Siyo vibaya kumpa sifa za pekee Mrema

kwamtoro

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
4,922
3,234
Toka ameiacha Wizara ya mambo ya ndani bado ajatokea waziri mwenye kuweza kuvaa viatu alivyo viacha mpaka leo hii.
Alikuwa anaubunifu wa hali ya juu. Toka ahamasishe ujenzi wa vituo vya polisi kila kona mpaka leo hii kuna ongezeko dogo sana la vituo vipya vya polisi. Vingi vinavyotumika ni vile alivyo viacha.
Majambazi aliweza kuwadhibiti kwa hali ya juu. Leo hii ni majanga kila kona.
Naomba wana JF tumpe sifa zake Mrema.

A.L.Mrema

mrema.jpg
 
agustino ni levo nyingine. Watu waliwai kazini saa 12 asubui ukichelewa utafanya kazi wima maana kiti kitakuwa kimebebwa. mrema akuna kama wewe
 
agustino ni levo nyingine. Watu waliwai kazini saa 12 asubui ukichelewa utafanya kazi wima maana kiti kitakuwa kimebebwa. mrema hakuna kama wewe
 
Uongo mbaya,mnyone mnyongeni lakini haki yake mpeni kwa kweli yule jamaa alikuwa ni nomaa,alichapa kazi sana
 
There comes a time in life when one has to speak truth!....Its high time to look back and give our respects to A.L.Mrema!
 
Mkuu umetukumbusha kutimiza wajibu muhimu sana,mrema anastahili siyo tu pongezi za wino,ila ingepaswa kutafuta namna ya kumbukumbu itakayodumu kwa ajili yake,Hivi hata kuna barabara ya augustine mrema?
 
Majembe kama yale CCM hii ya sasa hayatatakiwa asilani. Mrema hakuwa na siasa kazini, naamini hata aliyemchagua alimgwaya.

Tutakukumbuka sana Mrema, enzi zako tulikuwa salama mitaani
 
Kweli ila alipochanganya ni kuua nguvu ya upinzani
Kama upinzani wenyewe ungekuwa na nguvu hata ndogo kama ilivyo sasa,basi mrema angeweza ku survive sana tu kisiasa,ila sasa mrema alikuwa ndiyo kwanza anawafumbua watu macho kuwa upinzani unawezekana,yeye ndiye aliyetoa roadmap ya upinzani wenye nguvu,ccm ndiyo walio/wanaoua upinzani na siyo mrema.
 
Upinzani uko vizuri kwa kipindi chote Umepata muamko vizuri kwa wananchi Tatizo waliokuwapo ndani yake akiwapo mrema kama viongozi walitumika vibaya tungekuwa mbali mpaka sasa
 
that man! sitakaa nimsahau,mbona wabab walikua wanawaheshimu wake zao? na maadili yalikuwepo, aisee wacha bana
 
Mungu amjalie afya njema Mzee wetu aishi maisha marefu. Hapa duniani kwa hakika ametimiza wajibu wake ipasavyo. Naomba serikali iweke kumbukumbu kwa kitu chochote kama Uwanja wa michezo barabara kwa jina la mrema,
 
Vunjo tutaendelea kukuunga mkono, hata ukiwa kikongwe namna gani..
 
ki ukweli jamani...tunakumbuka aisey sasa hivi wanaopewa wizara hiyo ni maboya kabisa
 
Back
Top Bottom