Siyo vibaya kumpa sifa za pekee Mrema

alikuwa akitoa siku saba ni saba kweli,Mrema alikuwa jembe,the only naibu waziri mkuu
The only one naibu waziri mkuu. Kiongozi mzuri ni yule anaye onya, toa tamko na kusimamia maelekezo yake.
Mrema is like his brother Sokoine. Mheshimiwa we still respect your contribution of what you did in this counrty.
 
Toka ameiacha Wizara ya mambo ya ndani bado ajatokea waziri mwenye kuweza kuvaa viatu alivyo viacha mpaka leo hii.
Alikuwa anaubunifu wa hali ya juu. Toka ahamasishe ujenzi wa vituo vya polisi kila kona mpaka leo hii kuna ongezeko dogo sana la vituo vipya vya polisi. Vingi vinavyotumika ni vile alivyo viacha.
Majambazi aliweza kuwadhibiti kwa hali ya juu. Leo hii ni majanga kila kona.
Naomba wana JF tumpe sifa zake Mrema.

A.L.Mrema

View attachment 92636

Yaani sisi binadamu tungekuwa na uwezo kumrudisha mtu umri kutoka uzee arudi kuwa kijana mimi ningemrudisha Mrema awe kijana ili aweze kuturudishia amani hapa nchini. Hakuwa na lele mama. Tulimuimba kwenye mchaka mchaka, akina Nchimbi hakuna lolote.
 
Kama tungekuwa na Mtu kama Sokoine (R.I.P) ndiye rais wa nchi na Mrema waziri mkuu nafikiri hii nchi ingenyooka.
 
Mrema alikuwa chapa kazi siasa za udini na fitina za CCM zilitumika kummaliza kisiasa lakini hadi leo anadunda pamoja na kusomewa itikafu.Watu wanafikiri siasa za udini zimeanza leo hawajui kanda za kumkashfu zisambazwa nchi nzima lakini aliweza kuzoa kura kibao uchaguzi wa mwaka 1995.
 
Kwa kweli anastahili, ingawa naye wakati huo sheria nyingi aliziweka pembeni na kufanya kivyake
 
Back
Top Bottom