Malavidavi na usomi eh? Angekuwa msomi (siyo wa theolojia) angefundishwa mbinu za kuficha sehemu zake za siri ndani ya chupi yake badala ya kumpa kila mwanamke anayekutana naye. :hand:
Mwanamke huyo alivyo mzuri!?! Hata mimi ningelimweka ndani........... nani alisema ukiona kizuri waanza kuuliza uliza? muulizeni pedeshee JK!
Yule mwanaume atajuta kutumiwa na sisi m. Maana ifikapo 1.11 Dr atakuwa ikulu na atakuwa kwenye mikakati ya ndoa, ikiwa ni pamoja na mama kuvunja ndoa mahakamani na kufunga mpya na Mr Prezidaaaa
Acheni ujinga nyinyi, hatuangalii swala la uzinzi hapa! Tunaangalia mchapa kazi na mwenye moyo wa kizalendo kwa TZ.
Tukianza kuchambua wazinzi kuna atakayebaki hapa acheni hizo. Kuna marais kibao wazinzi na wanafanya kazi yao ipasavyo na kuleta nchi zao maendeleo.
Unataka kusema umasikini wenu na ufisadi ni bora kuliko uzinzi? Wizi wa mabilioni na UUAJI (ndio uuaji unashangaa nini? Kama unasababisha watoto kufa wakati wa kuzaliwa si uuaji, kutoweka dawa hosp sio uuaji enh? Kumpiga mtu risasi anayetetea haki yake ya kikatiba ya kuandamana kwa amani akiwa hana hata jiwe mkononi si uuaji?) KIPI BORA HAPA?
Tunahitaji wachapakazi watuongoze kuleta maendeleo Tanzania sio kuogopa mabadiliko. Pasipo mabadiliko hakuna maendeleo. Badilikeni sasa Watanzania acheni kufanya bongo zenu ngumu!!
what else can he say?
Lazima aseme hakujua kuwa ni mke wa mtu kisheria
hamna kitu kibaya kama kuzini na mke wa mtu! mchungaji slaa ni mchafu nje ndani... hafai kabisa...
Ni kawaida kwa Mapadre kutembea na wake za Watu,hawako makini kabisa kwenye hiyo kitu,nafkiri Slaa baado ana kaupadre padre
Kwani unafikiri halikuwa hajuhi? Kule Nyakato National Mwanza kuna Padre mmoja wa Kiitaliano anakula Mama ya Msukuma mmoja na anawasomesha watoto wa jamaa na jamaa kimya,anawatoa out watoto wa kike wa jamaa na mbaya watoto wenyewe wamekua sasa,lijamaa linaweza kula kuku na miyai yake...mweeee.....
kuishi na mwanamke mwingine wakati mahakama haijatoa talaka haimaanishi kuwa ndoa hiyo imevunjwa. pia, kwa habari ya presumption of marriage ya miaka miwili, presumption hiyo inaweza kuwepo kama hakukuwa na ndoa, kama mmoja wapo alikuwa kwenye ndoa akaenda kuishi na mwanamke mwingine, huyo huyo hawezi kudai dhana ya ndoa...yaani, kwasababu josephine alishakuwa na ndoa inayoendelea, hawezi kudai dhana ya ndoa hata kama amekaa na slaa kwa miaka miwili, hata kama mwanaume wake wa ndoa alihama nyumbani kwenda kuishi kwingine kwa miaka mitatu...
alichotakiwa kufanya josephine ni kwenda mahakamani kuomba talaka kwa sababu ya desertion pamoja na kwamba miaka mitano haijafika (mitatu au mitano hivi sina uhakika nimeisoma sheria hii zamani), akipata talaka ndo atakuwa huru, kama hajapata talaka, huyo alikuwa bado mke wa mtu..na slaa alikuwa anazini. uyo mwenye mume alitakiwa kumfungulia slaa kesi ya madai ya kuzini na mke wake. Mimi namsapoti slaa lakini hapa amefanya blanda kubwa sana na ametuangusha sana wafuasi wake...hii kitu Mungu ameumba inatusumbua sana wanume kiasi cha kufanya mambo mengine bila kufikiria...
Mwanamke anakuja kwako na watoto wawili humuulizi baba yao nani na mmetengana vipi?
Mwanamke anakuja kwako na watoto wawili humuulizi baba yao nani na mmetengana vipi?[/QUOTE
Baba wa watoto haimaanishi mume. Wanawake wangapi wana watoto lakini hawana waume? Suala lenyewe lipo mahakamani, sheria ya ndoa ipo. Tunamtaka Rais mwenye uchungu wa kulinda nchi yetu na raslimali zetu, rais ana mke au hama si suala la maana. Naona saa hizi watu wanajifanya wanajua hata uzinzi na kuuhusisha na urais, mbona kama ni hivyo huo umakini haupo tangu siku nyingi. Je ndoa za wagombea wengine tunazihoji vile vile?
Katika ugombea urais sisi tunafuatilia Katiba, sheria na kanuni zetu zinazoongoza mambo yetu, nje ya hapo naona tunataka kuhangaishana bure.
Mwanamke anakuja kwako na watoto wawili humuulizi baba yao nani na mmetengana vipi?[/QUOTE
Baba wa watoto haimaanishi mume. Wanawake wangapi wana watoto lakini hawana waume? Suala lenyewe lipo mahakamani, sheria ya ndoa ipo. Tunamtaka Rais mwenye uchungu wa kulinda nchi yetu na raslimali zetu, rais ana mke au hama si suala la maana. Naona saa hizi watu wanajifanya wanajua hata uzinzi na kuuhusisha na urais, mbona kama ni hivyo huo umakini haupo tangu siku nyingi. Je ndoa za wagombea wengine tunazihoji vile vile?
Katika ugombea urais sisi tunafuatilia Katiba, sheria na kanuni zetu zinazoongoza mambo yetu, nje ya hapo naona tunataka kuhangaishana bure.
Ni kweli kuwa baba watoto si lazima awe mume, kuna wanawake single parents. Lakini huyu Slaa alijua kuwa huyu Josephine ana ndoa ya kikristo. Anadai walishatengana na mumewe ndio maana amemchukua awe mchumba wake. Lakini hakuhoji kama ana talaka. Kwa hiyo anataka kufunga ndoa na mwenye ndoa, ambalo ni uvunjaji wa sheria. Ni dalili mbaya kwa anayetaka kuwa rais. Usipokuwa mwaminifu katika hili la sheria ya ndoa, tutakuaminije na sheria nyingine zilizoko nchi hii?
Tatizo tunalofanya hapa tumechukua maelezo ya upande mmoja wa mdai na kufanya kama ndiyo ukweli wote usio na shaka. Ningependa pia tupate maelezo kutoka kwa Josephine yeye anasema nini. Pia hatujui sababu zilizofanya waamue kutengana na pia kulingana na imani yao ya dini kipi kikifanyika ndoa inakuwa haipo tena. Kwa hiyo, kabla ya kujadili suala hili tulipaswa tujue ukweli huu. Vinginevyo, tunapoteza muda tu.
Dr slaa msomi na daktari unakaa na mwanamke anawatoto wawili hujui kama watoto wake wana baba?