Mkuu, unaishi kwenye nyumba ya vioo vitupu alafu unaanzisha vita!Huyu Mkatoliki safi anaitwa Adolf Hitler, katekeleza mauji ya watu 12,000,000 (Concentratio Camps and Civilians WWWII) bwana Yesu asifiwe. Back to the topic vipi na wewe upo kwenye list ya kwenda Ujerumani Kujifunza maadili ya Kikiristo?Osama na Alqaida wake wamefadhili uislamu kutekeleza mauaji mengi sana Duniani ikiwemo la ofisi za balozi za US za Nairobi na Dar.Huko aliko aendelee kuchomwa kwa moto wa kiberiti.Na hao wafuasi wake pamoja na aliyeandika posti hii (Sokomoko) washindwe katika Jina la Yesu Kristo.
Sasa ina Maana Shiite na Sunni miongozo yao ni pamoja? or nimesahau Dini ya watu wa House of SAUD nadhani Bakwata wanawakimbia sababu siasa zao ni kali haswa hawapendelei wanawake kuwa huru ukienda sokoni lazima Mwanamme akuongoze, hawaruhusu wanawake kuendesha Magari; Bakwata ilifanya vizuri kuwakimbia
Unaona walivyokuwa wanatwangwana Bahrain?
Ningekuona ni Great Thinker kama ungeanza kuhoji kwa nini serikali ikubali kuwa na ubalozi wa kanisa katoriki hapa Tanzania, je haujui kama Vatican ni kanisa katoliki?Sasa kama umeshau si ungepita kimya kinya kuliko ku post upupu? by the way upo off topic hapa kina jadiliwa "Ushirikiano wa CDU na CDM"
Wanajamii. Huyu bwana aliyetoa hii thread ni terrorist, nimefanya uchunguzi taarifa zake zote ninazo, ametumwa kutumaliza.
baada ya kumpokea bwana mwokozi wako umekiri mwenyewe moyoni kwako kama chadema ni chama cha kikiristo, kwa ili umeona hakuna tatizo chadema kuwa chama cha kikiristo, ndio maana mnapata msaada mkubwa kutoka chama cha kikiristo cha ujerumani cdu, natumai utakuwa mmoja wa vijana watakaoenda kujifunza maadili ya kikiristo
wakatilki na siasa za tz
Kwani hayo si mageni huko kwenu Tanzania.
Someni kitabu cha Padre Silvanus kinachoitwa "" Kanisa Katoliki na Siasa za Tazania"" mtayaona jinsi wakatoliki wanavyo imendea Tanzania
Mbowe sio Mkatoliki ni M-lutheri, acha sokomoko!
Waislam na ubwabwa wa idd.wakatilki na siasa za tz