Sisi ni watu wa ajabu duniani?

Lakini kwa nini waandae Tamasha katika suala linalohusu vifo?. nadhani ingekuwa bora hata wangeandaa Mkutano wa hadhara wa kuelimishana, kuonyana, kutiana nguvu, kuliwazana na hapo ndo Muziki wa Maombolezo ungetumika na si muziki wa furaha (msiniambie Wanamuziki walioalikwa hapo wataacha kupiga vibao vyao vikali vikali tena vingine vya kukata mayenu kabisa ) , lakini kuandaa tamasha?... Unless otherwise sijalewa Tamasha ni kitu gani
 
Labda kwenye hili tamasha UV-CCM itatoa takwimu ya idadi ya wauaji wa Albino ambao jeshi lao shupavu limeweza kuwaua baada ya kuamriwa kufanya hivyo na kamanda Pinda. Baada ya hapo tuzo zitatolewa kuwapongeza kwa ushupavu wao katika kutekeleza amri hiyo ikiambatana na vifijo na nderemo kwa CCM kuwa nambari wani katika kuwalinda Albino. Huu ni mtaji mkubwa wa kisiasa - si uchaguzi mwakani ?

Maswali - je hizo tuzo zitajumuisha zile hela zilizotengwa kwa watakaofanikisha kukamatwa kwa wauaji wa Albino ?. Je pesa iliyotumika kuandaa tamasha hili zimepatikana vipi (nasikia UV-CCM kuna ukwasi) na zitakazopatikana zitatumika vipi ? Je baada ya maakuli na vinywaji, ngojera na rumba na vikolombwezo vyote hivyo, Albino watakuwa wamehakikishiwa usalama wao na wataweza kuishi bila hofu ?

Kwa kutanguliza ulaji, kweli sisi watu wa ajabu.
 
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu hii hoja yako hakika umepigilia msumari panapouma zaidi!...
Damn, ama kweli ulaji nchini umefikia mahala ambapo hata Albino wenyewe wanachezeana..
Huyu haji Manara ni mtoto wa mcheza mpira mashuhuri Sunday Manara, kafikiria deal la kutengeneza fedha na kalipata!..Anafanya bash la Awareness - neno zito sana lakini tunajiuliza litamsaidia vipi Albino aliyeko Unyatuzu kwa kupitia concert ambayo msukuma wa Shinyanga, Kahama na Mwanza hawezi kuelewa kabisa kwani hiyo TV tu wanayoijua ni ile ya mganga wa Kienyeji..ambaye kisha wambia watu wake kuwa viungo vya albino vinaweza kuibua dhahabu iliyojificha na kuwavuta sangara wakubwa hata ikiwa wakati wa kiangazi...

Tatizo kubwa la haya maonyesho tumeyaona Kongo, Wazaire wameimba weee nyimbi nyingi za majonzi na kila aina ya kulaani vitendo vya vita. Dunia nzima imepumbazwa na vitendo vya vita hiyo bila kufanya lolote zaidi ya kukusanya fedha kusaidia mfuko wa Red cross, kwa miaka michache tu zaidi ya watu milioni moja wamesha kufa na almost 2 millioni walikuwa hawana makazi tena...Kumbe kazi ilikuwa ndogo tu kumwondoa Nkunda..
Jamani hivi kweli serikali yetu imekusudia kuwasaidia hawa watu au ndio kujirusha tu!..
 
mzee natumaini maoni yetu hapa yatachukuliwa ili kubadilisha theme hiyo. Lakini mimi ningeona kweli ni mshikamano kama wangefanya tamasha hilo huko Mwanza, Shinyanga, Tabora tena baada ya kutembea kama kina Seith Benjamin..
 
Mkuu hapa tupo pamoja na lakuongeza ni kuwa muda si mrefu utasikia kuna NGO za kupambana na ALBINO.

Nimeshangaa sana maalbino wanaandamana kushabikia na kuunga mkono kauli ya MP Pinda
 
Mzee Mwanakijiji,
Mkuu hii hoja yako hakika umepigilia msumari panapouma zaidi!...
Damn, ama kweli ulaji nchini umefikia mahala ambapo hata Albino wenyewe wanachezeana..
Huyu haji Manara ni mtoto wa mcheza mpira mashuhuri Sunday Manara, kafikiria deal la kutengeneza fedha na kalipata!..Anafanya bash la Awareness - neno zito sana lakini tunajiuliza litamsaidia vipi Albino aliyeko Unyatuzu kwa kupitia concert ambayo msukuma wa Shinyanga, Kahama na Mwanza hawezi kuelewa kabisa kwani hiyo TV tu wanayoijua ni ile ya mganga wa Kienyeji..ambaye kisha wambia watu wake kuwa viungo vya albino vinaweza kuibua dhahabu iliyojificha na kuwavuta sangara wakubwa hata ikiwa wakati wa kiangazi...

Tatizo kubwa la haya maonyesho tumeyaona Kongo, Wazaire wameimba weee nyimbi nyingi za majonzi na kila aina ya kulaani vitendo vya vita. Dunia nzima imepumbazwa na vitendo vya vita hiyo bila kufanya lolote zaidi ya kukusanya fedha kusaidia mfuko wa Red cross, kwa miaka michache tu zaidi ya watu milioni moja wamesha kufa na almost 2 millioni walikuwa hawana makazi tena...Kumbe kazi ilikuwa ndogo tu kumwondoa Nkunda..
Jamani hivi kweli serikali yetu imekusudia kuwasaidia hawa watu au ndio kujirusha tu!..

Nakaa Nafikiria, nafikia conclusion kwamba ALBINO NI DEAL, kwa Maana nit u WATAFUTA UTAJIRI sasa HATA UVCCM, Hata WASANII WAMESHTUKIAwameshtukia maana kila kukicha Matamasha ya Kulaani Mauaji yanaibuka. Tofauti yao ni Kwamba wao Hawaui wala kukata viungo vya albino but wanatumia Ualbino wao Kuyoka. Its like AIDS now kila kukicha Warsha nyingi lakingi Maambukizi hayapungui! Hope watasoma mawazo hapa na Kujiangalia wasije wakawa wanekemea Watu Kupata Utajiri kwa Kuua Albinos halafu wao wanafanya kile kile cha Kusaka Utajiri through Albinos. Najua kutakuwa na Wafanyabiashara ambao watatumia Tamasha hilo kutangaza Biashara zao ili Waongeze Kipato
 
politics, politics, politics.......mauaji ya albino hayatakomeshwa majukwaani!!!
 
Zipo nyingi za aina hii zinazohusu UKIMWI. Hatupigi kelele wala kubeza. Hii ya Albino nongwa!
 
Nakuunga mkono,watanzania sijui tumepigwa ganzi.Hatuna diagnostic ability kabisa.Sioni jambo la kufanyia tamasha hapa!Serikali bado haijatimiza wajibu wake kabisa.

Date::2/11/2009 (mwananchi)

Waziri Mkuu, wabunge waalikwa tamasha la albino Dar
Na Clara Alphonce

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la kupiga vita mauaji ya walemavu wa ngozi (albino) lililoandaliwa na Umoja wa vijana wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam.

Katibu Mwenezi wa UV- CCM, Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara alisema kuwa tamasha hilo lililobeba ujumbe wa ' kila kijana ni mlinzi wa albino' litafanyika kesho kwenye Viwanja vya Leaders Jijini Dar es Salaam

Alisema nia ya tamasha hilo ni kuunga mkono hatua ya serikali ya kukemea mauaji ya albino yanayoendelea nchini kote.

Manara alisema mbali na Waziri Mkuu Pinda, pia kutakuwa na wabunge mbalimbali wa Mkoa wa Dar es Salaam,Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Suleiman Kova ambao watatoa ujumbe wao kuhusu mauaji hayo.

Manara aliwataja wasanii mbalimbali watakao tumbuiza katika tamasha hilo kuwa ni TID, Prof. Jay, Soggy Doggy, Wanaume Halisi na Wanaume TMK wakati bendi zitakazotumbuiza ni Msondo Ngoma, FM Academia, Vibration Sound na kwa muziki wa taarab, East African Melody.

My Take:

what is wrong with this picture? Clue: angalia kauli iliyotiliwa uzito. Yaani bendi zote na viongozi waalikwa watakuwa kwa ajili ya lengo hilo.
 
Hii ni kama njia tu ya kumsafisha Mizengo Kayanda Peter Pinda. Atakwenda pale na kutoa speech ndefu tu na kusisitiza kwamba he was misquoted and stuff. This is just a political game or politics at its best.
 
Mh watanzania maneno meeeeengi vitendo kiduchu sasa ni kiasi gani kitatumika katika kutamashisha hao waalikwa kisa wanaunga mkono TAMKO!! Mjini mnaunga mkono kwa matamasha vijijini walengwa wanakufa kwa njaa kwa kujifungia ndani wakijilinda na wauwaji.

We need to man up Tanzania
 
Back
Top Bottom