Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

Kidotulotokordwak

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
286
43
Poleni na majukumu kwa wenye kaz na msio na kaz endeleeni kutafuta na laana kwa wote msiopenda kaz ila mnataka kula na kuvaa vizur.

Mimi ni mwanafunz katika chuo kikuu kimoja maarufu hapa nchini na mfanyakazi katika idara nyeti. miezi michache iliyopita nilitafuta mwanamke wa kunizalia mtoto kwa mkataba wengu mlinishauri wengine mliniponda ila nilipata e-mail nyingi za waliokuwa tayari mwisho wa siku nilikutana nao wote na mazungumzo yote niliyaleta humu, toka nilipoenda Dodoma, Mwanza, Arusha na Dar es Salaam ambapo ndipo nilipokutana na malkia mmoja ambaye uzur wake hauelezek.nilishazungumza meng kwenye post zangu zingine.

Nimekuja kutoa shukran kwa JF coz mwezi 2 tunatarajia kufunga harusi kubwa katika jiji la Arusha. Karibu sana kama ni member wa JF,venue itakuwa ni kibo palace. Wote mliokuwa mnabisha ni muda wa kuja kushuhudia JF inavyafanya kaz.

JF is the best place to be.
 
mama yako ameshapata mjukuu tayari au mnasubiri ndoa? hongera
 
Hongera sana, secret services guy. Na asante kwa feedback, ujue nini. Mimi ninaamini hii kitu ya JF hasa kwakuwa 2 serious people who knows what they want go out and ask for it; tofauti na mitaani unapomvizia dada; unaanza kumuimbisha story ya urafiki mpaka uchumba wakati huenda mmoja wenu sio malengo yako. Ad inafaa zaidi katika kujenga commitment kuliko ya kuonana na mtu hiyo huvuta matamanio (attraction) zaidi kuliko commitment.
 
Hongera mkuu, najua uliyempata ni Lala 1!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mi nilikupiga sana madongo mdogo wangu!
umemek it?haya kila la kheri my dear !
 
Wow! congratulation! Kidotulotokordwak , hii itawapa moyo wale ambao hawaamini, ingekuwa hapa Dar kwa kweli ningekuja kushuhudia , pale kanisani wakati mnaapa.
 
Ni yule wa kanisani au wa dodoma mwenye pesa zake, kwani wa mwanza hukumpenda vile ulivyomuaona tu (alikuwa kidigitali zaidi)
 
mnh hongera,sie wengine tunaamini kwanza lazima kuwe na physical attraction atii,...... hiii ya kubebana sababu ya majukumu fulani ndio inayoleta kuchokana baada ya hayo mambo kukamilika.............,natumaini na yeye yuko attracted na wewe kama ulivyo wewe,sio kesho anakuja na mada nimemchoka mume wangu lol all the best
 
Back
Top Bottom