Sipendi hakika sipendi !

Sipendi tabia ya mtu kujifanya anadiss Clouds FM kwenye forum, afu ukifika muda wa XXL unalikuta limetune 88.4
 
sipendi viwanja vya gezaulole vinapotangazwa wananchi wanachukua fomu halafu wanaoewa mawaziri, wengine kupata hadi upenyeze rupia...
 
> Unakuta Nyumba ina choo na bafu, lakini unamkuta mtu anaoga chooni ! Ukimuuliza whaay hakupi msingi wa sababu, aakh sipendi.
> Mgeni aidha mshkaji jamaa anakutembelea mida ya karibia kulala, unamuonesha viashiria vyote vya kua umechoka unahitaji kupumzika , bt mgeni hasomi alama za nyakati, ndiyo kwanza anadai "niwekee ile movie ya kinaigeria"
sipendi .
> Unamshauri member mwenzio Jeiefu "eebwana hii thrade ingeihamishia jukwaa flani ingekua muafaka" member anakuambia umemkashifu! Aakh sipendi .
>Unamdai mshirika/jamaa yako unampigia kumuuliza badala akwambie mambo hayajawa sawa kwenye simu, anakwambia tuonane sehemu, ambavyo wewe unatumia gharama za usafiri kwenda hapo, ukifika anakupa darasa! Unapigwa sound bilabila!
Aaakh inaudhi!
> Unakuta Mkeo/Demu/Mpenzi wako , anahamu ya kumwagwa maji lakini kauchubua chubu! Hasemi , ni hadi wewe Me umuombe game ndiyo mka'do ! Aaakh hii nayo sipendi .
>unamkuta demu kakuzimia hadi unagundua,afu ukimtokea anakuzunguusha hadi kukubalia..Hiyo nayo sipendii
 
Sipendi kabisa hii tabia.:sleepy:

Na ile ya vijanadume anam'date Mususu kwa minajili ya ku'do, Mususu anadai yuko NASA, Bingwa anahisi kutoamini akidhani pengine ana agenda tofauti.
Anamkomalia wakutane, hatimae Mususu anakubali kuja, wakutanapo Bingwa anadai apewe mzigo, bibie anajitetea vilevile, thn kidume kinadai mpaka kihakiki, na hadi kioneshwe tomato source ndiyo kiridhike.
SIPENDI .
 
kumbe wengine ni "matomasoooo" mpaka washuhudie redi redi



Na ile ya vijanadume anam'date Mususu kwa minajili ya ku'do, Mususu anadai yuko NASA, Bingwa anahisi kutoamini akidhani pengine ana agenda tofauti.
Anamkomalia wakutane, hatimae Mususu anakubali kuja, wakutanapo Bingwa anadai apewe mzigo, bibie anajitetea vilevile, thn kidume kinadai mpaka kihakiki, na hadi kioneshwe tomato source ndiyo kiridhike.
SIPENDI .
 
Sipendi mtu analazimisha mawasiliano wakati ana ndugu na jamaa kibao wa kuwasiliana nao.
 
Sipendi jaman sipendi wanaume na wanawake mnakuwa na wenz wenu afu mnatoka nje. kdo wat jaman sipend mie yan masugar mamy and dady na mnaotesa familia za wengine
 
Back
Top Bottom