Slaa asema uongo tena, atangaza kuibiwa kura 2015 na kushutumu ununuzi wa Helkopta ya Rais

Status
Not open for further replies.
Ndio nini sasa..??? umeandika nini..?? kaa kimya kuficha UMBUMBUMBU wako,,watu hamtakiwi hauishi kujipendekeza.,acha hizo. Mtoto wa kiume lazima usimame kiume na ufanye maamuzi ya kiume, sio unakuwa boya boya tu.

Mwampamba jina lako na maneno yako hayaendani. Jazba,kiburi,hasira,matusi ha,majivuno hayo yote ni machukizo mbele ya Mungu. Wapo wengi walitumika kama ww na mwisho wao ulikuwa mbaya. Jitambue na ujue kuwa ccm inawanachama 5,000,000 na upinzani ni 4,000,000 na walio wengi hawana vyama ninaimani kuwa na watu kama ww kutazidi kupunguza idadi ya watu 5,000,000.
 
Mbona hamjawahi kumshitaki kwa kuwachafua?

Vipi na ile "list of shame" nayo ilikuwa uongo?

Dr.Slaa ni mjumbe tu kuna wanaompa taarifa.

Kama hiyo idara hamuijui basi mjiuzulu.

Slaa ni mzushi muongo hakuna kitu kama mashine ya kuiba kura na hakuna haja ya kumshitaki wenye akili zilizokomaa wanajua ni uongo
 
Mimi nikimuona slaa popote pale huwa najisikia kucheki sana ukimuona ni kama kapagawa yawezekana dili zake haziendi sawa.
Kuone binadamu hivi ingekuwa wewe una umri wa namna yake, at same time huna akiba yoyote ya uzeeni na una watoto under 5years na Mke bado ana dai... Kwa kweli mimi naona Babu ana haki ya kupagawa!
 
cdm sasa hivi kama wanatumika bila kujifahamu kwa kupewa rupia kiduchu na wageni. Hivi rais anayejua anakabidhi nchi kwa mtu mwingine mwakani ana haja gani kutaka kununua helikopta eti ipelekwe china kwanza aweze kuiona! Amekua mobutu sese seko ambaye alikua kama mfalme wa zaire? Mzee slaa hakika anachuja haraka, hata zile sifa zake za awali anazitupa kwa tabia mpya ya uongo. Siku hizi anajidai eti alishinda uchaguzi 2010 ila kura zikachakachuliwa. Uongo gani huu... Kama jk alipata asilimia 62 na yeye na lipumba kugawana kura zilizosalia sijui chekecho gani lilitumika kumpa ushindi jk. Mchezo huu wa kugombea urais huwa unawafanya watu kupoteza akili kwa kushindwa kila uchaguzi.
 
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.
Mtalaka ukiona akikumbuka mume wa zamani kila wakati jua bado anampenda!! na analia wivu!! Mwampamba kaa huko huko ulikoolewa!! Jitahidi kuwa mwaminifu labda utatupiwa makombo ya Escrow
 
Nani hana muda wa kufukuzana na aliyepotea njia...,tunayo mambo mengi ya msingi ya kufanya kwa ajili ya watanzania huyu Mzee aendelee tu na balaa lake...hatuna haja ya kusumbuana nae..

na hili ndio moja ya majukumu yako mazito ili uishi,hongera sana
 
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.

Wewe ni M.p.u.m.b.a.v.u uliuza kura za ubunge kwa shilingi milioni sita tu (We, mkwelengusu, wakazizwe ubhubunge kumilioni sita welele). Sio bure una laana ya kuuza kura za watu wa jimbo la Mbozi mashariki, waliotaka kuongozwa na chama makini cha CHADEMA.
 
Ndio nini sasa..??? umeandika nini..?? kaa kimya kuficha UMBUMBUMBU wako,,watu hamtakiwi hauishi kujipendekeza.,acha hizo. Mtoto wa kiume lazima usimame kiume na ufanye maamuzi ya kiume, sio unakuwa boya boya tu.

thread imebuma imekosa mashiko ndio maana wenye akili tuna kupuuza tu wewe mchumia makalio.
 
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.

hivi, hadi leo kuna watu wanamjadili Slaa... Mkuu Mtela Mwampamba hebu acha kumpa promo huyu mzee aliejichokea
 
Je Zakia Meghji alikuwa mbunge ktk bmk kwa upande upi? Hebu tolea ufafanuzi wa hili.
 
cdm sasa hivi kama wanatumika bila kujifahamu kwa kupewa rupia kiduchu na wageni. Hivi rais anayejua anakabidhi nchi kwa mtu mwingine mwakani ana haja gani kutaka kununua helikopta eti ipelekwe china kwanza aweze kuiona! Amekua mobutu sese seko ambaye alikua kama mfalme wa zaire? Mzee slaa hakika anachuja haraka, hata zile sifa zake za awali anazitupa kwa tabia mpya ya uongo. Siku hizi anajidai eti alishinda uchaguzi 2010 ila kura zikachakachuliwa. Uongo gani huu... Kama jk alipata asilimia 62 na yeye na lipumba kugawana kura zilizosalia sijui chekecho gani lilitumika kumpa ushindi jk. Mchezo huu wa kugombea urais huwa unawafanya watu kupoteza akili kwa kushindwa kila uchaguzi.
Marehemu alipigaje kura BMK? Na je kura za mahujaji zilipatikanaje?
 
Katika Press yake na waandishi wa habari aliyoifanya leo, Katibu Mkuu wa Chadema, Babu Slaa amerudia utaratibu wake wa kusema uongo mtakatifu kuwa Chama Cha Mapinduzi kwa kumtumia Mwenyekiti wake ambaye pia ni Rais wa nchi Mhe Dr Jakaya Mrisho kikwete wamepanga kununua mashine ya kuiba kura kwa ajili ya kuwadhibiti wasiweze kushinda katika uchaguzi mkuu wa mwakani 2015.

Jambo hili ni uongo wa wazi kabisa, hivi kwa hali waliyonayo chadema, haiingii akilini kwa Chama makini cha CCM ambacho kimedumu katika ziara chini ya Katibu Mkuu wake mkali wa siasa Ndugu Abdulrahaman kinana, kiwe na hofu dhidi ya chama choka mbaya kilichopoteza mwelekeo na chenye viongozi waliokosa uadilifu mbele ya macho ya familia zao na jamii. Ni UONGO wa MCHANA kweupe.

Ama jambo lingine lenye uongo usiomithilika ni kuwa Babu Slaa amemtuhumu Mheshimiwa Rais kuwa anatarajia kwenda nchini china kufanya manunuzi ya helkopta ambayo imetengenezwa ujerumani na kwamba yeye Mheshimiwa Rais ameagiza kuwa Helkopta hiyo ipelekwe china ili aweze kuiona.

haiingii akilini kuwa Rais aagize helkopta itoke Ujerumani ipelekwe China ili aweze kuiona tu, ni jambo ambalo Rais Makini kama Jakaya hawezi kulifanya.

Chama Cha CHADEMA, ambacho kimeendelea kupoteza umaarufu wake kwa kasi ya ajabu kimeendelea kuwatumia viongozi wake matabola-rasa kutunga na kueneza uongo ambao watanzania siku zote wamekuwa wakiustukia.

Siasa za aina hii zitaendelea kuimaliza Chadema, na kukifanya kisahaulike haraka zaidi katika vichwa vya watanzania.
Umebadilisha kauli yake kujenga hoja yako. Naona kama wewe ndiyo unasema uongo na kumwekea kinywani mwake!
 
Wewe ni M.p.u.m.b.a.v.u uliuza kura za ubunge kwa shilingi milioni sita tu (We, mkwelengusu, wakazizwe ubhubunge kumilioni sita welele). Sio bure una laana ya kuuza kura za watu wa jimbo la Mbozi mashariki, waliotaka kuongozwa na chama makini cha CHADEMA.

Na hata hizo m.6 zenyewe hakupata akaishia kupewa ahadi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom