Sitosahau yaliyonipata kijijini Kwamsisi

Unajua kuwa jamiiforums ni jukwaa la greater thinkers! (Miongoni mwa Sifa ya greater thinker ni kufanya analysis na evaluation ya taarifa).

Sasa mtu anaulizwa tu eti anajikinai.
Analazimisha tukubali Kuwa story yake ni true based story, wakati inamaswali mengi ambayo yanaacha alama za kujiuliza.
Kuna vitoto vingi vilivyo fail havitaki kuhoji. Sisi tunaohoji. Hawa vilaza wanatuchukia. Story ina gaps nyngi mandondocha yanakubali tu hatataki kuhoji uongo uwekwe wazi. Unakuta mtu anakenua tu meno kama taahira.
 
Mpeni muda mtunzi atunge visa vingine. Ila huu mwendo mwishoni atajikuta hana cha kutunga coz yote amemaliza atashindwa imalizia vizuri. Nina uzoefu na utungaji wa stories.
 
Huwa nasikia kutoka kwa wadau, wakati wa kumuosha marehemu yale maji na taka mwili za marehemu hulindwa sana, kumbe wachawi hufanyia yao duh.
 
Sasa hapa wewe ndo umeonesha una stress. Hizi stories why zinawatoa imani hivyo? Sisi wengine tunakuja humu kutafuta wa kuwatoa makamasi na kuamsha stress zao tuna enjoy. Tafuteni kazi shauri lenu. Mtakuja olewa na watunzi kwa stories tu. Mwacheni mtunzi atunge kwa utulivu
Vizuri Sana ..umejipambanua vyema.. .. jinsi ulivyo!
 
Mzee wangu alikuwa mwalimu kuna wakati alihamishiwa katika shule moja Morogoro vijijini huko ndanindani.. ile shule ilikuwa na walimu wawili tu.!! Historia yapale wanasema iIlikuwa akiongezeka mwalimu wa3 basi anakufa. Na wakati mzee anaenda kuripoti shuleni akakuta kuna mwalimu amezikwa kama miezi mi3 nyuma. Nayeye alivyohamia pale hakuchkua hata zaidi ya mwaka akafariki..!
Duhh...pole
 
Unaandaa lesson plan ya kesho? Au unaumiza kichwa kutunga? Watu wanalia lia huku wanataka wapate pa kupatia usingizi na kupunguza stress.... Mi nawagonga wewe mwandishi andaa episode ya nguvu.... Waje wanywe chai.
 
Ila Handeni ni hatar na wazigua ndo wanaipa sifa ya uchawi Tanga wengi hwajui...Wasambaa , wadigo na wabondeni hawanaga uchawi wa kutisha zaidi ya zongo ila Handeni ni hatar.

Uchawi na waganga kila kona piga mahesabu kijiji hata watu laki hwafiki ila kuna waganga elfu 1 na kitu na hao waganga ndo wachawi hao hao.
Nilienda kuzika korogwe Kijiji hakina msikiti Wala Kanisa,mganga anaumwa wanaenda kumuangalia
Kijiji kizima hakuna mchaga hata Mmoja
 
Janja kiporo kikipashwa Moto huwa hakiongezwi chumvi kinapikwa na chumvi yake ileile iliyowekwa awali
naona episode ya 6 umeongeza chumvi kwenye kiporo hata wewe mwenyewe kiporo chako kimekushinda kuendelea nacho
 
Back
Top Bottom