Sitaki kura zenu

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,513
474
Watanzania walishaambiwa na CCM kuwa hawataki kura zao,walimu wakiwa ndo wawakilishi wa watanzania. Waalimu walipigwa chini kwenye kurecord sensa.Je bado waalimu na watanzania wote wajinga na wajanja mtaipigia kura CCM MWAKA 2012? NAOMBA MAJIBU YA WAJANJA NA YALE YA WAJINGA PIA.
 
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...e-lowassa-halafu-awaulize-sitta-na-nnape.html
Watakavyochanganywa na kuwekewa mazingira ya mitego watalaainika na kuirudisha ccm madarakani. Hii ndiyo Bongo
 
Back
Top Bottom