Sitopenda tena

Yaani huyo hakuwa anakupenda na ndo maana kafanya hivyo,so cool down punguza kuyafikilia hayo & everithing will be ok, ila ukitaka kujiua nijulishe ili nikuelekeze sumu isiyo lemba ni sekunde 10 tu.
 
Mambo gani hayo tena ya kutishia kutokupenda tena mara nitajiua!!!!!
kwani kabla ya kuwa naye ulikuwa na nini? nadhani ulikuwa peke yako. huyo alikuwa mpita njia tu achana naye, tumia muda mwaigi kujiweka vizuri kiuchumi achana na hayo mambo ya nakupenda ni hadithi tu hizo. Kumbuka ukiwa hauna pesa hauta pata huduma nzuri. Tafuta pesa kwanza, then utakuwa unachukua wa kila aina. kama amekukimbia bcoz uchumi ujue alikuonea huruma tu ili nawe uweze kuonja, angalau ujihisi kuwa nawe upo duniani!!!!!
 
kama ntafanya hvo basi naamin itanchukua muda
niliyempenda et kaamua kunisalit kwa RAFIKI YANGU wakaribu kabisa kisa VIJISENT
naomben ushauri nihame mji au nijiue 2 ila sipend hata kidogo kuwaona hawa mafedhuri

Unasema tu wewe, kwani huyo ulipanga wewe kumpenda si ulijikuta tu umemdondokea!? Jipe muda....
 
kama ntafanya hvo basi naamin itanchukua muda
niliyempenda et kaamua kunisalit kwa RAFIKI YANGU wakaribu kabisa kisa VIJISENT
naomben ushauri nihame mji au nijiue 2 ila sipend hata kidogo kuwaona hawa mafedhuri

mi naona bora ujiue ili usiwaone tena hawa mafedhuli
 
mimi naona ukijiua utakua upo salama zaidi kaka..thats life take it easy.

" you will loose a lot of money chasing women,But you will never loose women chasing money"
 
ngojaa nikuletee sumu ya panya na vidongeee ...nipe namba yako halafu mie ukifa ntaenda polisi kusema.....
 
Wakuu........huyo jamaa alishajirestisha in peace.......mmeona hiyo tarehe ya post ilikuwa ni lini........?
 
Kwani bado yupo hai huyu?
Tulishasafirisha kwao na matanga tuliishaanua.
Cha kusikitisha alidumisha mila za wazee wake kule karibu na kwetu.

Na wale wenzie alowaita mafedhuli siku hizi wameokoka wanakemea mapepo.

kwi kwi kwiii
 
Me naona kama mtu kakusaliti si riziki yako Mungu hakupanga uwe nae lazimisha uone cha moto cha msingi mtoe mawazoni tu kwani pesa siyo inayoleta furaha katika mapenzi watu tumeshatendwa sana unaumia,unafungua moyo kwa watu wengine unapendwa mpaka unasahau kama ulishapenda huko nyuma ujiue kisa mapenzi wakati wenzako wanakula raha. Potezea kama ur x yuko after money wala hatadumu kama ulitimiza wajibu wako kwake iko siku ataona umuhimu wako akiwa ameshachelewa.
 
Back
Top Bottom