Sitta: Urais utanifuata wenyewe!

kibunda

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
403
52
Hatimaye Sitta ameanza kutoboa jibu. Leo akiwa jimboni kwake Urambo amesema kuwa hatua yake ya kutoa misaada makanisani siyo kwamba anatafuata urais. Kwamba kama Urais upo basi utamfuata wenyewe kwa wananchi kumhesimu.

Source: ITV
 
Kwa kauli hiyo alikuwa anamaanisha nini? Sitta sio rahisi kuwa raisi isipokuwa labda kwa mgombea anayemuunga mkono.
 
Kwa kauli hiyo alikuwa anamaanisha nini? Sitta sio rahisi kuwa raisi isipokuwa labda kwa mgombea anayemuunga mkono.
 
Sasa kama kila mtu anataka uraisi uwaziri mkuu atakuwa nani? Nini kinawasukuma hawa jamaa kuona wao ndo wenye haki ya kutuongoza?
 
Angesema utamfua kupitia chama gani tungemuelewa vizuri. Au mgombea binafsi ishakubalika?
 
sidhani hata huko kwake kama watampa.funguka zaidi mzee,wenye akiliza washagundua janja yako,enhe....endelea mzee kupitia chama gani? Chadema unafiki mwisho hutopata nafasi,labda ccj kwani hata magambani hutopata na watanzania walishachoka na magamba longtime kitambo,endelea kufunguka mzee tunakusubiri,kweli wazee wa magamba wanazeeka vibaya...
 
Kwa kauli hiyo alikuwa anamaanisha nini? Sitta sio rahisi kuwa raisi isipokuwa labda kwa mgombea anayemuunga mkono.

Inavyoonekana bado ana matumaini ya siku moja kucheza karata za urais. Hata hivyo, kwa jinsi alivyo na hasira na visasi, akipata rungu inaweza kuwa balaa!
 
Hatimaye Sitta ameanza kutoboa jibu. Leo akiwa jimboni kwake Urambo amesema kuwa hatua yake ya kutoa misaada makanisani siyo kwamba anatafuata urais. Kwamba kama Urais upo basi utamfuata wenyewe kwa wananchi
kumhesimu.



Source: ITV

Jibu zuri,sio mtu anajiapiza eti 2015 lazima awe Raisi.
 
Tatizo JK kaifanya hii kazi ionekane rahisi sana!!! Sidhani kama enzi zile za Nyerere alishawahi kufikiria haya anayoyasema unless kwenye ndoto!!!
 
Back
Top Bottom