Siungi mkono mgomo wa madaktari...

sasa unataka wasigome hili wafanyeje ? unataka wafanye mgomo usio rasmi kama walimu ? mtoto anamaliza darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika , naona sasa Tanzania afya kwisney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mwenzetu hajajua thamani ya utu wa mtanzania.Pia jaribu kutofautisha siasa na uhalisia wa mambo nchini kwetu, kama kweli unaipenda tanzania ya miaka 100 ijayo waonee huruma watanzania wanao hangaikia uhai wao kwa uzembe namakusudi ya wazi tunayo fanyiwa na watawala wetu wasio kuwa na maono kwenye suala la maendeleo ya taifa letu. BADILIKA
 
Siri ya mtungi aijuaye kata.....Hata tukijadili vipi ukweli wanaujua madaktari na serikali tuwaacheni wapambane wenyenwe at the end of time ukweli utajitenga toka kwa uongo.
 
nani kakwambia wanapambana wenyewe, wanapambana na serikali kwa kututumia sisi
 
Wakuu JF.
Waweza kuwa mwepesi kushabikia mgomo wa madaktari kwa sababu kuu zifuatazo:

  1. Unaichukia serikali iliyoko madarakani, hivyo unashabikia mgomo wa madaktari kwa kuwa unahisi wanaishikisha adabu serikali hiyo.
  2. U mzima wa afya, wewe pamoja na familia yako yote hivyo kwa muda huu, huhitaji huduma yoyote kutoka kwa madaktari hawa wanaogoma.
  3. Una pesa za kutosha kwamba hata ukiumwa leo hii, unao uwezo wa kwenda kutibiwa Aga Khan, AAR, Regency etc bila bughudha wala shida yoyote.

Napenda niwakumbushe watanzania wenzangu kwamba maisha magumu kwa nchi hii hayapo kwa madaktari tu, nina uhakika yapo makundi ambayo yanamaisha magumu zaidi ya madaktari, wapo walimu, wapo polisi, wapo wakulima ambao ndio wengi zaidi ya wengine, na kubwa zaidi watanzania ambao hawana ajira/kazi maalum ni kundi kubwa zaidi ya makundi yote niliyotaja, na ndio wenye maisha magumu zaidi kuliko wengineo licha ya kwamba katika kundi hili pia wamo wasomi ambao wamemaliza kwenye vyuo vikuu lakini hawana hata uhakika wa mlo mmoja au pesa ya ku print CV.

Tuachane na ushabiki, roho ya mtu akishakufa hairudi hata kama hayo madai ya Madaktari yatatekelezwa, wananchi tusikubali wanasiasa watuingize kwenye siasa zao kwa kutumia mgomo wa madaktari, by the way I hate CCM kwa sababu ndio iliyotufikisha hapa tulipo kwa kushindwa ku plan vyema jinsi ya kulilea taifa la Tanzania na Watanzania, but kwa hili la Madaktari kugoma siungi mkono hata asilimia 1, hao akina Mzee Mwanakijiji et al wanaounga mkono madaktari kugoma yatupasa tutambue kwamba hawaishi Tanzania na hawajui shida wanazokutana watanzania wa kawaida kwa mgomo huu wa madaktari.

Nahitimisha kwa kulaani wote waliohusika kujaribu kumuua Dr. Ulimboka.

Na pia kama viongozi wetu wangekuwa na hekima za kutosha, wasingeruhusu kauli kama LIWALO NA LIWE kutoka vinywani mwaol.

God Bless Tanzania, God bless Tanzanians.
 
Ulaaniwe wewe!!!
If you have nothing to write please dont write it here, thanks
 
Laana iwe nawe pia.
 
hawajagoma bwana! Mbona ulimboka anatibiwa? Au wanaomtibu wamempinga alichokihamasisha?
 
laiti ungelijua wanachodai madaktari ungekuwa wa kwanza kuwaunga mkono
mojawapo la dai la madaktari. mazingira mazuri ya kazi na vitendea kazi vya kutosha ikiwa ni wagonjwa kutolala chini au wawiliwawili na kuwepo na dawa za kutosha.

tatizo tunaongozwa na roho za woga.
 
Mwanakijiji anachochea mgomo wa madaktari kwakuwa yeye yupo Detroit, Michigan anakula kuku ameshawasahau ndugu zake aliowaacha Kipatimu.
 
laiti ungelijua wanachodai madaktari ungekuwa wa kwanza kuwaunga mkono
mojawapo la dai la madaktari. mazingira mazuri ya kazi na vitendea kazi vya kutosha ikiwa ni wagonjwa kutolala chini au wawiliwawili na kuwepo na dawa za kutosha.

tatizo tunaongozwa na roho za woga.

Wanadai mishahara mikubwa kuliko walimu, polisi, watumishi wengine wa umma kwakuwa wao ni bora sana!!

Hilo la mazingira danganya toto tu hata walipoenda kwa rais hawakulisema.
 
Wakuu JF.
Waweza kuwa mwepesi kushabikia mgomo wa madaktari kwa sababu kuu zifuatazo:

  1. Unaichukia serikali iliyoko madarakani, hivyo unashabikia mgomo wa madaktari kwa kuwa unahisi wanaishikisha adabu serikali hiyo.
  2. U mzima wa afya, wewe pamoja na familia yako yote hivyo kwa muda huu, huhitaji huduma yoyote kutoka kwa madaktari hawa wanaogoma.
  3. Una pesa za kutosha kwamba hata ukiumwa leo hii, unao uwezo wa kwenda kutibiwa Aga Khan, AAR, Regency etc bila bughudha wala shida yoyote.

Napenda niwakumbushe watanzania wenzangu kwamba maisha magumu kwa nchi hii hayapo kwa madaktari tu, nina uhakika yapo makundi ambayo yanamaisha magumu zaidi ya madaktari, wapo walimu, wapo polisi, wapo wakulima ambao ndio wengi zaidi ya wengine, na kubwa zaidi watanzania ambao hawana ajira/kazi maalum ni kundi kubwa zaidi ya makundi yote niliyotaja, na ndio wenye maisha magumu zaidi kuliko wengineo licha ya kwamba katika kundi hili pia wamo wasomi ambao wamemaliza kwenye vyuo vikuu lakini hawana hata uhakika wa mlo mmoja au pesa ya ku print CV.

Tuachane na ushabiki, roho ya mtu akishakufa hairudi hata kama hayo madai ya Madaktari yatatekelezwa, wananchi tusikubali wanasiasa watuingize kwenye siasa zao kwa kutumia mgomo wa madaktari, by the way I hate CCM kwa sababu ndio iliyotufikisha hapa tulipo kwa kushindwa ku plan vyema jinsi ya kulilea taifa la Tanzania na Watanzania, but kwa hili la Madaktari kugoma siungi mkono hata asilimia 1, hao akina Mzee Mwanakijiji et al wanaounga mkono madaktari kugoma yatupasa tutambue kwamba hawaishi Tanzania na hawajui shida wanazokutana watanzania wa kawaida kwa mgomo huu wa madaktari.

Nahitimisha kwa kulaani wote waliohusika kujaribu kumuua Dr. Ulimboka.

Na pia kama viongozi wetu wangekuwa na hekima za kutosha, wasingeruhusu kauli kama LIWALO NA LIWE kutoka vinywani mwaol.

God Bless Tanzania, God bless Tanzanians.

Kama wewe huwezi kujua kile wanachodai madaktari ili wafanye kazi yao vizuri. Nakuomba kwa Mungu AKULAANI WEWE MPAKA UJUE KILE WANACHOTAKA MADAKTARI.
 
tusiwe washabiki katika hili tupime katika tafakuri ya hali ya juu baina pande hizi mbili.Wewe unaye walaumu madakitari,..

Kwanini usilalmikie serikali yako kwa kushindwa kupeleka huduma za muhimu katika zahanati lukuki zilizopo, kama madawa na wahudumu,...???

Kwanini Serikali inashindwa kusanya kodi ipasavyo na kukosa mapato,...??? Kwanini Serikali inasamehe kodi kubwa makampuni kisingizio kuvutia wawekezaji,..??

Kwanini Serikali yako isitumie nguvu hizi za kuteka, kupiga na kujeruhi mafisadi amabo wanaliibia Taifa na kuwambia warudishe bila adhabu..??? Kwanini Serikali inatumia sehemu kubwa ya bajeti kupeana posho na kununua magari ya kifahari ikikuacha wewe hauna dawa,..??
 
Wanadai mishahara mikubwa kuliko walimu, polisi, watumishi wengine wa umma kwakuwa wao ni bora sana!!

Hilo la mazingira danganya toto tu hata walipoenda kwa rais hawakulisema.

hivi mkuu ulishawahi kwenda kwenye hospitali za wilaya ukamkuta mgonjwa hajaoga miezi then anaumwa jinsi daktari anavyotumia busara kumsafisha kwanza ndo atoe tiba.mkuu jaribu kutoka hapa dar5 nenda kule meatu ,sirari ,mpwapwa kondoa,lindi ,nachingwea ndo uje uongee hapa
 
Kama wewe huwezi kujua kile wanachodai madaktari ili wafanye kazi yao vizuri. Nakuomba kwa Mungu AKULAANI WEWE MPAKA UJUE KILE WANACHOTAKA MADAKTARI.

KWA HIYO UNAONA NI VYEMA WATANZANIA MASKINI WAFE KWA SABABU UMEDANGANYWA KWAMBA WANADAI MAZINGIRA BORA?

ULIFUATILIA MADAI YAO KWENYE KIKAO CHAO NA J.K

POLE SANA KAMA UNASHINDWA HATA KUFIKIRI NA KUJUA ATHARI ZA MGOMO HUU ZINAENDA KWA AKINA NANI.

Pole sana bwana kakulwa.
 
Back
Top Bottom