Sipendi hakika sipendi !

Unaniona nakunywa chai, then unaniuliza "unakunywa chai?"
"unafua?"
nikujibu nini wakati unauliza jibu?
SPENDI .
 
Mi sipendi M-PESA, TIGO PESA, ...... zinarahisisha kuhonga.
 
Back
Top Bottom