SIYOI hajui kama Arumeru ni wilaya, aiita Mkoa!

Tembomtata

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
266
426
Vituko na vimbweka vimeendelea kutokea kweny kampeni za pale, Mgombea wa CCM alipopanda jukwaan na kushukuru mkuu wa mkoa wa Arumeru ili hali hakuna mkoa huo tangu kipindi cha wakolon, Vimbweka viliendelea baada ya Bwn SIO kuanza kumsifia mkewe, huku wamama wakisikika wakifyonya nakusema hata wao wana watoto wazuri nakusema hawajaja kumuangalia mkewe bali kusikiliza sera.Awali Mh BWM alipanda jukwaan nakumwaga sera zilizo kuwa na ushawishi mkubwa lakin punde baada ya mwana wa marehemu kupanda jukwaan umati mkubwa wa watu ulianza kuondoka.

Baada tu ya kampen kuisha na mheshimiwa BWM kuondoka wananchi wa Jimbo la Arumeru waishio Usa River walianza kuwazomea wageni wao waliokuwa wameletwa kwa ma land cruiser,mabasi, hadi naondoka eneo la tukio mama mmoja almanusura apigwe vibaya na wafuasi wa CHADEMA baaday ya kuingiza kidole kimoja katikati ya vidole viwili vinavyoashiria nembo ya CHADEMA kama ishara ya kutukana.
Nikiripoti kutoka hapa USA RIVER ni mim Sungura tope
 
nimeshuhudia live matukio hayo yote,ni kweli alisema mkoa wa Arumeru lakini labda ulimi uliuliteleza kuhusu mke wake PAMELA EDUWARD Lowassa alijaribu kumnadi mumewe na hiyo inafanyika katika kampeni za vyama vyote tupunguze chuki binafsi sunguratope!
 
Lengo la kumsifia mkeo ikuwa kuwapa ujumbe wanameru kuwa yeye siyo kapera kama Nassari.
 
wa jeeeeiefuuuuuu...
 
Ni kweli ndo maana nimeongea yaliyojitokeza kiukwel,as i said Mkapa aliongea point but SIOI Mhhhhh hata we mwenywe uliona mkuu
 
nimeshuhudia live matukio hayo yote,ni kweli alisema mkoa wa Arumeru lakini labda ulimi uliuliteleza kuhusu mke wake PAMELA EDUWARD Lowassa alijaribu kumnadi mumewe na hiyo inafanyika katika kampeni za vyama vyote tupunguze chuki binafsi sunguratope!

Lengo la kumsifia mkeo ikuwa kuwapa ujumbe wanameru kuwa yeye siyo kapera kama Nassari.
Kwani mwigulu nae ni kapela?
Mbona anatandika wake wa wanaume wenzie?
 
Jamaa sioi kweli leo kaaribu kabisa kusema mkoa wa arumeru hata mtoto wa la tatu anajua hili swala daaibu sana jamani
 
Cdm inanyaraka kuzibitisha huyu jamaa ana-originate 'out' sawa; msimshangae. Ngoja cdm ifike mbuguni kila cku nasema, ikamalize mchezo.
 
Jamaa sioi kweli leo kaaribu kabisa kusema mkoa wa arumeru hata mtoto wa la tatu anajua hili swala daaibu sana jamani

yaani huyu jamaa ameonyesha mapenzi yake makubwa aliyonayo kwa Arumeru,akipewa ubunge arumeru inakuwa mkoa.
 
Hapa CCm wanataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia kwanza mtu mwenyewe uraia wake una utata, pili hajui hata eneo analotaka kuliongoza. Eti mkoa wa Arumeru mwisho tutasikia wilaya ya Arumeru Mashariki, hii ni aibu tupu kwa mtu anayetaka uongozi lakini watu wataona kama jambo dogo.
 
Anajua kama kuna mambo haya kweli?

430147_381704475182578_100000290862663_1436388_1899308589_n.jpg
 
Back
Top Bottom