Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 11,552
- 12,422
Kumbe watoto mpo? Mwaka huo nipo kidato cha 2
Hahaaa ulinizidi kidogo mo nipo kidato cha I hapo!
Kumbe watoto mpo? Mwaka huo nipo kidato cha 2
1981 Saba Saba primary school
heeeeeeeeeeeeeeeeNilikisoma 1979 ndani ya HANDAKI! Vita ya Kagera... lo!
unaishangaa hiyo inatokujammmhhhhh!
unaishangaa hiyo inatokuja
kumbuka kila mtu ana umbali wake.2005 siyo mbali na aliye soma 1980 atasemaje?
Bila shaka umebugi hiki kitabu cha darasa la tatu. Bila shaka wewe umesoma kipindi cha mitaala ya mulugo.darasa la sita mwaka 2008! ufugaji bora wa sungura kwenye somo la sayansi kilimo@olyimpio primary upanga dsm
kwamba weye ni chibibi au chibabu au weye mkubwa chana tu
ndio maana nanusa harufu ya ugoro.mi chibibi jf nzima
hakuna wa umri wangu atii!
ndio maana nanusa harufu ya ugoro.