Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

Status
Not open for further replies.
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.

Daaaaaaaaaaaaaah! jamani ama nimeamini njaa ni mbaya sana, Mwampamba wakati unagombea ubunge mbozi kwa tiketi ya chadema ulimsifu sana Slaa akiwa kama mgombea wa uraisi.. Uliiponda sana ccm kwa kukidhiri kwa ufisadi, ulimponda sana Kikwete na godfrey Zambi. Na tulikuamini sana na ndio maana wengine tukajitolea kusindikiza msafara wako kuanzia Isangu hadi Manyara takribani km 7 kwa miguu na baiskel huku wewe ukiwa umepanda gari. Kwenye kampeni zako ulikuwa unasema ukiishabikia ccm ujanani ukizeeka utakuwa mchawi,. Je ndiko wewe unakoelekea? Hueleweki kabisa wewe maana siku wakikufurusha huko ukaenda ACT bila shaka utawaponda tena wafadhili wako CCM, hizo ni tabia za kibinti.
 
ukiwa CHADEMA lazima ukubali kununuliwa, hivi Shibuda alipewa sh. Ngapi kuhamia CHADEMA
 
Mtela Mwampamba, kwa nini uandikie mate na wino upo? Naomba nikurudishe nyuma kidogo miaka mitano iliyopita...
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ilidaiwa Watanzania 11,510,482 sawa na asilimia 57.16% ya Watanzania waliojiandikisha kupiga kura ilidaiwa na Tume ya Uchaguzi chini ya Marehemu Jaji Lewis Makame kuwa hawakujitokeza kupiga kura. Katika uchaguzi huo mgombea wa kiti cha Uraisi kutoka CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, alipata kura 5,276,827 sawa na asilimia 26.20% ya Watanzania wote waliojiandikisha. Je ni kweli Watanzania walio wengi baada ya kujiandikisha kwa hiari yao walikuja kuamua kutoshiriki?

Pamoja na udanganyifu huu uliofanyika mwaka 2010, pengine lilikuwa ni jambo jema kuiacha CCM iendelee kubaki madarakani kwa awamu nyingine. Hivi sasa hakuna Mtanzania asiyeshuhudia madudu ya CCM...baada ya kukabidhiwa hiyo hati ya kifo, angalia inavyokufa taratibu; CCM iko motoni ikijikaanga kwa mafuta yake yenyewe! Kwa sababu wananchi wengi wameshaanza kuamka, shukrani kwa elimu iliyokuwa inatolewa na inayoendelea kutolewa na vyama vya upinzani kwani wananchi wamepata fursa nyingine ya kuipima CCM kwa kutafakari kwa kina haya maswali mawili;

  1. Je yawezekana CCM baada ya kupewa nafasi nyingine ingeweza kujirekebisha?
  2. Je madai ya Chadema kuwa CCM ilipofika haingeweza kujirekebisha yana ukweli?
Lakini tofauti na hila CCM kujipa nafasi nyingine ya kushika madaraka mpaka sasa uchaguzi mwingine ukikaribia wananchi wameweza kupata nafasi tosha ya kushuhudia wenyewe jinsi mambo yalivyozidi kuharibika siku hadi siku. Wameshuhudia, pamoja na kuahidiwa maisha bora, hali ya maisha ilivyozidi kuwa ngumu huku watawala wakiendelea kumeremeta kupitia jasho lao. Wananchi wameshuhudia kwa macho yao utawala wa kifashisti wa CCM ulivyozidi kuvitumia vyombo vya dola ambavyo vilitakiwa viwalinde vikitumika kuendesha vitendo vya kigaidi dhidi yao.

Asante sana kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC, Marehemu Jaji Lewis Makame, kwa kumtangaza Jakaya Mrisho Kikwete kama mshindi wa Uraisi tarehe 05/11/2010…kwa kufanya hivyo ni kama aliipa CCM kamba ijinyonge. Laana ya kuchakachua matokeo ya kura mwaka 2010 yameiandama na kuiganda CCM kama kupe ikiifyonza damu hadi kubaki kiwiliwili tu. Nani alijua kwa mfano kuwa wale wale mafisadi waloshikiwa mabango ya kuvuliwa gamba ndio sasa nguzo zinazotegemewa na chama tawala. Nani alijua kuwa kuna siku maamuzi muhimu ya kitaifa yataamuliwa kwa kura za faksi na za kutoka akhera? Akhera? Naam, ndiko CCM ilipotia kambi.
 
Mkuu Mag3, nasubiri wakujibu hizo hoja nami nichangie kidogo.

Ila sijui ka wataweza kujibu kwa level zako, hawa vijana.
Asante.
 
Last edited by a moderator:
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.

Walipokuita STELLA MWAMPAMBA nilipata tabu sana kuelewa. Wanawake kwa asili ni wadhaifu sana na hii yote tulitokana na sehemu tu wa ubavu wa mwanaume.

Lakini bado tunaheshimu jinsia zetu kwa kuwa tulipewa kipaumbele cha kuwa wasaidizi / washauri wa mwanaume.

Ila wewe mwenzetu madhaifu yako yamezidi na hata ukiolewa utaachika Mara. Hutulii, mnafiki, mmbea kupitiliza, mchonganishi hufai na muongo uliyekithiri
Unatafuta umaarufu kwa kujipendekeza kwa mabwa.... Na zako kila kukicha.

Kweli chadema iko damuni na unaipenda kweli kweli lakini sisi hatuhitaji wanawake wa aina hii ni SHIIIIIIIDA
 
ki ukweli wakujibu hizi tuhuma ni ikulu na wala si wewe ambaye unaongozwa na tumbo, pia fahamu kuwa mna kazi kubwa sana ya kupambambana na mabadiliko.
 
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.

itachukua zaidi ya karne kwa mtu yeyote kuelewa/kuamini liturgia yako hapo juu kwa vile hakuna mtu yeyote aliyeweza kum-prove wrong Dr Slaa katika tuhuma zote alizowahi kuzitoa dhidi ya udhalimu unaofanywa na watawala nchi hii.

sana sana wote wanaishia kuandika liturgia just like what you have now done....
 
Walipokuita STELLA MWAMPAMBA nilipata tabu sana kuelewa. Wanawake kwa asili ni wadhaifu sana na hii yote tulitokana na sehemu tu wa ubavu wa mwanaume.

Lakini bado tunaheshimu jinsia zetu kwa kuwa tulipewa kipaumbele cha kuwa wasaidizi / washauri wa mwanaume.

Ila wewe mwenzetu madhaifu yako yamezidi na hata ukiolewa utaachika Mara. Hutulii, mnafiki, mmbea kupitiliza, mchonganishi hufai na muongo uliyekithiri
Unatafuta umaarufu kwa kujipendekeza kwa mabwa.... Na zako kila kukicha.

Kweli chadema iko damuni na unaipenda kweli kweli lakini sisi hatuhitaji wanawake wa aina hii ni SHIIIIIIIDA

Miss Chadema kumbe upo, hawajambo nyumba nitu.
 
hatuna muda wa kushindana na wapuuzi wa ccm mwaka huu ccm wataabika sana kubaki uchi
 
Mtela Mwampamba, kwa nini uandikie mate na wino upo? Naomba nikurudishe nyuma kidogo miaka mitano iliyopita...
Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 ilidaiwa Watanzania 11,510,482 sawa na asilimia 57.16% ya Watanzania waliojiandikisha kupiga kura ilidaiwa na Tume ya Uchaguzi chini ya Marehemu Jaji Lewis Makame kuwa hawakujitokeza kupiga kura. Katika uchaguzi huo mgombea wa kiti cha Uraisi kutoka CCM, Jakaya Mrisho Kikwete, alipata kura 5,276,827 sawa na asilimia 26.20% ya Watanzania wote waliojiandikisha. Je ni kweli Watanzania walio wengi baada ya kujiandikisha kwa hiari yao walikuja kuamua kutoshiriki?

Pamoja na udanganyifu huu uliofanyika mwaka 2010, pengine lilikuwa ni jambo jema kuiacha CCM iendelee kubaki madarakani kwa awamu nyingine. Hivi sasa hakuna Mtanzania asiyeshuhudia madudu ya CCM...baada ya kukabidhiwa hiyo hati ya kifo, angalia inavyokufa taratibu; CCM iko motoni ikijikaanga kwa mafuta yake yenyewe! Kwa sababu wananchi wengi wameshaanza kuamka, shukrani kwa elimu iliyokuwa inatolewa na inayoendelea kutolewa na vyama vya upinzani kwani wananchi wamepata fursa nyingine ya kuipima CCM kwa kutafakari kwa kina haya maswali mawili;

  1. Je yawezekana CCM baada ya kupewa nafasi nyingine ingeweza kujirekebisha?
  2. Je madai ya Chadema kuwa CCM ilipofika haingeweza kujirekebisha yana ukweli?
Lakini tofauti na hila CCM kujipa nafasi nyingine ya kushika madaraka mpaka sasa uchaguzi mwingine ukikaribia wananchi wameweza kupata nafasi tosha ya kushuhudia wenyewe jinsi mambo yalivyozidi kuharibika siku hadi siku. Wameshuhudia, pamoja na kuahidiwa maisha bora, hali ya maisha ilivyozidi kuwa ngumu huku watawala wakiendelea kumeremeta kupitia jasho lao. Wananchi wameshuhudia kwa macho yao utawala wa kifashisti wa CCM ulivyozidi kuvitumia vyombo vya dola ambavyo vilitakiwa viwalinde vikitumika kuendesha vitendo vya kigaidi dhidi yao.

Asante sana kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa NEC, Marehemu Jaji Lewis Makame, kwa kumtangaza Jakaya Mrisho Kikwete kama mshindi wa Uraisi tarehe 05/11/2010…kwa kufanya hivyo ni kama aliipa CCM kamba ijinyonge. Laana ya kuchakachua matokeo ya kura mwaka 2010 yameiandama na kuiganda CCM kama kupe ikiifyonza damu hadi kubaki kiwiliwili tu. Nani alijua kwa mfano kuwa wale wale mafisadi waloshikiwa mabango ya kuvuliwa gamba ndio sasa nguzo zinazotegemewa na chama tawala. Nani alijua kuwa kuna siku maamuzi muhimu ya kitaifa yataamuliwa kwa kura za faksi na za kutoka akhera? Akhera? Naam, ndiko CCM ilipotia kambi.

Mag3 hakika huyu mleta uzi hawezi kujibu haya,

Yeye ni kati ya wale walamba miguu amejitoa ufahamu na kamwe kwa aina ya njaa zake hatajibu.
 
Last edited by a moderator:
ukiwa CHADEMA lazima ukubali kununuliwa, hivi Shibuda alipewa sh. Ngapi kuhamia CHADEMA
leta ushahidi acha unafiki wa kutumiwa kama kondomu kama ww ccm walikununua siyo chadema ni chama makini ss siyo wapuuzi kama ccm kuwa na adabu
 
Walipokuita STELLA MWAMPAMBA nilipata tabu sana kuelewa. Wanawake kwa asili ni wadhaifu sana na hii yote tulitokana na sehemu tu wa ubavu wa mwanaume.

Lakini bado tunaheshimu jinsia zetu kwa kuwa tulipewa kipaumbele cha kuwa wasaidizi / washauri wa mwanaume.

Ila wewe mwenzetu madhaifu yako yamezidi na hata ukiolewa utaachika Mara. Hutulii, mnafiki, mmbea kupitiliza, mchonganishi hufai na muongo uliyekithiri
Unatafuta umaarufu kwa kujipendekeza kwa mabwa.... Na zako kila kukicha.

Kweli chadema iko damuni na unaipenda kweli kweli lakini sisi hatuhitaji wanawake wa aina hii ni SHIIIIIIIDA

haaahaaahaaaa
 
Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya .

hahahah!!! a.k.a vasco da gama, matonya! rais makini anakaa akiwaza misaada!!?? rais makini ni yule anayeamini kuwa nchi hii kamwe haitoendelea kwa misaada ya wahisani, ila wewe huwezi kuliona hilo kwa kuwa umefumbwa macho kwa danganya-toto!
 
Mhhh, Hivi ni nani hasa mkweli kwenye hivyo vyama vyenu, nibora tu mngefanya yenu SIASA ni kmn biashara hata products z rahisi za kichina zipo.
 
mbona umeweka uzi wako wa kizindaki hapa kama hamna taimu nae???? Nyie intarahamwe hamjui mnamfanyia promo slaa na cdm kwa jinsi mnavowataja kila saa hata aliokuwa hawajui anatamani kuwa jua maana kila siku hamuwazi shida na dhiki ya watanzania mnawaza slaa, mbowe na cdm yani mnafanya free marketing

Nani hana muda wa kufukuzana na aliyepotea njia...,tunayo mambo mengi ya msingi ya kufanya kwa ajili ya watanzania huyu Mzee aendelee tu na balaa lake...hatuna haja ya kusumbuana nae..
 
hivi ni kweli huyu ataolewa....kwa matusi haya kwa mtu alie mzidi umri

"sisi ccm ni wapuuzi, chama chetu kina nuka rushwa.. By kinana
Mkuu Townsend nadhani mtoa taarifa Ntela ni mwanaume, ila hujakosea sana, kwana wakati mwingine umbeya unaweza kumfanya mtu akafikiriwa sio mwanaume.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom