Sitaki Tena

yani nimejikuta nacheka sana tena sana, ila pole ndugu maana mambo mengine yanaumiza mhusika wakati msomaji yanamchekesha
 
inabidi uende useme baada ya 2kio alikimbbia na ni kwa nn umeamua kuweka cri za mchumba wako hadharani inaonesha hata cku ukiolewa utakua unasema cri za mume wako,ilibidi umfundishe nama ww ulivyotaka akufanye :yawn:
 
pole...not every thing is as it seems...ni bora umefind out now kuliko yakukute kwenye ndoa...kama shida ni kuonja tu..nitafute mim nikupe maufund adi umsahau uyo msukuma wako
 
bint acha zako, we jamaa anamaugwadu ya miaka, usikute ww ndio fungua dimba unafikiri atakuwa na pozi? Omba remarch kesho alafu umtulize kwanza asiwe na papara. Ndio utuhumu.

Mimi nakumbuka siku ya kwanza kula tunda ambalo nafikiri nililipigia picha kitambo sana wifi yako anadai nilip4m kwa kiwango ambacho mpaka leo anakiota na anajua sababu ni nini. sio kwamba sasa haridhiki, hapana ni kama vile single ya kwanza ikogonga namba moja bilboard kwa kipindi kirefu lakini zilizofuatia zisifikie ukali ule.
 
Back
Top Bottom