Acha kulia lia mtoto wa kike bonyeza kitufe cha REPORT ABUSE.Magwanda wameshikwa pabaya wanatukana kwenye hii nyuzi kama hawana akili vizuri. Dahh, poleni sana.
Hii ndiyo standard bora ya JF? inasikitisha sana kuona moderators wanafungia macho lugha chafu zinazoporomoshwa humu.
Acha kulia lia mtoto wa kike bonyeza kitufe cha REPORT ABUSE.
ulimi hauna mfupa,nampongeza siyoi kwa kumtambulisha mke wake wa ndoa
kuna kabila kabila moja kule singida husema IRAMBA KUBWA KULIKO TANZANIA,WAKIMAANISHA WANAIPENDA WILAYA YAO KWANZA NDIPO WAIPENDE TANZANIA,KWA HIYO SUMARI ANAIPENDA SANA SANA ARUMERU NDIO MAANA ANAIWAZA KILA MAHALI KILA DAKIKA HADI ANATAMANI IWE MKOA
Aisee possible maana akili za huyu hazitofautiani sana eti Iramba ni kubwa kuliko Tanzania.Breaking News: Taarifa zilizotufikia kupitia bandiko hapo juu ni kuwa hojatete ndiye mwigulu nchemba, habari zaidi kufuata.
kuna kabila kabila moja kule singida husema IRAMBA KUBWA KULIKO TANZANIA,WAKIMAANISHA WANAIPENDA WILAYA YAO KWANZA NDIPO WAIPENDE TANZANIA,KWA HIYO SUMARI ANAIPENDA SANA SANA ARUMERU NDIO MAANA ANAIWAZA KILA MAHALI KILA DAKIKA HADI ANATAMANI IWE MKOA
Is dat possible?
Lengo la kumsifia mkeo ikuwa kuwapa ujumbe wanameru kuwa yeye siyo kapera kama Nassari.
Lengo la kumsifia mkeo ikuwa kuwapa ujumbe wanameru kuwa yeye siyo kapera kama Nassari.
Huyu Dogo nadhani hanjui mwigulu! mwache amsifie mkewe aone nchemba kama hajampiga mbu....pu!
Anadhihirisha kuwa yeye ni kidume cha mbegu.