Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

Dr slaa msomi na daktari unakaa na mwanamke anawatoto wawili hujui kama watoto wake wana baba?

Wewe mwehu.

Mambo ya malavidavi na usomi wapi na wapi?

Au na wewe ni walewale kina Mr. Josephine ... kukimbiwa na mwanamke. Kama mimi najinyonga!!
 
Ni kawaida kwa Mapadre kutembea na wake za Watu,hawako makini kabisa kwenye hiyo kitu,nafkiri Slaa baado ana kaupadre padre
 
Dr slaa msomi na daktari unakaa na mwanamke anawatoto wawili hujui kama watoto wake wana baba?

Kwani unafikiri halikuwa hajuhi? Kule Nyakato National Mwanza kuna Padre mmoja wa Kiitaliano anakula Mama ya Msukuma mmoja na anawasomesha watoto wa jamaa na jamaa kimya,anawatoa out watoto wa kike wa jamaa na mbaya watoto wenyewe wamekua sasa,lijamaa linaweza kula kuku na miyai yake...mweeee.....
 
Hivi wewe ndio unaigiza kwenye lile gazeti la sani?

kama nyie mnaogiza kuchukua nchi kwenye JF yaani ni ze komedi XXL mie huwa sina mbavu na nina uhakika JF inaongoza kwa watu wanaotoka kaskazini...heheheh
 
Unajua ushabiki mwingine ni kama utoto, yaani hata mtuhumiwa anapokubali makosa shabiki anapinga kama wewe unazani dr slaa ni msafi umechemka na hatudanganyiki.
jk ndo mmsafi saaaana
 
Anadai pia kuwa hakujua kuwa Josephine ameolewa ama aliwahi kuolewa na hata pia Josephine hakuwahi kumweleza kuwa ni mke wa mtu.
HabariLeo | Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

kwa sasa kama amejua hilo na huenda ameelezwa basi kumaliza ugomvi aachane naye mbona TZ imebarikiwa kuwa na wanawake wengi na wazuri sana kila kona na hawana wanaume wala watoto? au ndiyo hivyo kuna kitu kaonyeshwa hawezi pata sehemu nyingine tehetehee
 
Wajibu gani? ana wajibu wa kuendelea kumtunza Josephine, Yule jamaa alipaswa kwenda polisi baada ya kugundua kuwa mke wake haonekani, sasa kakaa miaka mitatu hadi uchaguzi, na hilo jimama linalokaa naye la CCM linalogombea jimbo moja la DSM atalipeleka wapi? yeye alulie na jimama lake jipya na Josephine amuache na Slaa

Tatizo lake ilikuwa ni pesa na kama hawakumpa imekula kwake kwani ishu yake imekosa mvuto kabisaa zaidi imemuongezea umaarufu Dr Slaa

Hiyo miaka mitatu umeitoa wapi? Au ndiyo "hatudanganyiki lakini ruhsa kudanganya" katika kutetea uozo wa Chadema? :tonguez:
 
Wewe mwehu.

Mambo ya malavidavi na usomi wapi na wapi?

Au na wewe ni walewale kina Mr. Josephine ... kukimbiwa na mwanamke. Kama mimi najinyonga!!

Malavidavi na usomi eh? Angekuwa msomi (siyo wa theolojia) angefundishwa mbinu za kuficha sehemu zake za siri ndani ya chupi yake badala ya kumpa kila mwanamke anayekutana naye. :hand:
 
Huyu Mlalamikaji kwa kuishi na wanamke mwingine na kukaa kimya kwa miaka mitatu wakati sheria hiyo hiyo ya ndoa inasema mkiishi kama mke na mume kwa miaka miwili ninyi mnahesabika mpo kwenye ndoa.

Sheria ni msumeno na hivyo kinyume chake ni kuwa ukiithibitishia mahakama ya kuwa wanandoa hamkuwa mnaishi kama mume na mke kwa kipindi kinachozidi miaka miwili basi sana sana mahakama itakachofanya ni kutamka kuwa ninyi mliachana baada ya hiyo miaka miwili iliyopita na hamna ndoa yoyote na hakuna kudaiana isipokuwa kama kuna mali mlizichuma mkiwa pamoja matagawana kulingana na jasho la kila mhusika.

Hii ndiyo tafsiri sahihi ya shewria ya ndoa yetu.

CCM wanatapatapa tu na hata sheria walizokuwa wanazipitisha wao wenyewe bungeni hata hawazijui wangelizijua wansingehangaika na huu upuuzi ambao unathibisha jinsi ambavyo walivyo mambumbu wa kutupwa.

kuishi na mwanamke mwingine wakati mahakama haijatoa talaka haimaanishi kuwa ndoa hiyo imevunjwa. pia, kwa habari ya presumption of marriage ya miaka miwili, presumption hiyo inaweza kuwepo kama hakukuwa na ndoa, kama mmoja wapo alikuwa kwenye ndoa akaenda kuishi na mwanamke mwingine, huyo huyo hawezi kudai dhana ya ndoa...yaani, kwasababu josephine alishakuwa na ndoa inayoendelea, hawezi kudai dhana ya ndoa hata kama amekaa na slaa kwa miaka miwili, hata kama mwanaume wake wa ndoa alihama nyumbani kwenda kuishi kwingine kwa miaka mitatu...

alichotakiwa kufanya josephine ni kwenda mahakamani kuomba talaka kwa sababu ya desertion pamoja na kwamba miaka mitano haijafika (mitatu au mitano hivi sina uhakika nimeisoma sheria hii zamani), akipata talaka ndo atakuwa huru, kama hajapata talaka, huyo alikuwa bado mke wa mtu..na slaa alikuwa anazini. uyo mwenye mume alitakiwa kumfungulia slaa kesi ya madai ya kuzini na mke wake. Mimi namsapoti slaa lakini hapa amefanya blanda kubwa sana na ametuangusha sana wafuasi wake...hii kitu Mungu ameumba inatusumbua sana wanume kiasi cha kufanya mambo mengine bila kufikiria...
 
huyu dr slaa anakesi mahakamani ya uporaji wa mke wa mtu hivyo amepoteza sifa za kugombea urais akae pembeni!!!
ni aibu kuwa na rais na first lady malaya!!!
 
tatizo si ushabiki ila habari imeandikwa kiushabiki...mbona nazir karamage alivunja ndoa ya mtoto wa getrude mongela...unajua hiyo...! uzuri ni kwamba watanzania wengi ukitoa wachache hatutaki kuangalia nyeti za Dr SLAA ila ubongo wa Dr SLAA...
 
Wewe mwehu.

Mambo ya malavidavi na usomi wapi na wapi?

Au na wewe ni walewale kina Mr. Josephine ... kukimbiwa na mwanamke. Kama mimi najinyonga!!

Nadhani wewe ndio mwehu maana haihitaji hata degree kujua kama kulikuwa na aliekutangulia maana shamba kama limeshawahi kulimwa utalijua tu.
 
huyo mume ana uhakika wale ni watoto wake?anataka kuumbuka?

URASA huwezi kutenda haki kwenye hili kwasababu chama cha muhishimiwa ni cha kabila letu hata kama unaona hafai utataka afae tu!!!!! Kwa namna hii Ikulu mtaiona paa.
 
kuishi na mwanamke mwingine wakati mahakama haijatoa talaka haimaanishi kuwa ndoa hiyo imevunjwa. pia, kwa habari ya presumption of marriage ya miaka miwili, presumption hiyo inaweza kuwepo kama hakukuwa na ndoa, kama mmoja wapo alikuwa kwenye ndoa akaenda kuishi na mwanamke mwingine, huyo huyo hawezi kudai dhana ya ndoa...yaani, kwasababu josephine alishakuwa na ndoa inayoendelea, hawezi kudai dhana ya ndoa hata kama amekaa na slaa kwa miaka miwili, hata kama mwanaume wake wa ndoa alihama nyumbani kwenda kuishi kwingine kwa miaka mitatu...

alichotakiwa kufanya josephine ni kwenda mahakamani kuomba talaka kwa sababu ya desertion pamoja na kwamba miaka mitano haijafika (mitatu au mitano hivi sina uhakika nimeisoma sheria hii zamani), akipata talaka ndo atakuwa huru, kama hajapata talaka, huyo alikuwa bado mke wa mtu..na slaa alikuwa anazini. uyo mwenye mume alitakiwa kumfungulia slaa kesi ya madai ya kuzini na mke wake. Mimi namsapoti slaa lakini hapa amefanya blanda kubwa sana na ametuangusha sana wafuasi wake...hii kitu Mungu ameumba inatusumbua sana wanume kiasi cha kufanya mambo mengine bila kufikiria...

umesoma au kupata kujua kesi yenyewe ni nini? Tatizo lenu nini si muache kesi isikilizwe mbona mnawasemea jaji,na kwanini mlazimishe ndoa ya mtu msipende kuhukumu kwani nanyi mtahukumiwa,tusikilize nani mkweli na kisheria Slaa amejibu vema kwani wanawake wangapi wanaolewa na hawasemi kama waliwahi kufunga ndoa,sheria ya ndoa ndiyo ipo lakini kama umeowa na kuolewa unaweza kujua nakuhisi na mwisho utaamua kukaa kimya.
sitetei lakini namuunga mkono kwa majibu yake ya kisheria.Ni nani anayethibitisha ugoni au uzinzi?
 
mkuu hizi sheria za ndoa za tanzania ni kizungumkuti kabisa yani mm nimeshindwa kuielewa kabisa nina rafiki yangu mke aliondoka mwenyewe om zaidi ya mwaka mume amemfatia ataki kurudi mke amekwenda kwa wanasheria wakina mama ss wanataka wagawane mali baada ya kushauriwa na hao wanasheria
 
Back
Top Bottom