Sitokusahau JF kwa kunipa mwanamke mzuri, toka ndoa ya mkataba mpaka harusi kubwa Februari

Hongera sana, secret services guy. Na asante kwa feedback, ujue nini. Mimi ninaamini hii kitu ya JF hasa kwakuwa 2 serious people who knows what they want go out and ask for it; tofauti na mitaani unapomvizia dada; unaanza kumuimbisha story ya urafiki mpaka uchumba wakati huenda mmoja wenu sio malengo yako. Ad inafaa zaidi katika kujenga commitment kuliko ya kuonana na mtu hiyo huvuta matamanio (attraction) zaidi kuliko commitment.

ni kweli
 
ndoa ni safari ndefu sana endelea na maombi maana nahisi kama ndio umeanza safari hujui unakoenda na pia nakupongeza kwa kushukuru ila endelea kumuomba mungu ili upunguze matatizo na uielekeze na kumuachia ndoa yenu mwenyezi mungu ya kwangu ni hayo tu
 
Daaaah hongera sana! Mimi nilikuwa siamini ulicho kuwa unaandika!
 
du mkuu ww nouma, sijajua nn lengo lako:-
1. unapenda mpunga so unataka uzamie.
2. Huamini kama kweli anaoa
3. Ndege wako kapeperuka so unataka ujue km ndo kaenda kutoa hapo
4.Unataka na ww ufuate nyayo, kuwa inawezekana kupata mwenza jf
5..........................

Hahahahahahah! Hongera kwa kufikiri beyond human brain capacity

1. Nipo Ngadinda kwetu, km kama 2000 toka A town, hivyo ishu ya kuzamia mpunga ondoa, ingawa nakifagila sana 'chakula cha mtume'
2. Ni kweli siamini maana anaweka habari nusu nusu, mimi nimeshtuka mpaka aje ajibu hoja hii mwenyewe
3.Ndege wangu yupo Preta, hivyo swala la kuperuka halipo, ni majuzi tu tumeanzisha kijiwe cha misosi fuatilia kuna uzi upo hapa Jf bibiye mwenyewe kakari hawezi kuniacha
4. Point ya kufuata nyayo zake haipo, Preta is my Queen, my every thing hata dada zangu @F.P, snowhite na Kipipi wanajua, kaka yangu Ngalikihinja atashuhudia hili,mshenga King'asti atashuhudia pia, wapambe watu8, platozoom, Madame B na Lara 1, shemeji zangu Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, wanakamati wetu The Boss, AshaDii, MziziMkavu, Boflo, Wiyelele na Babu @Aspirin
 
Last edited by a moderator:
Dah! Kumbe kweli bwana watu wanaopoa kupitia hi jf ngoja na mimi nianze misele humu ndani hadi kieleweke lol......Hongera sana na nakutakia mema sana mkuu kwenye shughuli yako hiyo!
 
Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri. (Ar-Room: 21)

Mwenyeezi Mungu awajaalie mapenzi mema na ya dhati kwa wanandoa na ajaalie riziki kwenye ndoa zenu mtakazofunga
 
Yote yawezekana kwa imani...yote yawezekana kwa imani...kushinda tutashinda kwa imani...yote yawezekana kwa imani.
 
Dah kumbe it works eeeeh? Mi wacha nilizoee benchi la uzoefu, ukifika muda tutatafuta kwa style hizo, bravo amigo
 
Na katika Ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao. Naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu. Hakika katika haya bila ya shaka zipo Ishara kwa watu wanao fikiri. (Ar-Room: 21)

Mwenyeezi Mungu awajaalie mapenzi mema na ya dhati kwa wanandoa na ajaalie riziki kwenye ndoa zenu mtakazofunga

let it be so
 
Hahahahahahah! Hongera kwa kufikiri beyond human brain capacity

1. Nipo Ngadinda kwetu, km kama 2000 toka A town, hivyo ishu ya kuzamia mpunga ondoa, ingawa nakifagila sana 'chakula cha mtume'
2. Ni kweli siamini maana anaweka habari nusu nusu, mimi nimeshtuka mpaka aje ajibu hoja hii mwenyewe
3.Ndege wangu yupo Preta, hivyo swala la kuperuka halipo, ni majuzi tu tumeanzisha kijiwe cha misosi fuatilia kuna uzi upo hapa Jf bibiye mwenyewe kakari hawezi kuniacha
4. Point ya kufuata nyayo zake haipo, Preta is my Queen, my every thing hata dada zangu @F.P, snowhite na Kipipi wanajua, kaka yangu Ngalikihinja atashuhudia hili,mshenga King'asti atashuhudia pia, wapambe watu8, platozoom, Madame B na Lara 1, shemeji zangu Arushaone, Erickb52, Nicas Mtei, wanakamati wetu The Boss, AshaDii, MziziMkavu, Boflo, Wiyelele na Babu @Aspirin

the one who have a test to every sort of knowledge and who is never satisfied is regarded as a philosopher.
Carl marx
 
Last edited by a moderator:
ndoa ni safari ndefu sana endelea na maombi maana nahisi kama ndio umeanza safari hujui unakoenda na pia nakupongeza kwa kushukuru ila endelea kumuomba mungu ili upunguze matatizo na uielekeze na kumuachia ndoa yenu mwenyezi mungu ya kwangu ni hayo tu

thanx. Ntazingatia unayosema.
 
Back
Top Bottom