Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,285
Lakini kwa nini waandae Tamasha katika suala linalohusu vifo?. nadhani ingekuwa bora hata wangeandaa Mkutano wa hadhara wa kuelimishana, kuonyana, kutiana nguvu, kuliwazana na hapo ndo Muziki wa Maombolezo ungetumika na si muziki wa furaha (msiniambie Wanamuziki walioalikwa hapo wataacha kupiga vibao vyao vikali vikali tena vingine vya kukata mayenu kabisa ) , lakini kuandaa tamasha?... Unless otherwise sijalewa Tamasha ni kitu gani