Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

huyu baba wwa hawa watoto alikuwa wapi kutuletea story za ajabu wakati wa uchaguzi shame on you alikuwa anataka huyo mama maisha yake yasimame kwa furaha ya moyo wake au
Umeandika nini
 
Anadai pia kuwa hakujua kuwa Josephine ameolewa ama aliwahi kuolewa na hata pia Josephine hakuwahi kumweleza kuwa ni mke wa mtu.

Dk. Slaa anaiomba Mahakama iitupe kesi hiyo kwani haina msingi wowote kwa sababu mdai mwenyewe alijidhalilisha kwa kukubali kutumiwa na chama cha siasa (hakukitaja) kutoa habari hizo kwenye vyombo vya habari na kukubali kuhamia nyumbani kwa mwanamke ambaye ni kiongozi wa chama hicho.

Anadai kuwa kwa kutoa habari hizo kwenye vyombo vya habari, mdai ameonesha wazi kuwa hana maadili na hivyo Mahakama imwamuru alipe gharama za kesi hiyo. Mahakama ilipanga kesi hiyo itajwe Oktoba 5.

HabariLeo | Slaa: Sikujua kama Josephine kaolewa

Mzee msanii... Unafikia hadi kuweka ndani mtu kumbe humjui

Au dhamira haikumsuta?
 
dr. silaa! Unacheza na maneno, afadhali ungekuwa mkulima nasi tungenunua mazao yako sokoni. Usiwe mzigo, fanya ambayo angefanya theologian walau watoto/vijana wajifunze la maana kutoka kwako.
 
Mzee kafundishwa style ya kutiririsha maji basi haoni hasikii. Anatupiwa mabegi na kulala kwenye gari lakini hakomi
 
Back
Top Bottom