Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

Hongera sana, secret services guy. Na asante kwa feedback, ujue nini. Mimi ninaamini hii kitu ya JF hasa kwakuwa 2 serious people who knows what they want go out and ask for it; tofauti na mitaani unapomvizia dada; unaanza kumuimbisha story ya urafiki mpaka uchumba wakati huenda mmoja wenu sio malengo yako. Ad inafaa zaidi katika kujenga commitment kuliko ya kuonana na mtu hiyo huvuta matamanio (attraction) zaidi kuliko commitment.

ni kweli unayosema ila kwa miez 5 yote nimejaribu kufuatilia historia yake kwa kuanza na alipozaliwa, aliposoma,aliyemlea, ndugu jamaa na marafik thus why tumefikia hatua hii
 
mi nilikupiga sana madongo mdogo wangu!
umemek it?haya kila la kheri my dear !

ahsante. Ilikua haki yako, kwasababu siyo kila kitu ni chakukubali, so kwa watu waliopita shule wanaelewa to be a great thinker u need to ask,judge,speculate and come with final say. Thanx again
 
Wow! congratulation! Kidotulotokordwak , hii itawapa moyo wale ambao hawaamini, ingekuwa hapa Dar kwa kweli ningekuja kushuhudia , pale kanisani wakati mnaapa.

mbona arusha karibu lisa. Tsh 25 elf. You are most welcome
 
ni kweli unayosema ila kwa miez 5 yote nimejaribu kufuatilia historia yake kwa kuanza na alipozaliwa, aliposoma,aliyemlea, ndugu jamaa na marafik thus why tumefikia hatua hii

Na yeye amepata nafasi ya kukufatilia? isije ikawa kwa vile wewe una 'access' na yeye hana sana basi yeye anakuwa hakufahamu vizuri!
 
mnh hongera,sie wengine tunaamini kwanza lazima kuwe na physical attraction atii,...... hiii ya kubebana sababu ya majukumu fulani ndio inayoleta kuchokana baada ya hayo mambo kukamilika.............,natumaini na yeye yuko attracted na wewe kama ulivyo wewe,sio kesho anakuja na mada nimemchoka mume wangu lol all the best

ushaur mzur. Kwangu sina tatizo labda kama yeye ndani mwake kutakua na mengine coz huwez kuangalia ndani ya moyo wa mtu. Ila naamini ananipenda kama ninavyompenda hasa kutokana na magumu aliyopitia katika maisha yake
 
Na yeye amepata nafasi ya kukufatilia? isije ikawa kwa vile wewe una 'access' na yeye hana sana basi yeye anakuwa hakufahamu vizuri!

yap nafikiri amepata muda wa kunifuatilia coz anawafaham ndugu jamaa na marafiki wanaoweza kumueleza mimi ni nani? Labda kitu kimoja watu waelewe sijawah kuwa na mwanamke kabla ya kukutana na huyu bibie na hiyo nikutokana na shule nilizosoma, sheria ya kaz ninayofanya(kwa muda fulan hautakuwa kwenye mahusiano),so sina tatizo na nafsi yangu
 
Nimekuja kutoa shukran kwa jf coz mwez 2 tunataraj kufunga harusi kubwa katika jiji la arusha. Karibu sana kama ni member wa jf,venue itakua ni kibo palace. Wote mliokua mnabisha ni muda wa kuja kushuhudia jf inavyafanya kaz.
Jf is the best place to be.
Sijakupata Mkuu, nashindwa kukupongeza, naona kama umeamua kutuchezea shere vile!
Tutajie taehe rasmi ya hiyo ndoa, umesema mwezi wa pili bila kutaja tarehe, naamini hapo Kibo Palace hufanyika harusi nyingi! Sasa tutajuaje we yako inafanyika lini.

Ukifafanua hili nitakupa pongezi, kwa sasa natoa shilingi yangu!!
 
du mkuu ww nouma, sijajua nn lengo lako:-
1. unapenda mpunga so unataka uzamie.
2. Huamini kama kweli anaoa
3. Ndege wako kapeperuka so unataka ujue km ndo kaenda kutoa hapo
4.Unataka na ww ufuate nyayo, kuwa inawezekana kupata mwenza jf
5..........................
 
Back
Top Bottom