Siri ya mkutano wa chadema arusha jana.

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wana jf Mkutano wa chadema Arusha jana ulikuwa na lengo la kumtangaza meya wa jiji la Arusha mh. Esthomy Mallaya na naibu wake kwa umma(nguvu ya umma),ungefuatia na maandamano ya kwenda ofisi za halmashauri kumkabidhi ofisi ila serikali kupitia TAMISEM na NEC wakamwomba mwenyekiti wa CHADEMA mh. Mbowe wa ahirishe mkutano wapate muda wa kuzungumza wapate ufumbuzi wa suala la meya.
 
Hivi ni kweli NEC wameanza kuingilia.
 
ccm wanakera sana na utawala wao wa kimabavu hata penye ukweli unaoonekana.wanafanya watu kama watoto.ila kama wamefanya mazungumzo na Mbowe ni jambo la busara na wajikosoe mapema.
me mwenyewe ntamtambua meya wa chadema kwasababu ndiye anayestahili kwa mujibu wa katiba
 
Wana jf Mkutano wa chadema Arusha jana ulikuwa na lengo la kumtangaza meya wa jiji la Arusha mh. Esthomy Mallaya na naibu wake kwa umma(nguvu ya umma),ungefuatia na maandamano ya kwenda ofisi za halmashauri kumkabidhi ofisi ila serikali kupitia TAMISEM na NEC wakamwomba mwenyekiti wa CHADEMA mh. Mbowe wa ahirishe mkutano wapate muda wa kuzungumza wapate ufumbuzi wa suala la meya.

Hapo ndipo TAMISEM na NEC wanapo wapa nguvu CDM na wafuasi wao bila ya wao kujua sasa sikuona haja ya kusitisha hayo maaandamano kwani hiyo January si ndio Mji utafurika mpaka na itakuwa Breaking New ya Kwanza 2011.

Kwanza ningependa kujua hivi Mayor akitokea CDM kuna tatizo gani? au what is behind the Curtains kwa TAMISEMI & NEC + Halmashauli ya Arusha? CDM wakishicha huo U mayor ndio kutakuwa na mauaji au? CCM wao ndio wanaojua kuongoza Halmashauli??

Huu Uchu wa madaraka unatoka wapi kwanini Taratibu na haki za kumchagua Mayor zisifuatwe kwani mtu akishindwa ndi nini kama kweli wote wana nia ya kuwaletea maendeleo wana wa Arusha basi wataketi pamoja na wataleta maendeleo so long wote ni madiwani kuna lipi lashindikana???

Back
Top Bottom