Slow jams - pini ipi ilikubamba

Elton John sacrifice
Huyu jamaa tokea nijue ni upinde hiyo nyimbo nikiisikia huwa napata mfazaiko sana aiseee. Ni nyimbo tamu sana na nilianza isikia tokea nikiwa dogo sana na nilikuwa na demu wangu wa kipemba enzi hizo katoto ka baharia m'moja alizaa na mama wa kihehe ambaye alikuwa best sana na mama yangu.

So kile kitoto kilikuwa kinakuja sana home maana ni jirani tu nyumba zinatizamana. Tunaogeshwa pamoja, tunakunywa uji pamoja, tunalala pamoja, maza yake alikuwa mtu wa biashara sana so akitoka dogo anakuja kushinda home. Alikuwa kama mke wangu tu wa utotoni maana tulikuwa sote muda mwingi

Sasa hii ngoma ilikuwa naiskia sana inagongwa nadhani Radio Tanzania enzi hizo za miaka ya 1990's mwanzoni kule. Sasa ngoma ilikuwa inapiga mimi ni mtoto ila unajua kabisa hapa hii nyimbo ina utamu.

Sasa da nikikumbuka hizi beautiful childhood memories halafu jamaa analiwa kiboga aisee napata fadhaa kubwa sana. Ni kama kuwa na mjomba anayekupenda sana anakuletea zawadi kila akija anakubeba anakujali sana halafu usikie amekamatwa katika tukio la ujambazi kumbe ndio kazi yake ujambazi.
 
How you gonna act like that - Tyresse
Dah unapatia balaa sijui ulikuwa wapi maisha yangu haya hadi nakutana na watu wanasikiliza za kinaijeria muda wote.

Sasa wewe si tungekuwa weekends hatutoki tunaweka ngoma tunasikiliza sote, tukiwa njiani kwenye gari ni ngoma zetu hizi tu aisee. Mtoto unapatia balaa wewe.
 
Dah. Sasa skia. Unataka kujua hii Rain on me imetokea wapi?!

Kuna mwamba anaitwa 'Frankie' ana kibao chake kikali kinaitwa "if i had you" ndipo hii ngoma ya Ashanti ilipotokea. Ingia hapo mitamboni uitafute hii ngoma ya Frankie halafu naomba uniletee mrejesho wako hapa.
Hio ngoma ukiiangalia video yake inasikitisha sana. Mwanamke anakuwa harrased na mchizi hamthamini😀 mtoto akikutana na baharia tu anakufa anaoza.
 
Dah unapatia balaa sijui ulikuwa wapi maisha yangu haya hadi nakutana na watu wanasikiliza za kinaijeria muda wote.

Sasa wewe si tungekuwa weekends hatutoki tunaweka ngoma tunasikiliza sote, tukiwa njiani kwenye gari ni ngoma zetu hizi tu aisee. Mtoto unapatia balaa wewe.
Swaga za kinaijeria zilikubamba, sasa zimekuchosha nakumbuka old skul 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom