Sipendi ujinga

Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
.
Tujifunze kutoa wandugu

hatupendi ujinga sisi
 
Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
.
Tujifunze kutoa wandugu

hatupendi ujinga sisi
 
Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
.
Tujifunze kutoa wandugu

hatupendi ujinga sisi
hhahahahah we jamaaaaaaa umetisha.....saana
 
Nimejichanga weeeee nikafanikiwa kununua ka Vits kangu cha kunisaidia kwenye misele yangu. Siku moja nipo na baba mkwe wangu nampeleka hospitali, tukiwa tunasubiri kuruhusiwa kwenye mataa pembeni kulikuwa na Range Rover anaendesha kijana kama mimi tu. Baba mkwe wangu akaniuliza, *"mkwe!* *umemuona mwanaume huyo?"* Nilishikwa na hasira nikajikuta nimemjibu *"kuwa na baba mkwe tajiri raha sana, jamaa alipewa hiyo gari kama zawadi na baba mkwe wake siku ya harusi yake"* Basi baba mkwe wangu akanyamaza kimya akawa mdooooooogo.

*Pumbavu!* *huwa sipendi dharau mimi*
 
Jamaa mmoja alialikwa
ktk harusi. Akafika
mlango Wa 1 umeandikwa
kulia ni ndugu Wa maharusi,
kushoto ni wageni waalikwa, akaenda kushoto maana yy
alialikwa. Akakuta mlango
wa2 umeandikwa kulia
wenye zawadi kushoto
wasionazawadi yy
hakuwa na zawadi. Mlango
Wa 3 umeandikwa kulia
wanawake kushoto waume
akapita kushoto akajikuta
ametokea mtaani
.
Tujifunze kutoa wandugu

hatupendi ujinga sisi
 
_Sheikh alikodi bodaboda, wakat wapo safarini akamwambia dereva_
_Zima muziki_
_dini hainiruhusu kuskiliza nymbo za kidunia_
_Kwa sababu wakati wa mtume hakukuwa na redio_
_Dereva akatii akazima... halafu akasimamisha bodaboda na kusimama pembeni_
_Shekh akamuuliza Dereva "Nin tena!?" dereva akNajibu_
_Wakati wa mtume hakukuwa na bodaboda, shuka usubiri ngamia..!!_


huwa sipendagi ujinga kabisa
 
Ishawahi kutokea Pale nilipokutana njiani na Mwalimu aliyenifundisha MATHS secondary afu akaniambia nimuelekeze njia ya kwenda sehemu fulani.
*Nenda mbele kama 2KM hivi kisha kata kushoto,ila hakikisha ANGLE inakuwa ni 30.5 KUSINI MASHARIKI.Kisha tumia PYTHAGORAS na hakikisha una FOUR FIGURE ili kupata thamani ya ANGLE.*

Mwalimu alisonya na kuondoka.

Stakagi ujinga kabisa mimi, wakati ananichapa alifikiri sifa
 
*Unakuta mdada anadate na jamaa zaidi ya miezi 6* *anambania mzigo hataki kumpa halafu siku anakuja kumfumania jamaa na demu mwingine anaanza kulalamika kuwa jamaa anamcheat.*

*Hivi Dada tanesco wakikata umeme haturuhusiwi kutumia jenereta?*
*Cpendag ujinga mimi*
 
_*Leo asubuhi nikiwa kwenye hiace nasafiri nilimgusa Mzee akiwa amekaa siti ya mbele na dereva nikimtaka amwambie apunguze sauti ya redio akanipa elfu kumi akidhani ni konda. Ikanibidi nishukie hapo hapo yaani kituo kilichokua kikifuata

Sipendagi ujinga mimi mwezi ukiwa mwishoni*
 
Leo anapika pilau na mimi
nmemwambia apunguze harufu ya viungo nataka kula ugali wangu. sipendi ujinga ajue.
emoji35.png
:rolleyes::rolleyes::rolleyes: Apunguze bhana
 
Mademu wawil walikua wamekaa disco m1 mbovu mwingine mkali nikawafuata
*MIMI*:mambo vip dada
*DEM MBOVU*:kwa nyodo poaa
*MIMI*:samahani unajua ku dance
*DEM MBOVU*:ndioo huku akitabasamu
*MiMi*:bhas nlikua naomba ukadance nataka niongee na rafik ako

*spendi ujinga mimi*
 
Back
Top Bottom