Sitaki Tena

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Wapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati anayetokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Kwa muda mrefu mchumba amekuwa akiniomba tuonje 'tunda la kati' nikawa namtolea nje kwamba wakati wake bado. Jana usiku mchumba aliniita kwake, nilipofika aliomba kuonja tunda, nami nikaone nisimkatalie ili nami niionje hiyo raha nitakayokutana nayo hapo baadaye akishakuwa hubby wangu.

Cha kusikitisha na ambacho kimenifanya niamue kwamba sitaki tena ni kwamba jamaa linatwanga ovyo ovyo utadhani linafukuzwa. Kwa kweli sikuiona hiyo raha niliyoitegemea hata kidogo. Kibaya zaidi jamaa limening'ata "chakula ya mtoto" hadi kuniachia majeraha makubwa. Asubuhi hii nimeamkia kwenda hospital mwananyamala, daktari amekataa kunitibu anadai hadi niende na PF3. Nimeshindwa jinsi nitakavyoripoti polisi ili niipewe hiyo PF3. Jamani nipeni pole mwenzenu nateseka!
 
Hutaki tena tunda au uhusiano na huyo jamaa? Umekoma kweli, au ukipona utarudia tena? Na huyo jamaa itakuwaje? Huyu jamaa sijui ni wa Mara a.k.a Musoma? Mwanza, Shinyanga? Kagera? Ila "si ulitaka chai, iweje ulalamike..."
 
Nilitegemea raha na wala siyo karaha niliyokutana nayo. Iwapo kwa siku moja tu ameniachia majeraha kiasi hicho, ikitokea tukaishi pamoja siku zote si nitakuwa majeraha mwili mzima kama mwizi? Huyu "ex-mchumba" ni mwenyeji wa moja ya mikoa uliyoitaja.
 
mh sasa kwani ilikuwa ugomvi?mpaka akurarue hivo?ilikuwa ni mara ya kwanza?lakini huwezi kwenda polisi since hakukubaka mydear!
 
Hutaki tena tunda au uhusiano na huyo jamaa? Umekoma kweli, au ukipona utarudia tena? Na huyo jamaa itakuwaje? Huyu jamaa sijui ni wa Mara a.k.a Musoma? Mwanza, Shinyanga? Kagera? Ila "si ulitaka chai, iweje ulalamike..."

hujawatendea haki!
 
Nilitegemea raha na wala siyo karaha niliyokutana nayo. Huyu "ex-mchumba" ni mwenyeji wa moja ya mikoa uliyoitaja.

huyo ex mchumba alikuwa anajua kuwa ulikuwa bikra?au hujafanya kwa muda mrefu?(sijui kipi ni sahihi hapo)
 
ni bikra huyo mpe second chance
huwezi mpima mtu kwa siku moja bwana
keep trying1
 
wala sikupi pole!!!we una uzoefu wa huko nyuma??!!hivyo ndo huwa wanafanya wote,tuliana naye usihangaike,utazoea tu!!
 
mh sasa kwani ilikuwa ugomvi?mpaka akurarue hivo?ilikuwa ni mara ya kwanza?lakini huwezi kwenda polisi since hakukubaka mydear!
Kwa kweli ilikuwa ni mara ya kwanza na nilidhani kuna raha ambayo wenzangu wanapata, kumbe maumivu matupu!!! Ngoja niuguze haya majeraha baadaye nitafute uwezekano wa kuwa mtawa, maana sitaki mateso ya aina hiyo yanipate tena.
 
fundisha mwenzio acha ubinafsi...sipati picha ungepewa ligwaride la kisukuma sijui ungekuwa u hali gani
 
Pole
ila sidhani kwamba hiyo bad sex ya mara moja inatosha kumdisqualify mtu kabisa unless kuna matatizo mengine. Hivi how was you 1st day, were u the expert you are today? whatif huyo alokuanza angekutema kama unavyotaka kumtema huyu ungejisikiaje?

nakushauri, ongea naye kwamba love making has to be slowly na inakuwa nzuri zaidi kama unakuwa unaisikilizia na si kula kwa pupa. mfundishe taratibu, asipofundishika ndipo uchukue hayo maamuzi unayotaka kuchukua.

mwisho, sidhani kama hili lilifaa kuleta jamvini (kwa mtazamo wangu) unless unajisikia vyema kwa kumsagia huyo mwanaume aliyeshindwa kumeet your expectation; fikiria upande wa pili, mkaka aje humu na thread ya kumsagia mdada kuwa alikuwa na shimo kubwa au alikua anatoa harufu, nina imani nawe ungeshirikiana nami kumsema huyo mkaka asivyo na staha. So tuheshimiane na kusaidiana, kwani wote hatujazaliwa tunajua!
 
thax dada ni upuuzi tu huu..kwanza amezini ,haoni hata aibu..eti kangatwa angemla kabisa hicho kipochi..kiishe tuone atakuwa anasimulia nini
 
Wapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati anayetokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Kwa muda mrefu mchumba amekuwa akiniomba tuonje 'tunda la kati' nikawa namtolea nje kwamba wakati wake bado. Jana usiku mchumba aliniita kwake, nilipofika aliomba kuonja tunda, nami nikaone nisimkatalie ili nami niionje hiyo raha nitakayokutana nayo hapo baadaye akishakuwa hubby wangu.

Cha kusikitisha na ambacho kimenifanya niamue kwamba sitaki tena ni kwamba jamaa linatwanga ovyo ovyo utadhani linafukuzwa. Kwa kweli sikuiona hiyo raha niliyoitegemea hata kidogo. Kibaya zaidi jamaa limening'ata "chakula ya mtoto" hadi kuniachia majeraha makubwa. Asubuhi hii nimeamkia kwenda hospital mwananyamala, daktari amekataa kunitibu anadai hadi niende na PF3. Nimeshindwa jinsi nitakavyoripoti polisi ili niipewe hiyo PF3. Jamani nipeni pole mwenzenu nateseka!
Kama wewe unampenda ungemfundisha afanyaje ili usikie utamu.Nami mara ya kwanza nilipokutana na girl friend wangu alikuwa ni mwenyeji wa Songea nilikuwa sijui hata jinsi ya kufanya mapenzi vizuri.Nilichokuwa najua nikuchomeka na kuchomoa basi.Girl Friend wangu alinifundisha michezo yote inayotakiwa mkiwa kitandani.Japo siku ya kwanza tulikuwa tunaoneana aibu lakini kadiri siku zilivyokuwa zinakwenda nilikuja kuwa mtaalamu wa mambo hayo na kila mtu alifurahia tendo la ndoa kila tulipokuwa tunakutana.Hadi leo namshukuru sana japo hatukubahatika kuoana.
 
lucymito,wewe huzini?ila jamani issue nyengine au labda mimi ni wa kizamani,kwangu mimi nisingeweza kuleta humu
 
Back
Top Bottom