Am For Real
Senior Member
- Nov 21, 2023
- 172
- 473
Kwanza kabisa salamu wapendwa,Mimi ni mwanaume wa Miaka 26 naishi na Mama nyumbani. Tunaishi vizuri lakini kuna Baadhi ya mambo yananikera sana nikiwa nyumbani;
1 .Hii tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila kubisha hodi, muda mwingine anaweza akaingia akanikuta nimevaa bukta tu au boxer. Nimeongea lakini naona hii hali inajirudia na akiingia chumbani anikute na bukta muda mwingine nasonya na kujificha.
2. Kunipangia kuhusu ndevu zangu. Ndevu ni zangu lakini anataka ninyoe zote, nikikataa naonekana mimi ni mbaya sifai, kuna muda hadi nanuna.
Ishi sana mama, nakupenda na kukutegemea wewe.