Slaa amerejea nchini

Ni haki yake arusi kwani si nchini kwake. Ila asituletee mambo yake ya ajabu kama anataka kurudi nyumba yake ya zamani(ccm) afanye hivyo bila kuwa na propaganda zake za kuvuruga mageuzi tunayohitaji mwaka huu.
 
Wa
kati huu wa kampeni na baada ya uchaguzi akili za kitoto na za kiutu uzima zitakiri uwezo mkubwa wa Dr. Slaa. Kama baadhi yetu tulivyoona tangu awali ujinga wa kumdharau Salim Ahmed Salim. Tumeruhusu watoto Wetu wa kiume watembee nusu uchi eti wanakwenda na wakati,tusishangae. Hawajui wanakwenda wapi,kufanya mini kwa muda gani wala hatujali.Je twastahili kuwa wazazi? Au sisi na wao akili sawa? Dr. Slaa ni zaidi ya njaa zetu na matusi yetu. Historian itamtetea.
 
Sikujua vijana wa nchi hii walivyo wapumbavu , kushabikia uozo ! Mnalitaka fisadi papa hili lifanye mini ? Lowassa hawezi kuleta mabadiriko ni jizi tu
Na sisi atuitaji mabadiliko tunachotaka ni kuitoa ccm madarakani BHASI!!
Hata hao maraisi wengine tofauti na nyerere waliingia madarakani wakiwa wasafi na masikini kama sie mbona wakitoka madarakani wanakuwa na ukwasi kuliko kawaida.
Hapa hamna msafi so tusidanganyene hapa.
 
shetani anakutumia atakavyo na unachanganya na zako umeshindwa kujinasua pole sn.uzima na afya.ugonjwa na mauti vipo katika uweza wa MUNGU peke yake.

Na Mungu ndo kamuweza hivyo ! wewe unapanga lakini Yeye ndiye bingwa wa kupanga!
 
wadau.

Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.

Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.

Be first to know
ushauri wangu kwa vijana

wampige mitama kila wanapomwona au awagawie fungu

na kwenye mikutano awe na mkewe ili tumwamini

naskia wapemewa fungu haswaaa

yupo mnyakyusa wa tanga pamoja nao.... teh teh teh teheeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
ushauri wangu kwa vijana

wampige mitama kila wanapomwona au awagawie fungu

na kwenye mikutano awe na mkewe ili tumwamini

naskia wapemewa fungu haswaaa

yupo mnyakyusa wa tanga pamoja nao.... teh teh teh teheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Mbowe na Mtei ndio wana mafungu ya kutakata !
 
ushauri wangu kwa vijana

wampige mitama kila wanapomwona au awagawie fungu

na kwenye mikutano awe na mkewe ili tumwamini

naskia wapemewa fungu haswaaa

yupo mnyakyusa wa tanga pamoja nao.... teh teh teh teheeeeeeeeeeeeeeeeeeee

"mnyakyusa wa Tanga"..... this must be the double agent - Mwanakijiji!
 
Mna weweseka mkisikia Dr. Slaa amerudi. Mnaanza kumshambulia kabla hata hamjahakikisha kama kweli amerudi. Mtakoma ubishi mwaka huu, aliyewadanganya kumshabikia mtu anayejinyea kwenye nguo amewaweza kweli kweli. Hivi kweli ukiwa na akili timamu unaweza kumpigia kura mgombea anayejinyea??? Hapana aisee, mtu kama huyu anapaswa awe amepumzika tena chini ya uangalizi wa madaktari, sio kuhangaika kwenye majukwaa ya siasa. Tamaa zingine zitawatokea watu pabaya.
 
wadau.

Kuwatonya tu slaa amerejea mjini Dar es salaam Jana akitokea marekani.

Maandalizi yanafanyika kwa umakini wiki ijayo aendelee na mashambulizi.

Be first to know

Karibu Dr Slaa. Kamanda wa ukweli, wakati ulipokuwa haupo mambo mengi yamekuwa yakisemwa lakini hakuna kamanda hata mmoja ambaye ameweza kujibu mashambulizi na hoja ulizotoa.ni aibu.
Hata yule askofu wao wanaemtegemea Gwajima amebaki anahunyahunya. Kesi ya mume wa Flora mbasha imefutwa na anajiandaa kupeleka kesi mahakamani kwa Gwajima kumlipa fidia baada ya kumuingilia unyumba wake na kuharibu ndoa yake.
Huku Mr Zero., Sumaye eti anasema ccm haijafanya kitu kwa miaka 19., lakini kati ya hiyo miaka 10 yeye ndio alikuwa waziri mkuu na Lowasa kwa miaka 3. Inaonekana miaka yote hiyo chini ya uongozi wao total workdone ni zero.. sasa labda tuwafungulie mashtaka kwa ufisadi huu.
Tunakuomba uandae nondo za kumalizia hizi dakika za majeruhi ili hatimaye pumba iweze jitenga na mchele.
Wasalaaam
 
Nadhani baada ya uchaguzi kamanda Mbowe na wenzake watakimbia nchi. Hawataweza kukaa nchini kwa hali ilivyo. Na ni wazi ukawa tutashindwa. Hatuna mgombea. Hili lilikuwa ni dili la hela tuu.
 
Back
Top Bottom