Slama Jabiri aikashifu Yanga

Alisema ukweli, kwamba Yanga wanaanza vizuri ila umaliziaji mbaya. Mimi mshabiki mkubwa wa Yanga na nakubaliana naye kabisa katika hili.
 
Jaman tangu lini beki aahidi magoli hahahahaha dah watu wazima wanadanganywa... Kahindwa kukaba wachezaji wanaolipwa laki moja ye analipwa mamilion anasema tusubir mabao zaid daaaaah me sitaki kudanganywa bana... Labda ana ndoto za kuwa mfungaji bora hahaahaha

ukishindana maneno utashindwa kuna wengine midomo yao Mipana(OVER SIZE) ...tusubiri uwanjanan!
 
Mlimkuwa mnamgombea ili akatupie au akazuie kina Felix, Javu wasitupie? Naona sa hivi anashindana na Bahanuzi kutupia magoli.

Mkuu soka la kisasa halitenganishi majukumu ya wachezaji uwanjani,ndo maana kila baada ya siku kadhaa utasikia Vicent Kompany au yule Konscienscy wametupia kule kwenye team zao,ndo mabeki wa kisasa wa dunia ya leo wanavyocheza,katika kundi hili la mebeki wa kisasa unaweza kuwakuta kina Canavaro au yule Paul Ndauka kamwe huwezi kumkuta Nyoso humo
 
Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?

Jaman tangu lini beki aahidi magoli hahahahaha dah watu wazima wanadanganywa... Kahindwa kukaba wachezaji wanaolipwa laki moja ye analipwa mamilion anasema tusubir mabao zaid daaaaah me sitaki kudanganywa bana... Labda ana ndoto za kuwa mfungaji bora hahaahaha
Hivi ndivyo wanafunzi wanaofundishwa na mwalimu mmoja na kufanya mtihani wa aina 1 wanavyotofautiana katika marks,Kaka mtu kuahidi kazi kubwa zaidi siyo lazima iwe magoli,inaweza ikawa kazi kubwa katika kuokoa vilevile
 
Mkuu soka la kisasa halitenganishi majukumu ya wachezaji uwanjani,ndo maana kila baada ya siku kadhaa utasikia Vicent Kompany au yule Konscienscy wametupia kule kwenye team zao,ndo mabeki wa kisasa wa dunia ya leo wanavyocheza,katika kundi hili la mebeki wa kisasa unaweza kuwakuta kina Canavaro au yule Paul Ndauka kamwe huwezi kumkuta Nyoso humo
Hiyo ya kuacha majukumu yako ya msingi ndo kilichomcost Alex Song akauzwa kirahisi kwenda Barcelona, yeye alisajiliwa kucheza kiungo cha ukabaji lakini akajifanya fundi wa kutoa pasi za mwisho akidhani anaisaidia timu kumbe anaipoteza.
 
Katika kipindi cha Epic Bongo Star Search, kijana mmoja aliyefanya vibaya sana akamfananisha na Yanga. Ati Yanga ni kawaida yao kufanya vibaya. Hiii, hiii mie nalia, kweli anatudharau hivi jamani, mzee Akilimali umemuona huyo binti, labda katumwa na Rage huyu.
Ngoja tusubiri waje wenyewe watuambie hayo mazuri waliofanya Yanga ni yapi? Mimi nipo hapa siondoki nasubiri kujuzwa.
 
Mzee Akilimali alikuwa Tanga...kuwazibia Simba ili wafungwe na Coastal Union...
Walifikiri Simba SC ni sawa na Toto African, kwamba ukiwashusha magabachori wenye vikapu mkononi siku mbili kabla ya mechi pale klabu ya Coastal Union, kutaimotisha Coastal kuifunga Simba SC.

Mnyama Simba ameshindwa kufungika pamoja na magabachori kuahidi milioni 100 sembuse hicho kijimbwa koko, kwanza kingepangiwa muziki wa Simba SC kamili kangepumua, si wangesema Mnyama kaonea.
 
Mkuu soka la kisasa halitenganishi majukumu ya wachezaji uwanjani,ndo maana kila baada ya siku kadhaa utasikia Vicent Kompany au yule Konscienscy wametupia kule kwenye team zao,ndo mabeki wa kisasa wa dunia ya leo wanavyocheza,katika kundi hili la mebeki wa kisasa unaweza kuwakuta kina Canavaro au yule Paul Ndauka kamwe huwezi kumkuta Nyoso humo
Ni kweli hapo kwenye maneno yenye rangi yenu hawapo, ila kwenye mabeki wa kisasa utawakuta.

Hebu wakumbushe wana JF, Amri Kiemba na Nassoro Chollo wanachezea nafasi gani katika timu ya Simba SC? maana naona unaifahamu vizuri sana..
 
Du Bongo balaaa! sasa hiyo bongo star search ndio inafanya vizuri kuna star ilishawi kumtoa na akang'aa kweli?? au nyani alioni la kwake, bora yanga wanabeba ndoo.
 
Labda katumwa na Mkwewe mwenye pua kubwa ili aikashifu yanga ya Manji
 
si mtani wa jadi sasa kwa nini asiseme ukweli bana! hivi huyo Mbuyu twite mlokuwa mnashangiliiiiiiiiiiiiiiiiia sijaona chochote alichofanya ambacho kimezidi zaidi ya wabongo!

Katupia 1 juzi,na ka'promise kazi kubwa zaidi in the coming games.....embu niambie Keita na Ochieng wamefanya nini cha maana toka waanze kuvuta oxygen ya Tz?!

Jaman tangu lini beki aahidi magoli hahahahaha dah watu wazima wanadanganywa... Kahindwa kukaba wachezaji wanaolipwa laki moja ye analipwa mamilion anasema tusubir mabao zaid daaaaah me sitaki kudanganywa bana... Labda ana ndoto za kuwa mfungaji bora hahaahaha!

Kwenye game ya Yanga ya juzi dhidi ya Ruvu Shooting, wenye ufahamu mkubwa wa mambo ya soka,tuliendelea kuthibitisha kile alichotuahidi Mbuyu Twite
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom