Sitaki Tena

Hii inaitwa name calling, ni kinyume na sheria na kanuni za JF; akikusoma Paw hapa unaenda Lupango. Usijali, sijam-mention, nimebold tu jina lake. Nikikukosa wewe hapa jamvini nakosa appetaiti ya ugali. Na mimi nisipokula ugali napata minyoo. Na nikipata minyoo sili kitimoto, na nsipokula kitimoto napungukiwa na kinga mwilini kwakuwa kitimoto ni ARV.

jamani, umeona nimemuuliza hapo juu na akakubali mwenyewe; nashukuru kwa kunikumbusha lakini.
 
Wapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati anayetokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Kwa muda mrefu mchumba amekuwa akiniomba tuonje 'tunda la kati' nikawa namtolea nje kwamba wakati wake bado. Jana usiku mchumba aliniita kwake, nilipofika aliomba kuonja tunda, nami nikaone nisimkatalie ili nami niionje hiyo raha nitakayokutana nayo hapo baadaye akishakuwa hubby wangu.

Cha kusikitisha na ambacho kimenifanya niamue kwamba sitaki tena ni kwamba jamaa linatwanga ovyo ovyo utadhani linafukuzwa. Kwa kweli sikuiona hiyo raha niliyoitegemea hata kidogo. Kibaya zaidi jamaa limening'ata "chakula ya mtoto" hadi kuniachia majeraha makubwa. Asubuhi hii nimeamkia kwenda hospital mwananyamala, daktari amekataa kunitibu anadai hadi niende na PF3. Nimeshindwa jinsi nitakavyoripoti polisi ili niipewe hiyo PF3. Jamani nipeni pole mwenzenu nateseka!

Ha ha ha ha,pole sana aisee!!!!

Duh,mwambie aache kuigiza mambo ya kwenye porn sio
halisi.

Nawe mda wote ana kutwanga kwanini ulikua humwambii apunguze speed,na umbali
anao enda?

NB: UNGE MNG'ATA PIA NANII YAKE
 
Pole
ila sidhani kwamba hiyo bad sex ya mara moja inatosha kumdisqualify mtu kabisa unless kuna matatizo mengine. Hivi how was you 1st day, were u the expert you are today? whatif huyo alokuanza angekutema kama unavyotaka kumtema huyu ungejisikiaje?

nakushauri, ongea naye kwamba love making has to be slowly na inakuwa nzuri zaidi kama unakuwa unaisikilizia na si kula kwa pupa. mfundishe taratibu, asipofundishika ndipo uchukue hayo maamuzi unayotaka kuchukua.

mwisho, sidhani kama hili lilifaa kuleta jamvini (kwa mtazamo wangu) unless unajisikia vyema kwa kumsagia huyo mwanaume aliyeshindwa kumeet your expectation; fikiria upande wa pili, mkaka aje humu na thread ya kumsagia mdada kuwa alikuwa na shimo kubwa au alikua anatoa harufu, nina imani nawe ungeshirikiana nami kumsema huyo mkaka asivyo na staha. So tuheshimiane na kusaidiana, kwani wote hatujazaliwa tunajua!

Ushauri mzuri sana,ila kwakua hamna anae mfahamu sio
mbaya.
 
Wapenzi wa JF, nimeamua kushare nanyi kisa hiki cha ukweli kuhusu yale yaliyonisibu usiku wa kuamkia leo. Nimekuwa na huyu mchumba wangu kwa zaidi ya miaka 2 sasa. Ni kijana msomi, mtanashati anayetokea moja ya mikoa ya kanda ya ziwa. Kwa muda mrefu mchumba amekuwa akiniomba tuonje 'tunda la kati' nikawa namtolea nje kwamba wakati wake bado. Jana usiku mchumba aliniita kwake, nilipofika aliomba kuonja tunda, nami nikaone nisimkatalie ili nami niionje hiyo raha nitakayokutana nayo hapo baadaye akishakuwa hubby wangu.

Cha kusikitisha na ambacho kimenifanya niamue kwamba sitaki tena ni kwamba jamaa linatwanga ovyo ovyo utadhani linafukuzwa. Kwa kweli sikuiona hiyo raha niliyoitegemea hata kidogo. Kibaya zaidi jamaa limening'ata "chakula ya mtoto" hadi kuniachia majeraha makubwa. Asubuhi hii nimeamkia kwenda hospital mwananyamala, daktari amekataa kunitibu anadai hadi niende na PF3. Nimeshindwa jinsi nitakavyoripoti polisi ili niipewe hiyo PF3. Jamani nipeni pole mwenzenu nateseka!
hahaha jf ni zaidi ya uijuavyo,mpaka anakung'ata boobs inaonekana uliknogewa na mikito thats why hata hukusense meno!!na huyo mwanaume i assume ni wa MARA,inakuaje mpaka akung'ate...?tatizo vijarida vya mapenzi vinawapeleka pabaya vijana wetu
 
Tatizo alikuwa na ugwadu sana mambo ya njoo kesho alishachoka akasema huyu dawa yake ipo jikoni , nitaritandika!!
 
Ningenda kufahamu yafuatayo kutoka kwako ilinichangie sawa na ufahamu wako: kabila,dini, kiwango cha elimu yako,uliwahi soma shule au chuo na kulala bweni? unapendelea nini wakati wa uhuru binafsi {HOBIES} Nawasilisha.
 
Maswali yako hayatanipunguzia maumivu ninayoyasikia kwa sasa.
 
Ni vyema ukae nae umueleze alichofanya akija kufurahisha na umueleze jinsi ulivyo umia pia.
Nadhani atakuelewa na atajirekebisha!
daaaah! Mlikuwa libya nini?
Hili ni tatizo dogo ambalo ukiamua unalimaliza bila wasiwasi na tumaini unampenda kwa dhati hivyo utamueleza ukweli.
 
Inaelekea u mgeni sana kwenye shughuli! Haya ndio matatizo ya kukimbia unyago!
 
pole sana ila si inaona faida ya kutest mzigo.....loh

unachotakiwa umpe muda zungumza nae na umfundishe mikato, kuhusu kung'ata kama midadi yake ni kung'ata mwekee mto au shuka angate hilo mizuka yake ikizidi.....

Kama anag'ata wakati wa romance mfundishe na mwambie asikunyonye chakula cha mtoto.....

Loh sipati picha jamaa alivyokuwa anajituma kumbe mwenzie walaaaa unakarahika tu....akitoka hapo anajisifu yeye kidume uwiiiiiiiii
 
jaribu kukaa nae mzungumze tofauti zenu, kama binadamu huwa tunakuwa na uelewa tofauti wa mapenzi kwa ujumla hivyo ni vyema kukaa pamoja ukamuelekeza na kumsihi kuwa alichokifanya sio kizuri nae kwa kuwa anakupenda atakuelewa. Si busara kuachana nae kwa sababu hizo tuu coz huenda akawa mtu mzuri zaidi kuliko kutafuta mwanaume mwengine. Pole kwa yaliyokukuta but mwisho wa siku maisha lazima yaendelee:A S 465:
 
Pole sana,sijui kwa nini jamaa alitumia vibaya kitu kizuri,siku nyingine mnyime aone uchungu wake,ai see mbaya saa hiyo,pole sana,jitahidi umuone daktari mapema,usije pata tetenasi
 
Back
Top Bottom