Sista duu nao wanakulaga mahindi ya kuchoma

DSCF8002.JPG
Mchoma mahindi na sistaduu wamemachisa hadi wamependeza sana.
 
Uzuri wao wadada kama hawa ni kwamba anaweza kununua mahindi 2 kwa shilingi 10,000/=

Neno "keep change" kwao liko nje nje....

Ningejua wanakopita, ningefungua biashara ya kuuza ubuyu...Ukimpata mmoja unamaliza kazi ya siku nzima!!
 
mjasiri haachi asili asee!!! huyo mwanadada nimemkubali.... mbona hata makonda na madereva huwa wanakula burgers za Ally's!! nalo mtashangaa?!!! nadhani aina ya chakula haim 'define' mtu labda ulaji wake...
 
Ila kwa mahindi ya kuchoma hata ukiwa sista duu ukila mara moja na kesho lazma urudie tena
 
Wanakula hata "muwa", nini mahindi?

Ila msichana kama huyu anaonyesha uzuri wa zaidi ya skin deep, hajivungi halafu anajua chakula cha asili cha mtanzania.

Big up the so called "sista du" ingawa mie sioni usista du.
 
.......Asikwambie mtu vitu kama hivi vya barabarabi ni vitamu sana, hapo hakuna cha usta du wala braza men.
Ndio hivo! Alafu hakuna mahali nimeenda nikakosa kupata mahindi fresh ya kuchoma... Hii kitu inapendwa sana!
 
Wanakula hata "muwa", nini mahindi?

Ila msichana kama huyu anaonyesha uzuri wa zaidi ya skin deep, hajivungi halafu anajua chakula cha asili cha mtanzania.

Big up the so called "sista du" ingawa mie sioni usista du.
Nilitaka kuuliza....maana ya usista du...
haka si kale katoto ka mawingu efuemu
 
Wanakula hata "muwa", nini mahindi?

Ila msichana kama huyu anaonyesha uzuri wa zaidi ya skin deep, hajivungi halafu anajua chakula cha asili cha mtanzania.

Big up the so called "sista du" ingawa mie sioni usista du.


Usista du kwani ni nini by definition? Mi nilijua ni misemo ya uswazi tu lol
Is it a social status? Upward or downward?
 
Usista du kwani ni nini by definition? Mi nilijua ni misemo ya uswazi tu lol
Is it a social status? Upward or downward?
Kwangu mimi sista duu ni
-shori mkali
-mchapa kazi
-mwenye haiba....aiswe muongeaji sana
-awe na pozi la kishikaji sio kila mtu akikutana nae club anamjua...
-awe msomi...
-
 

nilichokipenda zaidi ni ubunifu wa huyo ndugu muuza mahindi, kitendo cha kuweka na mmea wenyewe, tena mbichi ambao zao lake yeye analiuza ni cha kuvutia sana, na kwa kweli hata kama ulikuwa unapita na hamsini zako utashawishika kusimama na kumuunga mkono kwa kununua.

big up man...sitoshangaa kama wengine wataiga very soon...angeweza angesajili intellectual property na akadai Royalty kwa kila atakayeiga!
 
duh... namfahamu huyu shori....:shock:

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
katumwa na anayeendesha.... kazi kweli kweli

no no noo dereva wa gari ni yeye mwenyewe,
mahindi ya kuchoma snack bomba, asikudanganye mtu. hakuna mimafuta wala machumvi kama kwenye chipsi .
 
Wanaishi km wa2 wengine, wana haki sawa na wa2 wngne, wanakula ,kulala na kunya km wa2 wengne, umechelewa kujua
 
Umenikumbusha last month nilikua ktkt kijiji flani kilichokumbwa na baa la njaa , sasa jioni nilivyokua narudi stand kupanda bus nikamendewa na wezi wawili walionikaba na kunipora muhindi wa kuchoma nilokua na kula na kukimbia nao mithili ya wezi waliopora simu ya mkononi.
Njaa haina choice.

Duh! mzee umenichekesha sana aisee, it caught me by suprise kidogo nirudishe lunch yangu mezani.. Vipi hawakutafuna siti na tairi za hilo basi..
 
Back
Top Bottom