Siwaelewi Wahudumu wa Baa!

Vya hom havinogagi,
Raha ya bia uletewe na weita.
Na inanoga zaidi anapoimimina iliyobaki kwenye glasi na kukuuliza: "samahani kaka nikuongeze nyingine?"
Na wewe unajibu "bia za hapa kwenu tamu sana, mnaunga nini hivi?, lete ingine nawe chukua kinywaji chako"
ctd

The Following User Says Thank You to Sigma For This Useful Post:

Dena Amsi (Today)​
 
Utachunwaje wakati uko na wife au demu wako???
Na hizo pombe (unywaji) mpaka unazima sio unywaji pombe huo ni ulevi

Sasa uko na waifu, mnaletewa glasi yenye ufa, meza haijafutwa, unamuita mhudumu anakuja baada ya nusu saa, unaagiz kesto unaletewa fanta, raha ya kunywea bar ndo ipi sasa???
Mmekuja na gari lenu bar, mtu anakuja anapaki nyuma ya gari lenu, kumtafuta unaambiwa msubiri arudi ametoka kidogo.
Anarudi baada ya masaa mawili mnaanza kupeana matusi ya nguoni. Mnatoka na gari njiani mnasababisha ajari kwa pombe zenu kichwani??? Ndio hara hizo??
 
Vya hom havinogagi,
Raha ya bia uletewe na weita.
Na inanoga zaidi anapoimimina iliyobaki kwenye glasi na kukuuliza: "samahani kaka nikuongeze nyingine?"
Na wewe unajibu "bia za hapa kwenu tamu sana, mnaunga nini hivi?, lete ingine nawe chukua kinywaji chako"
ctd

mnywaji mzoefu utamjua tu!!!!!
 
Sasa uko na waifu, mnaletewa glasi yenye ufa, meza haijafutwa, unamuita mhudumu anakuja baada ya nusu saa, unaagiz kesto unaletewa fanta, raha ya kunywea bar ndo ipi sasa???
Mmekuja na gari lenu bar, mtu anakuja anapaki nyuma ya gari lenu, kumtafuta unaambiwa msubiri arudi ametoka kidogo.
Anarudi baada ya masaa mawili mnaanza kupeana matusi ya nguoni. Mnatoka na gari njiani mnasababisha ajari kwa pombe zenu kichwani??? Ndio hara hizo??

naanza kupata wasiwasi kuhusu hizo bar,
unazoenda na kukuta vitimbi vya hivyo ni baa gani hizo?
hebu endelea kutembea tembea, huenda ukapata sehemu tulivu zaidi!
 
Mkuu
Bar mi siendagi lakin najua sana vitimbi vyake
Mchagua Bar sio mnywa pombe
Labda useme unaenda kwenye migahawa ya bei mbaya na mahotelini
Lakin bado suala la kusababisha ajali njiani kwa pombe kujaa kichwani halina cha hadhi ya bar, isitoshe kurudi nyumbani usiku sometimes unaweza kupata usumbufu mkubwa njiani, achilia mbali ajali za kulewa, pia mnaweza kusimamishwa ovyo na polisi, mnaweza kuporwa gari njiani . . .n.k
Yaani kiujumla sioni faida ya kunywea pombe bar zaidi ya mazoea tu, hasa nyakati za usiku.
Au kama unazijua nitajie
 
kwani wote wanaonywea pombe bar ni walevi kiongozi?
naona hapa umeongea kiujumla sana ndugu!
 
Ndugu
Mi nazungumzia mazingira yote ambayo ni posibo kwa watu wanaokwenda Bar.
Wapo walevi na wasio walevi.
Ni wazi hakuna faida za kupiga maji Bar zaidi ya mazoea
So usijihisi nakusema ndugu, mi naongelea hali halisi.
Kama wewe sio mlevi its okey, lakin bado unaweza kupata maudhi vilevile kwenye bar au nje ya bar ambayo kwa kiasi kikubwa ni nadra au huwezi kuyapata ukiwa home.
Pata kilaji bar mkuu kama kawa ila chukua tahadhali sana
 
Sio kweli kwamba wahudumu wote wa bar wana tabia zilizotajwa hapo juu, wengine wana tabia nzuri, na wanachukulia kama ni kazi kama kazi nyingine, hata ukienda na mke au demu wako wanawachangamkia na kuwahudumia vizuri. LABDA UNGESEMA BAADHI YA WAHUDUMU WA BAR. Kuliko kujumuisha wote, ilhali wapo wanaochapa kazi vizuri.
 
Majibu ni mengi na malumbano ni mengi lakini sijaona hata ushauri mmoja kwa hawa akina dada (wahudumu), kwanini? Na wanawake mmenisupport kabisa kwamba hata nyie mkiwa peke yenu pia hamhudumiwi ipasavyo, kwa nini hamtoi ushauri kwa hawa wenzenu? Kuna hadi wanakukalia vibaya kwa makusudi ili tu wakunase kwa vile upo mwanaume peke yako. mbaya sana!!
 
Sasa uko na waifu, mnaletewa glasi yenye ufa, meza haijafutwa, unamuita mhudumu anakuja baada ya nusu saa, unaagiz kesto unaletewa fanta, raha ya kunywea bar ndo ipi sasa???
Mmekuja na gari lenu bar, mtu anakuja anapaki nyuma ya gari lenu, kumtafuta unaambiwa msubiri arudi ametoka kidogo.
Anarudi baada ya masaa mawili mnaanza kupeana matusi ya nguoni. Mnatoka na gari njiani mnasababisha ajari kwa pombe zenu kichwani??? Ndio hara hizo??
Mkuu haya maelezo yanaonesha wazi kuwa wewe ni muhudhuriaji mzuri wa bar.
 
kama unaona huduma inakuwa nzuri ukiwa peke yako bora
uwe unakwenda peke yako ili upate hizo raha.
 
Back
Top Bottom