Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

LOwassa akihama chama ataondoka tu na Mbunge mmoja, Serukamba, wengine wote watamuacha kwenye mataa.Nani hataki kushinda?nani hataki ubunge?kumbuka akina Rostam wataishiana na Lowassa baada ya kuchujwa maana fisadi kama yule hawezi kupambana na serikali.

Niliishasema toka mwanzo, Lowassa ni simba wa kuchorwa tu, nje ya CCM Lowassa ni mwepesi mno.
 
Wengine mlikuwa wapi siku zote bongo Movie haipigi hatua kumbe muna vipaji vya kuandika story namna hii..........hembu hamishieni ubunifu wenu upande ule vijana wapate ajira sio kujikita tu kwenye siasa.
 
Baadhi ya watu hawana kazi ya kufanya. Hivi unapotumia muda wako kuandika vitu vingi usio na maana, itakusaidia nini? Tena kwenye jukwaa ficho kama hili?
 
Mtahangaika saana. Kwasasa Lowassa "Nyota" imemwakia. Binafsi sikuwahi kufikiri kwamba huyu mtu atarudi kwenye mstari kutokana na kashfa ya Richmond. Kiukweli "He's a Great Conquerer"

Nafikiri ni zamu yake kupeperusha bendera ya kijani. Sidhani kama kunamwingine "wakum-beat" ndani ya Chama. Binafsi naamini kuna nguvu "beyond our scope why he should be". Na nguvu hiyo ni ya "Mungu".
 
Hakika hii ndio mipango ya lowasa.amepanga kulipa fadhila kwa wafadhili watakaomuwezesha kuingia magogoni.
 
LOwassa akihama chama ataondoka tu na Mbunge mmoja, Serukamba, wengine wote watamuacha kwenye mataa.Nani hataki kushinda?nani hataki ubunge?kumbuka akina Rostam wataishiana na Lowassa baada ya kuchujwa maana fisadi kama yule hawezi kupambana na serikali.

Niliishasema toka mwanzo, Lowassa ni simba wa kuchorwa tu, nje ya CCM Lowassa ni mwepesi mno.

Kwanza mgonjwa! kuna mtu alisema humu , eti kila baada ya Masaa kadhaa wanamdunga sindano kumbusti kama betri! yaani chaji inaisha! aloo
 
Sijasoma yote
Pia sijawahi kumtetea lowasa,ila mengine mtoa mada ni muongo!
Hao waganga we ndo uliwapeleka!!!
Nitakua wa mwisho kuamini
 
JK nga'ata huyo fisadi lowasa kama ulivomshurukia kagame, prof malima na hata lowasa mwenyewe alipo mess kwenye richmond, ng'ata huyo tunakuamini uko firm on issues though you wearing a smill
 
Sisi tunawasubiri October maana tushachoka sasa mnazani hii nchi ni ya sisiem.
 
Back
Top Bottom