Sipendi wanawake ambao Makalio yao hayatikisiki

Unakuta mwanamke hata akivaa khanga moja tako hata halitikisiki. Sijui inasababishwa na nini ila mimi sipendi tako unakuta limeganda tuu kama la mwanaume.

Pia hiki kimekua chanzo cha kuachana na Mchumba wangu wa zamani kila nikikaa naye au kutembea naye maeneo naona naingiwa tamaa za kuwatazama wanawake wenye makalio yanaotikisika.

Nilienda kwa Daktari akaniambia ni swala la kisaikolojia na kwa sasa bora tu nitizimize matakwa ya moyo wangu.

Duuuuuh! JF ina kila aina ya watu aiseeeee
 
Wapo wengi tu Mkuu wenye ndembendembe! Ahsante kwa kuniachia yule asiyetikisa sbb mie anantosheleza!
 
Unakuta mwanamke hata akivaa khanga moja tako hata halitikisiki. Sijui inasababishwa na nini ila mimi sipendi tako unakuta limeganda tuu kama la mwanaume.

Pia hiki kimekua chanzo cha kuachana na Mchumba wangu wa zamani kila nikikaa naye au kutembea naye maeneo naona naingiwa tamaa za kuwatazama wanawake wenye makalio yanaotikisika.

Nilienda kwa Daktari akaniambia ni swala la kisaikolojia na kwa sasa bora tu nitizimize matakwa ya moyo wangu.
Ukiona makalio hayatikisiki ujue Ni bikra huko nyuma, ukiona makalio yanatikisika ujue huko nyuma kumevurugwa hakufai.....! Hutaki unaacha!!!
 
Ila watu wengine mna vituko kweli unadhan yeye mwenyew hapend atikisike ila ndivyo alivyoumbwa na yeye kama unadhan sifa basi mbadilishane uone raha na karaha zske
 
Unakuta mwanamke hata akivaa khanga moja tako hata halitikisiki. Sijui inasababishwa na nini ila mimi sipendi tako unakuta limeganda tuu kama la mwanaume.

Pia hiki kimekua chanzo cha kuachana na Mchumba wangu wa zamani kila nikikaa naye au kutembea naye maeneo naona naingiwa tamaa za kuwatazama wanawake wenye makalio yanaotikisika.

Nilienda kwa Daktari akaniambia ni swala la kisaikolojia na kwa sasa bora tu nitizimize matakwa ya moyo wangu.
LUMUMBA LEO HAKUNA KAZI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom