usiombe kupewa na wengine. Ila mimi nitakutumia ujumbe mfupi usambazwe kujibu upotoshaji huo. Vilevile wengine ambao ni wataalamu wa mawasiliano nao watunge na kusambaza kwa watu wengine.

Hata Chadema wakiamua kufanya hivyo wanaweza kwa kuwa naamini ina wataalamu wengi wa IT all over the world. But hicho kitendo cha kugombanisha watu is TOO LOW na wala si cha muhimu katika kutunza amani nchini mwetu. Hata Robocalls CHADEMA wakipenda kwa ajili ya kuhamasisha upigaji kura, wanaweza kuwasiliana nami. Nitafanya Free kama mchango wangu katika mageuzi nchini.

Kama mnaweza ku-forward hiyo TXT message indumeyene@jamiiforums.com ninaweza kukupa exactly location ya mtumaji. Hawa hatu lazima tuwaumbue kwa uchafu wao.[/QUOTE]
 
Leo asubuhi nimepokea ujumbe mfupi kwenye simu yangu ya mkononi,ujumbe wenyewe ni kama ufuatao "slaa ni mropokaji na mgomvi anayelumbana na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi, anataka damu imwagike ilimradi ashinde.tusikubali nchi yetu iwe kama somalia,congo na rwanda.mpinge slaa chagua kikwete" namba iliyonitumia ujumbe huo ni +3588976578. Pls wanajamii jihadharini msidanganyike na message kama hizi

Ilianza shuka kwa shuka;
Ikaja Kitanda kwa Kitanda
Ikaja Nyasi kwa Nyasi
Sasa hii ya +358 tuite je?
 
Back
Top Bottom