Sipendi mpenzi wangu akizama chumvini

Wadau naomba msaada,

Kiukweli sipendi mpenzi wangu akizama chumvini, sababu kuu ni kuwa akishazama anataka anikiss mdomoni. Aisee najisikia vibaya, kuna wakati nilimwambia sipendi ikawa ugomvi mpaka akakata mawasilino, nikamwomba msamaha ili kujua shida ni nini? Akaniambia nambania kuzama, yaani kuzama ndio ugonjwa wake.

Nakerwa na hii hali wanajamii forum naomba msaada wa mawazo, nifanyeje ili aache.
Ndo ujifunze kuwa msafi, mana ungekuwa msafi usingeona kinyaaa, mwanamke ni usafi na siyo rangi wala uzuri wako
 
Daa kwa kweli umma huu utateketea. vibaya hapo ndipo dunia ilipofikia watu hawaelewi kwamba huko chumvini pamekatazwa na mungu pia kuna bacteria ambao lau wakiingia mdomoni italeta maradhi ndiyo maana hata wakati wa kujisafisha baada ya kujisaidia unatakiwa uanzie mbele umalizie nyuma ili kuepuka kuwahamisha hao bacteria
 

Attachments

  • MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA KUTUMIA NJIA YA MDOMO.jpg
    MADHARA YA KUFANYA MAPENZI KWA KUTUMIA NJIA YA MDOMO.jpg
    35.4 KB · Views: 42
Huyo jamaa yako itakuwa hajui kuzamia vizuri chumvini, sisi wengine tukizama huko wadada huwa hawajielewi wapo wapi. Huhisi wapo dunia tofauti au wapo angani kabisa;):), Lakini inawezekana papuchi yako ina mnuko wa ajabu hata hutaki bf wako ale denda.o_O:p:D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom